Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Hahahaha....inachekesha kweli Mkuu maana tangu March Russia hajatoa idadi ya wanajeshi waliokufa na huu ni mwezi wa September tunaelekea October wakati huohuo anatoa wafungwa gerezani na kubandika mabango mitaani watu waende kupigana vita. Kama Mtu mwenye akili timamu unadhani hiyo inaashiria nn?!Nani alikwenda frontline for body count ya wanajeshi wa Russia waliopoteza maisha - wanajitia o know bits and pieces kuhusu hasara wanayo pata jeshi la Urusi lakini hawazungumzii chochote kuhusu idadi ya vifyo ya wanajeshi wa Ukraine - what does that tell you? Ni obvious stories are made up for poliical reasons, na sijui hilo linawasaidia nini katika war effort zao, inachekesha sana.
So sanctions are working.....Putin confirms he is using country’s vast energy reserves as leverage to force EU to drop economic sanctions
Friday, September 09, 2022
Russian President Vladimir Putin has finally acknowledged what only a few seasoned geopolitical observers have known for months now: He is using his country’s enormous fossil fuel reserves to extract diplomatic concessions from the European Union, most notably, to have crippling economic sanctions that have been imposed on his nation dropped.
Two days after Russian officials announced they were shutting down the Nord Stream 1 pipeline due to a puny oil leak, Russian officials — with Putin’s permission, of course — admitted that the energy shutdown was intentional and came with a purpose. Over the weekend, Putin’s spokesman, Dmitry Peskov, said that the pipeline will remain closed until sanctions imposed on Russia following its invasion of Ukraine by the U.S., Canada, and the “collective West” are lifted.
“The problems pumping gas came about because of the sanctions western countries introduced against our country and several companies,” Peskov said, as he was allegedly quoted by the state-run Interfax news agency. “There are no other reasons that could have caused this pumping problem.”
Zero Hedge reported further:
Peskov’s comments were the most stark demand yet by the Kremlin that the EU roll back its sanctions in exchange for Russia resuming gas deliveries to the continent. It also confirms that Russia no longer needs to pretend it needs to export commodities to Europe – after all it has more than enough demand in China and India – and is willing to give Europe just enough rope to… well, you know the rest.
Russian state-owned oil giant Gazprom announced late last week that gas supplies through Nord Stream 1 would be halted due to a technical problem, which was blamed on the difficulties of repairing German-made turbines in Canada. But that was simply a straw man; the real deal is that Putin is tired of playing around and wants the sanctions lifted from his country sooner rather than later. And he’s apparently willing to allow millions of Europeans to start freezing to death in several short weeks as winter’s chill begins to set in. Short of that, there is also a belief that Putin’s move is part of a “gray zone” warfare strategy to stoke unrest and instability on the European continent, which would also likely force the hands of EU leaders to drop the sanctions.
In the interim, EU leaders have accused Putin of “weaponizing” energy exports, which of course it most certainly has. That’s the point, though; actions that don’t cause Europeans any pain, economically or otherwise, are pointless diplomatic exercises that won’t produce the desired result of reviving the Russian economy.
Interestingly, Russia is still supplying natural gas to Europe — via Soviet-era pipelines that run through Ukraine and one, South Stream, that transits Turkey. There is also no shortage of irony here: The head of the Ukrainian gas transit operator told reporters last week that technically, he could make up all of the lost NatGas from Nord Stream 1, which means that Europe will continue to pay Putin billions of dollars per month for gas that flows through Ukraine, which gives Putin hard currency to continue his invasion…of Ukraine.
The big question mark now, however, is how long European leaders will hold out. That will increasingly depend on how restive and unstable EU countries become. As NatGas and other fossil fuels become more scarce they will become more expensive and it will become harder for ordinary Europeans to heat their homes, power their economies, and fuel their businesses. And the harder that becomes the more unrest there will be.
Matteo Salvini, the leader of Italy’s far-right League party, said this weekend the sanctions aren’t working and are actually harming Europeans more.
“Do we have to defend Ukraine? Yes,” Salvini said. “But I would not want the sanctions to harm those who impose them more than those who are hit by them.”
