Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Ukazidi kuyatupa maneno MKUUUkiona Lieutenant General anakamatwa ujue hali ni mbaya sana. Yani ni cheo cha pili tu baada ya General, utegemee taarifa za muhimu sana awe nazo na nadhani alienda kukagua uko frontline. Mambo magumu hapo, hilo pigo kubwa mno
Ukazidi kuendelea tena MKUU[emoji23][emoji16][emoji23]Wale wa Azov baadhi yao waliachiwa kwa exchange na Warusi waliokamatwa. Hata huyu Lt. General ni muhimu anaweza tumiwa kuwaacha Ukrainians wengi kwa exchange
[emoji23][emoji16][emoji23]Nimefurahishwa na kitendo cha. ukraine kukamata wanajeshi wengi wa urusi ili exchange ifanyike...
Huyu lt colonel lazima aseme kila kitu
Baba yangu tena. Hizi keyboard za simu zinawadanganya sana. Ingekuwa face 2 face ungelamba mchanga dk 0 mi wa bara hilo tusi mwanaume hatukanwi, ila sasa endelea we bingwa.Nani kakupangia kuwa shoga we maku , Baba yako mbona ni shoga na anapumuliwa kila siku, kuna mtu alimlazimidha awe anapumuliwa ?
Amka ndoto mbaya kijanaThis time around jeshi la Russia halitakuwa na huruma ya kupigana vita kindugu ndugu kisa? eti ya kujali Waslav wenzao, hilo Putin asahau kabisa na kufumba macho, akumbuke ushirika wa NATO na Kiranja wao mkubwa hawaitakii mema Russian wanatamani na kupanga Urusi iwe destroyed in totality making sure it will never ever rise again to threaten western specifically US interests, wako determined kweli kweli kulitekeleza hilo kwa kupitia vita ndani ya Ukraine.
Now back to the main point - naona safari hii Putin yuko determined ku-address this proplem once and for all - ndio maana hakuvunja madaraja aliweka mtego jeshi la Ukraine liingize zana za vita pamoja na wanajeshi wengi wakidhani jeshi la Urusi limekimbia mapigano kumbee.....
Jeshi la Putin likisha weka mambo sawa, basi, jeshi la Ukraine litapata kipigo kitakatifu - Zelensky, jeshi lake na wafadhili wao wakubwa hawataamini kilicho wasibu na safari hii Zelensky atatoroka Kiev na kutokomea kusiko julikana au jeshi lake litampindua kwa kuepusha hasara zaidi za vifo ya wanajeshi, raia na infrastructures hivi sasa Zelensky amekwisha kuwa riability kwa taifa lake na sio asset tena.
Narudia kuwakumbusheni kwa mara nyingine tena kuwa Putin atawafyekelea mbali kwa kutumia silaha ambazo haja anza kuzitumia kwenye front line - jeshi la Ukraine naamuluki kutoka EU/Uingereza/US na Canada wataanza kuimba na kuzungumza Kilatini (Dead language) nawambieni, wiki moja mbili zijazo tutaanza kushuhudia msafara wa Ukrainian soldiers and muluki kutoka EU/UK/US na Canada POWs.
Kama shoga mkuu alivyokuwa anafanya IraqRussia afanye carpet bombing Ukraine Kwa Airforce gani aliyokua nayo?! Hiihii ambayo videge vyake vinashushwa kila siku?! Yani Russia anashindwa hata na Israel kufanya SEAD operation hapo Ukraine ili aingie bombers afanye carpet bombing kwenye maeneo muhimu ya kijeshi. Na hapo ndo Ukraine haina air defenses za maana vipi zile modern air defenses walioahidiwa na west zikitia timu kama NASAMS au IRIS-T ya Ujerumani?!
Huko Syria jeshi la Urusi lilionekana tishio sababu walikua wakipigana na magaidi hawana air defenses walikua wananyanyua Tu-160,Tu-95 wanazijaza dumb bombs wanaenda kuwaangushia Isis Ila Ukraine Hali ni tofauti ili uingize Tu-95 au Tu-160 lazima ufanye SEAD operation ili uharibu air defense systems. Sasa Urusi mpaka sasa hana air superiority hiyo carpet bombing ataifanyeje?!
Tunacho Pinga hapa ni Ukoloni.kutokana na Sela zao hao warusi wamefanya nchi yetu kuwa maskiniMkuu, Watanzania walio wengi hawakumbuki au hawana habari kuhusu mchango mkubwa wa Taifa la Urusi katika kusomesha vijana wengi kwenye Vyuo Vikuu vya Taifa la Urusi katika nyanja zaUinjinia(Civil,Mechanical,Chemical,Electrical na Electronics), Madaktari, Ecomomists, Utawala na siasa.
Russia ilifanya jambo la ziada kwa kujenga Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba Moscow mahususi kwa kufundisha vijana wengi kutoka third World Nations specifically Bara la Africa, walikuwa wanasomeshwa bure na kulipiwa kila kitu.
Msaada wa Urusi haukuishia hapo, pia walijitolea kuwapa mafunzo ya kijeshi wapigania uhuru wa Afrika, wakapewa silaha na kuanzisha makambi ya maalumu yakuwafundisha wapigania uhuru jinsi ya kitumia silaha nzito nzito kama mizinga,MRLS,silaha za kutungulia ndege nk - wapigania uhuru waliopitia mafunzo hayo usimulia kwamba mafunzo yalikuwa kama vita hasa hasa na sio mchezo, wengine walipoteza maisha wakiwa katika mafunzo ya kijeshi - wanasema mpaka leo ukienda, mfano: Kongwa,Nachingwea nk bado kumebaki kuna mabaki/alama za kuonyesha kwamba mafunzo hayakuwa lelemama hata kidogo.
Huo ndio mchango wangu kuhusu ni jambo gani la maana sana ambalo Urusi ilisaidia Bara la Africa - kuna baadhi ya watu upenda penda sana kubeza beza sana mchango wa Urusi katika kukomboa baadhi ya Mataifa barani Africo yaliyo kuwa chini ya Ukoloni, sijui kwa nini?
.Ya kiwanda cha Chuma yatajirudia tena Bakakyela na Kupyask - this time Ukrainian POW watazidi 2,000!! They are doing so badly on the frontline line - sijui kwa nini Zelensky ni kig'ang'anizi na mtu hasiye jali hatma ya vijana wanao pigana vita ambayo mwisho wa siku watashindwa BIG TIME it may take time, lakini hawataweza kushinda vita hii.
How?Tunacho Pinga hapa ni Ukoloni.kutokana na Sela zao hao warusi wamefanya nchi yetu kuwa maskini
Wanaachaje silaha si mlituambia waliishiwa,mbona hamueleweki Pro NatoWanakimbia maeneo na kuacha magali na silaha tazama video kweli super power wa mchongo anachapika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaaa amejikataaaa sio yeye 🤣🤣🤣🤣MKUU hua nakusisitizia sana uwe na hakiba (akiba) ya maneno
Naona jana ukayamaliza yote leo hii tena unasemaje
Mwisho super power ya RUSSIA wameichagua wataalam sio sisi na itabakia kua hvyo
Haya maneno yako MKUU
Hao hao waliowadanganya kuhusu hoyo bwana ndio walodanganya awali kuhusu KHARKIV nawalio danganya kuhusu huyo bwana sio bahati mbaya nimakusudi kuboost morale ya majeshi yao maana yapo na hali mbaya sanaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app