Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa nani hapa anatumia raia kama ngao?pia hakuna uthibitisho wa picha wa kuonyesha wanajeshi wa Ukraine wapo kwenye maeneo ya kilaia.
 
Warusi waliopo line ya Izyum hawachomoki. Walikuwa na muda wa kufanya maamuzi magumu tangu juzi ila bahati nzuri makamanda hawajaamuru hivyo, tutarajie habari njema uko
Bro zamu yao saiv afu yule msemaji wa jeshi anaendelea kuwapa moyo raia kuwa kila kitu kinaenda according to plan.afu Kuna hii imevuja
 
‼️🇰🇵🚀 - North Korea says new law allows it to automatically launch nuclear strike against enemy target if it is attacked‼️

🇰🇵 - Kim Jong Un says there will be no negotiations over denuclearisation. 'Nuclear weapon state status irreversible'.

The DPRK has adopted a law proclaiming it a responsible nuclear state, KCNA reported.
 
Kama ambavyo madaraja yamefanikiwa kuangamiza HIMARS, na helicopters zimefanikiwa kuangamiza MANPADS. Kama ambavyo miili ya wapiganaji wamefanikiwa kuangamiza risasi zisipotee
Unfortunately wewe upo hapa kiushabiki,wakati mimi nipo hapa to seek for the truth,so you are not my equal,tuachane.
 
Tunasubiri kilio

⚡️ 🇷🇺⚔️🇺🇦New personnel of the transfer of equipment of the Armed Forces of the Russian Federation in the Kharkiv direction

This might be a huge ambush for the AFU the things are looking,reinforcements are well-coordinated
Your browser is not able to display this video.
 
🇰🇵🚀☢️⚛️Kim Jong-un: "As long as nuclear weapons remain on Earth and imperialism remains and manoeuvres of the US and it's followers against our republic are not terminated,our work to strengthen nuclear force wil not cease"
Your browser is not able to display this video.
 
Aisome Bukyanagandi kuna siku nilimwambia ukraine walitangaza counter offensive makusudi ili urusi wahamishe vifaa na wanajeshi upande huo huku nyuma wakiwakatia supply line. Nadhani imedhihirika sasa.
 
Haka kanchi kana stahili pongezi maana hata mwezi nilihisi hakatoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…