EU Commission President Ursula von der Leyen, tone-deaf as ever, tweeted that the EU “will prevail” while urging Europeans to suck it up even more than they already have.
Sources :
ZeroHedge.com
NaturalNews.com
Kwa kuwa ni habari inayokupendeza na imeletwa na pro Russia wenzio basi unakuwa mwepesi kuamini bila hata kuuliza chanzo Cha hiyo habari
Lakini ukiletewa habari usiyopenda na kuwekewa kabisa chanzo Cha habari utakomaa na neno " propaganda" mpaka mwisho
Who is being hurt more has always been the question.Nobody has ever said the sanctions don't hurt Russia,surely they do.If you have to search for new markets for your commodities and new sources for your supplies, that takes time.That in itself is an inconvience isn't it.This further implies that new trade deals have to be made which may take time to finalize which may mean reduced revenue for some time.So the sanctions in some way have indeed hurt Russia,nobody denies that,but not in same magnitude as they have done to Europe.Europe is now obviously collapsing.So sanctions are working.....
Oky basi sawa. Russia hajapoteza wanajeshi wamekufa kumi na tano tu if that could comfort you.Nani alikwenda frontline for body count ya wanajeshi wa Russia waliopoteza maisha - wanajitia o know bits and pieces kuhusu hasara wanayo pata jeshi la Urusi lakini hawazungumzii chochote kuhusu idadi ya vifyo ya wanajeshi wa Ukraine - what does that tell you? Ni obvious stories are made up for poliical reasons, na sijui hilo linawasaidia nini katika war effort zao, inachekesha sana.
Wanajeshi aliopoteza Urusi kule Ukraine inazidi idadi ya wanajeshi ambayo Marekani alipoteza Vietnam kwa miaka 10
Yaani unapoteza muda kuwajibu?Hahaha CGI generated?! Halafu Daraja Lina matundu balaa mpaka sasa ni unusable kwa Russia mpaka wanatumia ferry. Huoni km unajitekenya halafu unacheka mwenyewe Mkuu!!!!!
Hahahaha....inachekesha kweli Mkuu maana tangu March Russia hajatoa idadi ya wanajeshi waliokufa na huu ni mwezi wa September tunaelekea October wakati huohuo anatoa wafungwa gerezani na kubandika mabango mitaani watu waende kupigana vita. Kama Mtu mwenye akili timamu unadhani hiyo inaashiria nn?!
Juzi hapa Putin Katia saini decree ya kuongeza wanajeshi 137,000 kwenye jeshi.
Ile ferry iliyokua spotted na satellite wiki hii ikivusha wanajeshi na vifaa vya Russia imezamishwa Leo.
HIMARS kiboko @bukyanangadi zile S300 zilikua wapi kutungua Himars rocket like flies mpaka hii ferry ikazamishwa?!
Mapenzi tu na mahaba yanawasumbuaKiufupi mtu anayesifia hizo system huwa nashindwa kumuelewa.
Ukraine analipuwa depot za silaha kila siku hayo madaraja ndio usiseme hapo hujataja hizo system zenyewe zinapigwa asee sijui point gani zinatumika kuzisifu hizo s-300, 400.
Hapa umedanganya ni issue ya mahesabu kuwa kama atapiga huenda zikatunguliwa , probablily. Huu sasa ni utabiri tu. Ni ramliHahahaha.... "bringing down HIMARS rockets like flies" wakati maghala yake ya silaha kila siku yanalipuliwa na hizohizo HIMARS. Madaraja na pontoon bridge ambazo kila akijaribu kujenga apitishe supplies zinalipuliwa na HIMARS halafu Leo unakuja kuzihype hzo obsolete defense system!!!!
Ukraine juzi imekiri kuishambulia Saki airbase pale Crimea kwa maroketi na Makombora,hizo S300 na s400 zilikua wapi?! Embu fikiria kambi kubwa kama Saki inapigwa Makombora na kuharibu ndege za kijeshi karibu kumi. Tatizo unasikiliza Sana daily briefing za warusi maana siku hizi kila wakitoa lazima waseme wamedondosha Himars wakati mambo Kwa front lines ni tofauti.
