Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Ambae tishio kwa PUT IN nani MKUUShoigu kashakuwa sidelined ila kuondolewa itakuwa ni aibu kwa serikali, labda akitolewa kafara baadae maana ndio utaratibu wa Urusi. Kwanza Shoigu sio tishio kwa Putin
Una wazimu Ukraine sio kundi la vibaka kama ISIS Daesh , hizo fighter jets za kufanya hizo bombing atazipitia kwenye anga lipi ?Hivi unajua maama ya carpet bombing/shock and awe?? Hivi Urusi ikihamua kufanya carpet bombing using her formidable fighter bombers unafikiri utawala wa Zelensky na wafadhali wao watadumu zaidi ya mwezi - watakimbia kusiko julikana - nyie subirini wiki mbili zijazo ili tuona Jeshi la Ukraine litakuwa kwenye hali gani,waulizeni kilicho wapata wachenchenyea walipo jitia kutunia misuri jeshi la Urusi, Syria je, wale ISIS na Daesh kuna anaye fanya fyoko kwa jeshi la Urusi? Hakuna, Waukraine dawa yao hipo jikoni watakuja kulia na kusaga meno kwa kumufuata kiongozi ambaye hana hekima na busara, anawatoa kafara vijana nguvu kazi wa Ukraine cha ajabu Waukraine wanamchekea tu bila ya kumuwajibisha.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wazee WA kugeuza magoliKwa kuwa anazidi kupokonywa maeneo Sasa lugha imebadilika" Russia haiitaji sana maeneo"
Duh! Nimeamini kweli zelensiky kamkaba mtu kooni [emoji2]
SMOnaona sasa wameamua kulipua mpk mabomba ya maji,
Rubbish , mnabondwa na wanamgambo WA Ukraine mje mpambane na NaTo , au mnataka mgeuzwe majivu sekundeMkuu samahani, kwami wewe una exposure ya kiwango gani katika masuala ya silaha/makombora pampoja na war planning strategy - siku ulizi kwa nia mbaya.
Remember Russian Federation isn't a Banana Republic don't you forget that, any level headed person hawezi kulinganisha uwezo wa jeshi la Urusi na Iraq hata siku moja - dharau hizo ndizo one day zitakuja kuwa cost an arm and leg NATO specifically the USA, NATO can not play Rissian on their little finger and expect to get away with it.
FYI, Russian military gotta ways, means and Mega capabilities to tame entire NATO alliance with easy - mark my word.
Hawa wako EU , Hamna shidaWaturuki na wagiriki wamelianzisha huko.
[emoji1112][emoji95][emoji1250]It is reported that Greek boats opened fire on a Turkish merchant ship in the Aegean Sea.
We wait for clarification... https://t.co/NFzQOM6lLT
haya wacha tusubiri hio carpet bombing, miezi inakatika tuHivi unajua maama ya carpet bombing/shock and awe?? Hivi Urusi ikihamua kufanya carpet bombing using her formidable fighter bombers unafikiri utawala wa Zelensky na wafadhali wao watadumu zaidi ya mwezi - watakimbia kusiko julikana - nyie subirini wiki mbili zijazo ili tuona Jeshi la Ukraine litakuwa kwenye hali gani,waulizeni kilicho wapata wachenchenyea walipo jitia kutunia misuri jeshi la Urusi, Syria je, wale ISIS na Daesh kuna anaye fanya fyoko kwa jeshi la Urusi? Hakuna, Waukraine dawa yao hipo jikoni watakuja kulia na kusaga meno kwa kumufuata kiongozi ambaye hana hekima na busara, anawatoa kafara vijana nguvu kazi wa Ukraine cha ajabu Waukraine wanamchekea tu bila ya kumuwajibisha.
Mvaa kobaz Huna akiliKwenye hili saga nasimama na TURKEY kiroho safi
TURKEY TAIFA TEULE
NATO kwa NATO acha watwangane
Sent using Jamii Forums mobile app
tutatulia vipi mnalpua miundombinu ya maji banah nyie vipi?
Ukiwa nazo wewe inatosha sana MKUUMvaa kobaz Huna akili
Sasa msipotulia mnadhani mtaifanya nini RUSSIA eti MKUUtutatulia vipi mnalpua miundombinu ya maji banah nyie vipi?
PumbavURUSI ANAWAPELEKEA MOTO UKRAINE [emoji95][emoji95][emoji95]
[emoji635][emoji1255][emoji298]More than 300 Ukrainian soldiers were destroyed in the Nikolaev-Kryvyi Rih direction, up to 1,000 were injured - Russian Defense Ministry
naona aljizuia kuharibu baadhi ya infustructures but now anaziharibu hii ni ishara kuwa huu mgogoro unaenda upande ambao hapo mwanzo haukufikiriwaSasa msipotulia mnadhani mtaifanya nini RUSSIA eti MKUU
Nimawili au matatu lazma mkubali kukaa kimya moja kupiga kelele kwenye mitandao kama hv mbili na tatu kuwahimizi NATO wakaisaidie UKRAINE
La sivyo hamna lakuifanya RUSSIA ili isimamishe SMO
Sent using Jamii Forums mobile app
Ardhi ya Ukraine inazidi kupandwa mbolea ya Wanamgambo wa Ukraine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91]Rubbish , mnabondwa na wanamgambo WA Ukraine mje mpambane na NaTo , au mnataka mgeuzwe majivu sekunde