Hivi imekuwaje Urusi amepigwa kihasara na kwa haraka sanaLieutenant Colonel Artem Heremendyk wa 18th Motorized Rifle Division ya Russia kakamatwa na Ukrainians karibu na Izyum. Hapa anatibiwa View attachment 2352708View attachment 2352710View attachment 2352711
Hiyo picha ni so dubious!Yaani tuamini tu kwa maneno yako kwamba huyo aliye lala hapo chini ni Russian soldier!!!How naive and ridiculous.After all tunajua the Ukrainian Army has banned completely journalists in the front line for obvious reasons,sasa huyo wounded Russian soldier nani kampiga picha?Huyo obviously ni Ukraine soldier ambaye wamem-evacuate from the front line for treatment.Taarifa zenu frankly ni mjinga tu anayeweza kuziamini,zina lack authenticity sana.Naanza kuwahurumia warusi aisee [emoji848]
Nani kakupangia kuwa shoga we maku , Baba yako mbona ni shoga na anapumuliwa kila siku, kuna mtu alimlazimidha awe anapumuliwa ?Napost hii nikiwa sina furaha mi kwa kweli sitaki NATO na ushoga wao na kuwapangia watu maisha upate ushindi.
Hii SMO Russia aachane nayo . Iwe full War michezo uishe. Tuache kutumia timu B hii game. Mi kama mshauri wa PUTIN bila kujali watu wengine bado wanaingia mtu apigwe round 1na sekunde 1. Watu watoke nje kwa kazi zingine
[emoji635][emoji1255] We are leaving most of the Kharkiv region. This is a military disaster. We are severely underpowered. The only thing that will improve the situation is the declaration of WAR to Ukraine, the introduction of martial law and mobilization. In the near future, and better - TOMORROW.
Nothing else will help, it's already obvious. I have no other words for you.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Na hivi ndio tuliwaambia hawa watu wa Putin humu.
Kwanza ogopa sana kupigana na mtu mwenye imani ya kuwa una muonea, Ukraine anapigana kwa uchungu mkubwa zaidi ya wanajeshi wa Russia so ni ngumu kumpiga mtu wa namna hiyo.
Kuna video nimeona wamama na wazee wa Ukraine wakilia baada ya kuona wanajeshi wa Ukraine wamekomboa mji wao, bibi mmoja akasema
"tumewasubiria mje mtukomboe kwa miezi sita"
Pia mwanzon tuliongea kwamba Ukraine anapigana kwa akili zaidi ya Russia wakabisha, Kuna mdau mmoja akasema ukitoa nukes Russia anabaki Kama mandonga napo wakabisha[emoji16]
Sasa acha tuendelee kuona, ambae anapigania nchi yake na ambae yuko vitani bila sababu ya msingi nani atashinda.
Naona wanaacha hadi silaha, huenda wameambiwa waretreat kwani silaha nyingi wameacha nyuma. Kama ingekuwa ni kujipanga lazima wangeondoka na silaha zaoRussians wanakuwa overrun, hawafanyi evacuation wala retreat. Kinachowatokea ni collapse ya haraka, Ukrainians washapata moto wanakuja kasi na Russians hawana morali ukijumuisha na command yao mbovu na supply problems
Yeah,you are a real partner in this crusade,thankyou so much Bukyanagandi.🙏Someni kwanza historia ya kweli kuhusu kiini cha mgogoro huu, tujaribu kuwa,wakweli Zelensky/Ukraine waliuutaka wenyewe msianze kumlahumu Putin bila sababu -kumbe mlitaka Putin afanyeje baada ya kuona Taifa lake linatishiwa kiusalama na Mataifa ya NATO wanakwenda mbali zaidi kwa kujenga maabara chungu nzima nchi Ukraine zenye lengo la kuzalisha virusi hatarishi pamoja na chemical weapons lengo likiwa ni kutaka kuwaangamiza mamillion ya Warusi bila sababu zozote za msingi - hawataki Warusi in particular Putin wanaye muona ni tishio kwenye agenda zao za siri (NWO), Global hegemony and Unipolar World wanatake ku-maintain vices zote tajwa hapo juu wanaye muona ni kikwanzo kwenye crusade zao za kishetani wako radhi kumtoa pumzi au kushambulia taifa kijeshi taifa ambalo hawalipendi na kupindua Serikali halali kama kuna uwezekano -jamaa hawa ni hatari sana kwa amani ya Dunia - ni watu wachache wanao tambua ukweli huo.
Yeah,you are a real partner in this crusade,thankyou so much Bukyanagandi.🙏
[emoji122][emoji122][emoji122] hakika anastahili pongezi kwa kweli,kulikuwepo na lundo la pro Russia hapa jukwaani, wanazidi kukimbia lakini jamaa anajitaidi kwa kadri awezavyo kupangua hojaYeah,you are a real partner in this crusade,thankyou so much Bukyanagandi.[emoji120]
Ulishawahi hata kulaani hata dhulma wanayofanyiwa Palestina na israel au shibe ya kande inakupumbazaHii vita imesababisha njaa kali sana hapo Somalia na Kenya mamia ya watu wanakufa kila siku, mashirika ya misaada badala ya kuendelea kusaidia hasa somalia sababu shughuli za kilimo ni kama simesimama kwa muda mrefu sababu ya machafuko sasa yanapeleka misaada zaidi kwa wahanga wa vita Ukraine.
then kuna watu wameshiba uji JF wanashangilia vita na kukumbatia wasababishi wa vita kama vile wanagombania mabwana.
