mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Ni sawa na kumkamia sana mwanamke huku umepanga utamkomesha kwa kumpiga paipu za kutosha mpaka ashindwe kutembea.Hii ni small military operation watz vichwa vigumu sana urusi inaenda kwa tahadhari kuepusha more causality. Endelea kuchoma mkaa mambo makubwa kwako chief
Russia ame re allocate troops from Kharkiv to Kherson kwaiyo Russia anasonga Kherson NIKOLAEV na HAWA wameenda kucover maeneo aliyotoka Russia. Kharkiv haina strategic importance km Kherson NIKOLAEV kuelekea I love OddessaMateka wengine hawa leo hii wanahojiwa kutoa siri za super power wa mchongo
Russia na ubabe wake huo bado anapigana vita na Ukraine?Shida UKRAINE ni ngumu kushikilia hayo maeneo waliyokomboa maana wanatumia nguvu nyingi ila mwisho wa siku wanayapoteza kiwepesi tu.WARUSI sasa ivi wanapigana vita ya akili sio ya kupoteza wanajeshi kizembe.muda msema kweli,tuendelee kuwepo
Mbona unakubali kinyonge hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shida UKRAINE ni ngumu kushikilia hayo maeneo waliyokomboa maana wanatumia nguvu nyingi ila mwisho wa siku wanayapoteza kiwepesi tu.WARUSI sasa ivi wanapigana vita ya akili sio ya kupoteza wanajeshi kizembe.muda msema kweli,tuendelee kuwepo
Hao mateka wachunwe ngozi wakiwa hai[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2349944
View attachment 2349945
View attachment 2349946
Ukrainian prisoners, probably captured in the Kherson region.
Mbona unakubali kinyonge hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Russia na ubabe wake huo bado anapigana vita na Ukraine?
Nilijua ameshamaliza vita siku nyingi sana. Kumbe bado
Hakuna mbabe wa vita duniani
Duuh Pro russia ni wabishi kama paka kukata roho kwahyo tayari umekubali maeneo yameenda mana ulikuwa unabisha sasa bado umebaki kwny denial zone kwamba ukraine atapoteza tena😂Shida UKRAINE ni ngumu kushikilia hayo maeneo waliyokomboa maana wanatumia nguvu nyingi ila mwisho wa siku wanayapoteza kiwepesi tu.WARUSI sasa ivi wanapigana vita ya akili sio ya kupoteza wanajeshi kizembe.muda msema kweli,tuendelee kuwepo
Duuh Pro russia ni wabishi kama paka kukata roho kwahyo tayari umekubali maeneo yameenda mana ulikuwa unabisha sasa bado umebaki kwny denial zone kwamba ukraine atapoteza tena[emoji23]
Duuh Pro russia ni wabishi kama paka kukata roho kwahyo tayari umekubali maeneo yameenda mana ulikuwa unabisha sasa bado umebaki kwny denial zone kwamba ukraine atapoteza tena[emoji23]
Ukraine nae anapigana na Russia,China,Iran,Belarus na North KoreaURUSI anapigana na UKRAINE+MAREKANI+NATO+ NA MATAIFA MENGINE.Huyu mtu kiukweli ni mwanaume wa shoka
Sasa kwanini maeneo mlishakalia mnayaachia au mmeyachoka mnataka kubaki CrimeaKwa ngumu waliyotumia UKRAINE ingekuwa WARUSI awana nguvu basi wangekuwa washafika crimea