Nina video air defenses za Urusi zikihangaika kudaka Makombora ya HIMARS lkn zikashindwa,Yani walirusha Makombora 24 kudaka Himars 6 tu.
Kwa maneno yako ni kwamba HIMARS hazijawasaidia ukraine kukomboa eneo lolote mpaka Sasa[emoji848]
Oky basi sawa. Russia hajapoteza wanajeshi wamekufa kumi na tano tu if that could comfort you.
Ila mkuu una mahaba sana na Russia mpaka unapoteza uwezo wako wa kufikiri linapokuja suala la Russia loss.
MKUU hii SMO itaendelea kama inavyoendeleaNapost hii nikiwa sina furaha mi kwa kweli sitaki NATO na ushoga wao na kuwapangia watu maisha upate ushindi.
Hii SMO Russia aachane nayo . Iwe full War michezo uishe. Tuache kutumia timu B hii game. Mi kama mshauri wa PUTIN bila kujali watu wengine bado wanaingia mtu apigwe round 1na sekunde 1. Watu watoke nje kwa kazi zingine
[emoji635][emoji1255] We are leaving most of the Kharkiv region. This is a military disaster. We are severely underpowered. The only thing that will improve the situation is the declaration of WAR to Ukraine, the introduction of martial law and mobilization. In the near future, and better - TOMORROW.
Nothing else will help, it's already obvious. I have no other words for you.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Mchango huu haukuwa wa bure. Ilikua ni njia ya kujipatia uunganiji mkono wa sera ya ujamaa. Ulipokua unapewa msaada huu shariti lilikua baada ya kupata uhuru ilitakiwa ujiunge ujamaa ndo lilikua shariti no Moja. Lakini Leo misaada inayotolewa na west Africa ni mikubwa had mara 50 ukilinganisha na misaada ya Urusi afrikaMkuu, Watanzania walio wengi hawakumbuki au hawana habari kuhusu mchango mkubwa wa Taifa la Urusi katika kusomesha vijana wengi kwenye Vyuo Vikuu vya Taifa la Urusi katika nyanja zaUinjinia(Civil,Mechanical,Chemical,Electrical na Electronics), Madaktari, Ecomomists, Utawala na siasa.
Russia ilifanya jambo la ziada kwa kujenga Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba Moscow mahususi kwa kufundisha vijana wengi kutoka third World Nations specifically Bara la Africa, walikuwa wanasomeshwa bure na kulipiwa kila kitu.
Msaada wa Urusi haukuishia hapo, pia walijitolea kuwapa mafunzo ya kijeshi wapigania uhuru wa Afrika, wakapewa silaha na kuanzisha makambi ya maalumu yakuwafundisha wapigania uhuru jinsi ya kitumia silaha nzito nzito kama mizinga,MRLS,silaha za kutungulia ndege nk - wapigania uhuru waliopitia mafunzo hayo usimulia kwamba mafunzo yalikuwa kama vita hasa hasa na sio mchezo, wengine walipoteza maisha wakiwa katika mafunzo ya kijeshi - wanasema mpaka leo ukienda, mfano: Kongwa,Nachingwea nk bado kumebaki kuna mabaki/alama za kuonyesha kwamba mafunzo hayakuwa lelemama hata kidogo.
Huo ndio mchango wangu kuhusu ni jambo gani la maana sana ambalo Urusi ilisaidia Bara la Africa - kuna baadhi ya watu upenda penda sana kubeza beza sana mchango wa Urusi katika kukomboa baadhi ya Mataifa barani Africo yaliyo kuwa chini ya Ukoloni, sijui kwa nini?
Ushaidi. , Ushaidi. , Ushaidi..ni ushaidi gani unataka? Nikisema aljazeera wamesharipoti kuhusu majeshi ya Ukraine kusonga mbele na kukomboa maeneo.., unasema propaganda.., tukiwaambia BBC..,bado mnasema propaganda.., CNN bado utasema propagandaTupatie ushahidi wa uhakika kwamba wamekomboa jimbo fulani.