John mungo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 1,009
- 1,030
Leteni habari kamili yenye vyanzo vya kuaminika. Sio mnatulisha mwidu pori hapaLutenant wa Russia kawekwa kati huko khankiv ,kikosi chake chote kimefyekwa
SASA UNAMSUTA KAMA VILE PUTIN YUPO JF PRO NATO MMEPAGAWA
Mkuu sasa hawa mateka wa urusi wanaoonekana ni maigizo au kuna hadi picha ya liutenant wa jeshi la urusi wewe unasemaje kuhsu hilo?Ukraine kajiingiza Kherson kapoteza artillery kiwango kikubwa ameona astopishe. City Centre ya Kharkiv ipo chini ya Mrusi kumbe mrusi alishainyakua Kharkiv sie tunaletewa vi clip tu . SASA Ukraine anastooisha counter offensive Kherson anahamishia mashambulizi Kharkiv. TUSUBIRI tuone maana Kharkiv ndio mpaka wa mother Russia na Russia kashafungulia bomba TUSUBIRI report mpya . Vita itaisha ghafla maana Ukraine kaamua kujitokeza mazima badala ya kusubiri kwenye mahandaki.
Nimeelewa kwamba Russia hakutaka kusogea Alitaka watoke wenyewe kwenye ngome zao ndio maana West walikua wakiiponda Russia haipigi hatua Ili Russia aingie kichwakichwa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sasa katika mazingira haya, kama askari wao wamelambishwa na wakiwa alosto wanaambiwa lazima mwende huko frontline vinginevyo hupati kete, watakataaje!
Huwo wote nao ni usanii usio usanii ni zile mnazotuma nyinyi tu humu.View attachment 2350198View attachment 2350199View attachment 2350197View attachment 2350195View attachment 2350196View attachment 2350201View attachment 2350200
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Poland apigwe tu
Ukraine kajiingiza Kherson kapoteza artillery kiwango kikubwa ameona astopishe. City Centre ya Kharkiv ipo chini ya Mrusi kumbe mrusi alishainyakua Kharkiv sie tunaletewa vi clip tu . SASA Ukraine anastooisha counter offensive Kherson anahamishia mashambulizi Kharkiv. TUSUBIRI tuone maana Kharkiv ndio mpaka wa mother Russia na Russia kashafungulia bomba TUSUBIRI report mpya . Vita itaisha ghafla maana Ukraine kaamua kujitokeza mazima badala ya kusubiri kwenye mahandaki.
Nimeelewa kwamba Russia hakutaka kusogea Alitaka watoke wenyewe kwenye ngome zao ndio maana West walikua wakiiponda Russia haipigi hatua Ili Russia aingie kichwakichwa.
Subiri majibu yake hapo wanawekwa kwenye mfumoUkraine imeweza songa mbele km 50 ndani ya masaa 24
Ukraine imeweza songa mbele km 50 ndani ya masaa 24
Only stupid people kama shemeji yangu ndio watamuamini ZelenskySio kweli, mimi natoa habari kutoka kwenye otherside ili tupate mizania sio kusikiliza tu adithi na maigizo ya Zelensky na wafadhili wake - huo ndio msimamo wangu na sioni kama natenda dhambi kwa kutofuata mkumbo wa maoni ya watu wengine.
