kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ni mwendo wa kipigo tu [emoji91][emoji91][emoji1255][emoji123]Tazama hii vijana wa Super power wanakimbia hovyo wanaangushiwa mabomu tu.
Hawana air cover ya maana, hawana air dominance wanapigana kizembeHawa vijana wanaisha jamani mbona Putin hana huruma na jeshi lake
Uyu ndiye kanali aliyekamatwa Leo[emoji848]Hahaha wazee wa Iskander, Ballistic na Supersonic missile wakishikwa wanakuwa wadogo sana.Wapige zile wanaita INTERCONTINENTAL MISSILE linafika marekani dakika 3[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeniua nikiwa wapi!!?Nikikuua na kuwalipa wanao fidia kisha nikadunda mtaani nakuwa nimejidharirisha? Ndio maana linchi lenu halina akili linasumbuliwa na watoto
[emoji23][emoji16][emoji23]Zelensky athibitisha Ukraine kurudisha sehemu ya Kharkiv...
Kathibitisha muda huu
I really appreciate your posts . Very informative. You don't add own opinions, just facts as they appear
Not yet war , but mere Police OP. We are using old weapons 1963_1976[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]Putin: "We have not started anything in terms of military operations, but are only trying to finish ... All our actions are aimed at helping people who live in the Donbass. This is our duty - and we will fulfill it to the end"[emoji91][emoji91][emoji91]
Zelensky athibitisha Ukraine kurudisha sehemu ya Kharkiv...
Kathibitisha muda huu
akikutag na mie nitag mkuu
Muda utaongea ..Winter is comingLazima mtu ashike adabu kwa kipigo hiki,
The Chickens have come back to roost[emoji1787]