LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Yeah ofcourse ana gesi nyingi but kumbuka hawa watu wameungana wasiuze wala kununua kwake so haitamsaidia chochote.Putin angetaka kutawala Ukraine angetumia akili na asingeenda yeye direct angeweza kupeleka propaganda na kupenyeza propaganda ndani ya Ukraine yenyewe na sio kwenda na silaha direct hapo kajiharibia
 
Ina maana wewe unajua zaidi ya Think tank ya Russia? Ila bongo kweli nyoso!
 
Kwa hiyo mji mzima wa kyiv wanaishi wageni tu hakuna wenyeji.Nyie Pro Putin tunataka jibu la kueleweka msianze kuleta visingizio tena.

#kyivmajivubadotu
 
Siyo kila sehemu mabavu yanafanya kazi,yeye anatunisha misuli,huku anapigwa na kitu kizito huku watu wanapop champagne na glass ya wine.
Vikwazo akipewa vinakuuma nini? Wewe mU.S.A wa kwa mpalange
 
Unadhani ni wewe peke yako una masikio ya kusikia na macho ya kuona na kusoma? Zile blah blah zilikuwa za nini za Kyiv inageuka majivu kama mlikuwa manyajua yote haya? Mlipokuwa mnaambiwa mwanzoni mwa hii vita mlikuwa mnabwata hapa kwa majigambo mengi,leo hi mmeona ugumu wake mnaanza kutuletea hizi sababu utadhani sisi hatuzisomi kwenye propaganda media za Russia.

#kyivmajivubadotu
 
This is already World War III. Putin started it long ago & Ukraine is only the current front. He will escalate anyway, and it's even more likely if he succeeds in destroying Ukraine because you have again convinced him you won't stop him even though you could.
 
Ninachompendea Zelensky anatumia akili Sana kwenye huu mpambano,anamzidi Sana Putin anayetumia nguvu kuliko technic
 
Kwenye tweets za wamarekani afu kuna yule mUkraine wa buza atakua bado upande wa US hawa watu ni mashetani kila siku freedom of expression mbona wamemkamata huyu kwasabu alikua akitoa madini sasa watu washawajua ,kila siku wanatumia/kusababisha vita ili waendelee kutajirika kwa kuuza silaha n.k, wapunguze watu duniani na kuimarisha nguvu yao,,,na hii global climate change wanayozidi kuiongelea tunaweza kupigwa na kitu kizito wacha tuone
 
Nimeangalia mazungumzo ya Rais wa Ukraine, nikiri wazi anaonekana halali, muda wote yuko na hofu kubwa san. Sasa inatosha wakae mezani, huwezi bishana na Urusi. Wafanye makubaliano maisha yaendelee.
Huwa namuonea Huruma Sana Yule Raisi tangu kuanza kwa Vita,sura take umejaa hofu,Huruma na mashaka...yaani Hadi imefanya niwe upande wake,huyu Putin angewaacha tu aisee
 
Mrusi wa Kino Mosco ktk porojo zako.Mrusi uliechangamka kdg
 
Nimeangalia mazungumzo ya Rais wa Ukraine, nikiri wazi anaonekana halali, muda wote yuko na hofu kubwa san. Sasa inatosha wakae mezani, huwezi bishana na Urusi. Wafanye makubaliano maisha yaendelee.
Yaani ana mashaka Sana Yule Raisi...huyu anampiga akapambane na makambale wenzie huyu Ni kumstress tu
 
Na wewe ni zoba kabisa, huwezi ongelea vita ya Ukraine na russia bila kuitaja marekani, kaa kimya uonekane mwerevu epuka kujidhalilisha kama hujui kitu.
 
Ila kwa haya maamuzi yake wewe kwa mtazamo wako huoni Kama keshaivuruga Russia, after war impact kiuchumi mbona Kama zinaenda kuwa mbaya Sana,au unaonaje Hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…