Yaani jitu zima linajua kusoma na kuandika, lina ama computer au simu au vyote, lina access ya internet, labda hata lina mke na watoto nyumbani, na wazazi wategemezi juu, liko JF linaandika "Urusi anasiraha ambazo hakuna nchi inazo", yaani utafikilia labda ni punguani labda, yaani.
Ukraine Counter-Offensive So Far: More than 4,000 Dead in Two Days
Ukraine launched a counter-offensive against Russian forces earlier this week. That counter-offensive is presently ongoing. The death toll in just one area: At least 4,000 dead on the battlefield, and getting worse.
Covert intel sources have CONFIRMED to me that Ukraine is suffering horrifying losses. More than three sources - all independent of each other -- are reporting there are at least four-thousand dead Ukrainian soldiers, still laying on the battlefield, "At Sukhoi Stavka, on the outskirts of Vysokopole, and near Posad-Pokrovsky" as shown on the map above.
While Ukraine DID make advances and DID penetrate Russian defense lines, there is an actual slaughter taking place; with very heavy losses on both sides, but with Ukraine suffering far more losses than Russia.
On the Hal Turner Radio Show last night, I reported to my audience that the "ring road" around Moscow, was closed to public traffic and was filled with Military vehicles and equipment. Moscow is at least 600km away from the battlefield.
Those military units set out last might (Moscow time) for the front. At typical convoy speed, they will begin arriving at the front Saturday afternoon, Moscow time.
Upward of seventy-five-thousand (75,000) additional Russian troops are on the move. Those troops came from Russia's Eastern Military District, all the way out by Vladivostok, and were moved to the Moscow area over the past three weeks. Initially, it was thought that these troops would be used in normal troop rotation. However, it NOW appears that Ukraine's counter-offensive may have resulted in re-tasking of those troops to the front as reinforcements.
When that body of troops arrives in theater, it will not only tip the scale to Russia's advantage, it will flop the scale to Russia's advantage.
All of this additional fighting and death is a direct result of the United States and Europe interfering in Russia's Special Military Operation. Without the west assisting Ukraine, this conflict would have already ended with a Russia win. All the additional Ukrainians who are being killed, are dying because the US/EU/NATO are pushing the Ukrainians forward in additional battles.
How much longer that will last is not clear but yesterday the world got a sort of hint: the GERMAN Ministry of Defense announced "We have supplied Ukraine with large quantities of weapons and ammunition but we have reached our limit."
As more and more European nations come to that same conclusion, the fate of Ukraine will become self-evident.
More details if I get them . . .
Wanaogopa kutekwa Mkuu maana itakua ni aibu na pigo kubwa Sana Kwa Putin.Inaonekana Warusi wamepewa command ya kuondoka Ukraine, maana vijiji na miji mingi inachukuliwa bila upinzani wowote ule, na silaha zinaachwa
Wanajeshi hawapo, wengine wanajisalimisha
Au Putin anataka atumie nukes?
Maana kawaida ya retreat unatakiwa uharibu kila kitu, sasa ni kama wamewapa Ukraine zawadi za silaha
Jijibuni tu ila jumatatu msikimbie uzi tuInasemekana Urusi inajipanga kuvamia tena mara ya 2 mwezi Oct
Mkuu ijapokua sikuchangii bando napia cna maamuz ya kukupangia chochote, nipende kusema hao pro nato umejitahidi sana kuwaelezea uhalisia wa mgogoro wa kivita Kati ya Ukraine na urusi lakin still wanapinga kwa hoja hafifu naza uongo uongo, nivizury kuwaacha nakuwa ignore kabisa sababu Ukweli halisia wajionyesha yanayoendelea huko Kati ya urusi na Ukraine. Na sikuzote kwenye ukweli uongo hujitenga.Someni kwanza historia ya kweli kuhusu kiini cha mgogoro huu wa Ukraine bila ya kutumbukiza masuala ya ushabeki, tujaribu kuwa wakweli hapa - Zelensky/Ukraine mgogoro/vita hii waliuutaka wenyewe, msianze kumlahumu Putin bila sababu -kumbe mlitaka Putin afanyeje baada ya kuona Taifa lake linatishiwa kiusalama na Mataifa ya NATO, wanakwenda mbali zaidi mpaka wanafikia hatua ya kujenga maabara chungu nzima nchi Ukraine zenye lengo la kuzalisha virusi hatarishi kwa binadamu pamoja na Chemical weapons lengo likiwa ni kutaka kuwaangamiza mamillion ya Warusi bila sababu zozote za msingi - kisa? hawataki Warusi in particular Putin wanaye mchukulia/muona ni tishio kwenye agenda zao za siri,namely: (NWO), Global hegemony and Unipolar World wanataka/lazimisha ku-maintain vices zote tajwa hapo juu - wanaye muona ni kikwanzo kwenye crusade zao za kishetani wako radhi kumtoa pumzi au kushambulia kijeshi taifa ambalo hawalipendi wanafikia hata hatua ya kupindua Serikali halali za Nchi huru kama kuna uwezekano ili kutimiza malengo yao ya siri -jamaa hawa ni hatari sana kwa amani ya Dunia - kwa bahati mbaya ni watu wachache Duniani wanao tambua ukweli huu.
Hahahaha wamemlamba shaba ya kalio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lieutenant Colonel Artem Heremendyk wa 18th Motorized Rifle Division ya Russia kakamatwa na Ukrainians karibu na Izyum. Hapa anatibiwa View attachment 2352708View attachment 2352710View attachment 2352711