Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

naona aljizuia kuharibu baadhi ya infustructures but now anaziharibu hii ni ishara kuwa huu mgogoro unaenda upande ambao hapo mwanzo haukufikiriwa
Super pawer wa mchongo kachanganyikiwa.., kaona analoose sana kwenye battlefield, kaamua kujipoza kwa kuharibu miundombinu [emoji2]

Lakini hata akiamua kuharibu miundombinu sijui atatumia makombora mangapi mpaka kufidia hasara waliyopata ndani ya saa 48[emoji1787]
 
naona aljizuia kuharibu baadhi ya infustructures but now anaziharibu hii ni ishara kuwa huu mgogoro unaenda upande ambao hapo mwanzo haukufikiriwa
Hakuna upande wowote MKUU acheni kujifariji
UKRAINE lazima apigwe lazima lazima lazimaaa nahii ilisababisha hiki kisago pia jamaa alitaka kupeleka umeme na german ila baada ya zahma ya jana na yaleo mipango hio imesitishwa
RUSSIA anapigana hii SMO kiakili sana maana hana papara na anahuruma sanaaaaa


[emoji635][emoji1255] President of Ukraine Volodymyr Zelensky on the eve ordered to speed up the reconstruction of the power line from the Khmelnytsky nuclear power plant to the Polish city of Rzeszow in order to supply electricity to Poland.

last night, after a series of missile strikes on Ukrainian energy infrastructure facilities at the Khmelnytsky NPP, power units have been disconnected from the grid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
superpower wa kuforce, sijui atawapiga majiran mpk lini, majiran hawamuelewi
 
sawa wacha movie iendelee, km kila kitu kimepangwa kiakili
 
Amka Hungary mwanetu bado haujachelewa
 
sawa wacha movie iendelee, km kila kitu kimepangwa kiakili
Naa hili ndio lakimsingi tuuombee uzima na uhai Mkuu

[emoji1258][emoji635] The United States fears that Europe, under the influence of the energy crisis, will change its position towards Russia and Ukraine, CNN reports, citing sources.

"The risk (of a split in Europe) is real... citizens in Europe could rebel against the Western strategy of isolating Russia economically," the channel said in a statement, citing U.S. officials.

T14 Armata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia amashatatuliwa Malinda,hakuna Tena jeshi pale.., anachofanya ni kuendelea kupigana kiume Ili kuficha aibu anayopata

Mwisho atakimbia kwa aibu tu huyo super pawer wa mchongo [emoji12]
 
Kadyrov kashasema jeshi lake linarejelea mzigoni
Au munamuongelea kadyrov yupi MKUU [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
huyuhuyu yeye antk aonane na putin moja kwa moja haridhiki na namna majenerali wanavyoendesha mambo, anafikiri anajua kuliko wao
The leader of Russia’s Chechen Republic, Ramzan Kadyrov, has expressed his dissatisfaction at the rapid withdrawal of the country’s troops from parts of Ukraine’s Kharkov Region, over the weekend.https://www.rt.com/russia/562601-chechen-leader-ukraine-retreat/
 
Mamæ na bado mbona

Russia is an energy giant in Europe
 
Jamaa kaona kipigo anachopokea super pawer wao ,hakiendani na jeshi lao tulilohaminishwa kwamba ni la pili kwa uhimara dunian,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…