Back tp the main point: Tusiende mbali ebu jaribu kupitia taarifa za The Washington Post limesemaje baada ya kumuhoji mwanajeshi wa Ukraine aliye kuwa frontline bahati mbaya kajeruhiwa, alikatika mkono na kulazwa Hospitalini - kasema nini kuhusu umahili wa jeshi la Urusi na matatizo yanayo likumba jeshi la Ukraine kiujumla - kumbukeni huyo ni eye witness msikilizeni wa umakini kuna kitu mtajifinza ,kwa bahati mbaya tukijaribu kueleza ukweli sisi mnatuona wazushi au ni ma-supporter blindly wa Taifa la Urusi, je, mamluki wanao ponea chupu chupu kwenye mapambano wanatoa habari gani kuhusu jeshi la Urusi wanapo rudi makwao kuadithia ndugu na jamaa zao, fatilieni habari hizo kwa karibu ndio mtajua vizuri kinacho endelea kwenye frontline - mfano mdogo mzuri wa hivi karibuni: mnakumbuka maigizo ya Zelensky juzi juzi hapa katamba kwamba amekomboa miji sijui na vijiji gani lakini reporter wa the Washington Post na maripota wengine walipo mwambia Zelensky alete ushahidi au wao waende kuona/shuhudia ushindi huo, Zelensky kawakwepa na kukaa kimya baadala yake kawambia wasaidizi wake wawapeleke maripota kwenye Hospitali waliko lazwa majeruhi wa vita - who can take this man Seriously - who?
M - Ukraine wa mchambawima vunjo mbona anasema Kherson imeshakombolewa. Huyo mfaransa atakuwa muongo.[emoji351] Ukraine's counteroffensive in the south is unfolding successfully, and if there are no unexpected turns, the Armed Forces of Ukraine could de-occupy Kherson by October — former chief of the French military mission to the United Nations, General Dominique Trinquand By western blog.
Taarifa za frontline hazieleweki wajameni . Ni propaganda huku watu wanakufa
Unaweza taja maeneo waliyosonga Mbele?Ukraine imeweza songa mbele km 50 ndani ya masaa 24
Katika NGUMI mara chache utashinda bila kupigwa hata kangumi kamoja . Ukweli ni kwamba offensive imefanyika kwa mtindo wa wapiganaji wa karne za kina Daudi na Goliath. Yaani askari wengi kwa maelfu na mafarasi yanamfuata adui na mishale majambia . Ndicho alichoganya zelensky . Hapo ni wazi wengi watakufa na kujeruhiwa lakini pia kwa wingi wao na masilaha yao wataweza kuuwa na kuteka ingawa kwa vita vya kisasa ukienda mtindo huo utapata mafanikio ya kuingia kilometer 10 kwa masaa machache na unaweza rudiahwa km mia mbili baada ya muda machache maana hukuacha mistari ya defense nyuma yako. Hii ndio hadith ya Kherson . No sustainabilityMkuu sasa hawa mateka wa urusi wanaoonekana ni maigizo au kuna hadi picha ya liutenant wa jeshi la urusi wewe unasemaje kuhsu hilo?
Kwani cha ajabu nn hapo bwashee vitan unategemea uende usife?kama kifaru kinakufa wewe nyamanyama kupona ni kudra za MunguHuwo wote nao ni usanii usio usanii ni zile mnazotuma nyinyi tu humu.View attachment 2350198View attachment 2350199View attachment 2350197View attachment 2350195View attachment 2350196View attachment 2350201View attachment 2350200
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Bora umeleta video mkuu maana nimeleta picha wakadai imeeditiwaTazameni tena video ya yule Lieutenant Colonel wa Russia wazee wa Calibre missile na Super sonic missile
Sawa mchambuzi wa maswala ya kijeshi kutoka nchi ya tozoKatika NGUMI mara chache utashinda bila kupigwa hata kangumi kamoja . Ukweli ni kwamba offensive imefanyika kwa mtindo wa wapiganaji wa karne za kina Daudi na Goliath. Yaani askari wengi kwa maelfu na mafarasi yanamfuata adui na mishale majambia . Ndicho alichoganya zelensky . Hapo ni wazi wengi watakufa na kujeruhiwa lakini pia kwa wingi wao na masilaha yao wataweza kuuwa na kuteka ingawa kwa vita vya kisasa ukienda mtindo huo utapata mafanikio ya kuingia kilometer 10 kwa masaa machache na unaweza rudiahwa km mia mbili baada ya muda machache maana hukuacha mistari ya defense nyuma yako. Hii ndio hadith ya Kherson . No sustainability