Kila nikisoma comment zako nakumbuka wewe ndiyo muasisi wa Kyiev kuwa majivu ndani ya masaa machache yajayo tangu tar 28 Feb πanatumia akili huku anaomba mazungumzo hata kwa dk 30 na putin
Waache wauwawe tu usilalamike.Hao sio wanataka Kuua warusi wanajilinda kutokana na mrusi kuwavamia
Mrusi akirudi nchini kwake wao hawana shida naye sasa mtu akuvamie kwako nikibeba panga useme nakuonea
Kwa hiyo nikae nyumbani kwamgu bila silaha nikuache tu unitwange nyumbani kwangu
Warusi wa Itilima mna manenoUnabisha ujinga kweli ndugu, ufahamu na uelewa wako wa mambo no mdogo sana. Russia amewaona Ukraine kama ndugu kabisa wa damu ambao wame-share historia muhimu sana hivyo wamepeleka silaha zile hafifu sana na mpaka sasa haijatumika silaha vimetumika vijisilaha vya enzi za soviet. Ungetaka kujua Russia ni nini NATO angepeleka jeshi.
Mwanzoni eti NATO wakiongozwa na Ujerumani walikuwa wanatoa kauli za vitisho Putin aliposema tu usalama wa Russia upo shakani na kuviagiza vikosi vyote vikae tayari umeona kuna harakati zozote Poland ,umeona kuna kauli imetolewa tena.
Wewe ulikuwa unatakaje
Mrusi wa Itilima povu ruksa πWewe ndio unajiona una utashi mkubwa wa kuandika? Ni wapi umewahi kuona sentensi na sentensi zinatenganishwa na koma ? Umeshindwa kwa hoja naona unataka kuleta ' personal attack'
Kuandika tu neno hela ujui,utajua nini Sasa?eti mpiga eraYaani mpaka sie vilaza wa TZ wanatoa tathimini
Libya, Iraq na Syria zilikuwa sehemu ya NATO walipopeleka jeshi kujifanya wanasaidia raia? Una hoja mufilisi sana. Russia kavamia Ukraine na kuwaonea raia kama mnavyosema basi NATO wamepeke jeshi kusaidia uone kama mpaka mpaka wa ulaya haujasogezwa.Kwani ukraine ni sehemu ya umoja wa NATO hadi NATO apeleke jeshi?
Halafu sasa kichekesho kikubwa ni hawa hawa wanaomshangilia Putin enzi za Serikali ya awamu ya Tano na hata kule Jukwaa la Siasa walikuwa wanatokwa mapovu ya kulaani Udicteta wakiongozwa na kina Yericko Nyerere , unabaki unajiuliza hawa ndiyo wanaolilia Demokrasia hapa Nchini kweli,tukiwapa madaraka si watageuka kuwa kina Putin wa Bongo.Mkuu wewe darasani ulikuwa sio timu ya ubuyu na visheti!yaani unachambua mambo vizuri unaeleweka,Kuna wajinga wanachukulia hili suala Kama movie za Rambo,yaani hawaangalii impact za baada ya hii Vita itayoikumba dunia,wapo busy kuchekelea eti Putin mbabe,Wanamsifia mtu anaharibu atmosphere ya dunia kweli..Tanzania sisi na serikali yetu tunafanana akili zetu,dunia nzima imelaani hili suala sisi serikali inasema haina msimamo ,huku Wananchi wako wanampraise Putin akalie nchi ya mwenzie kimabavu,yaani hata sielewi akili zetu huwa Zina nini!
Hivi ni Putin ndiye aliyesema kuwa operation hiyo ingechukua saa 24????!!! Watu naona mmeshiba mno propaganda za USA na magharibi kwa ujumla....game plan ya Russia kuhusu Ukraine ni tofauti kabisa...subirini muonePamoja na kuwa ni mdogo lakini anatumia akili zaidi na kaonyesha upinzani mkubwa tu kuliko adui anaepambana nae,Ukraine inazidiwa kwa kila kitu na Russia ndiyo maana wengi waliamini kabisa hii vita wenyewe humu wanaiita special operatiosn ingekwisha ndani ya msaa 24 tu,Lakini kinachoendelea tumeona hadi Mkubwa alipanic akataka atumie hadi Mabomu ya Nyuklia utadhani yeye angebakia salama kama angeyatumia.
Kwa hiyo wewe hapo ndiyo umeonyesha unajua kwa comment hii tu.Hujui lolote wewe
Ndio Habari nazopenda kuzisikiaBreaking news:urusi yakinyakua kinu kikubwa cha nyuklia balani ulaya muda mfupu uliopita hichi kinu kipo ukraine. Putin anaendelea kugawa dozi
View attachment 2138216
Unadhani kwanini basi watu hawatoki pamoja na kunyeshewa mnvua ya mabomu kila siku?Kuichuku nchi nzima sio kitu rahisi kwa Strategy Anayoitumia Putin ya kubembeleza, Na ndio inampa hasara sana.
Uwepo wa watu katika battlefield Imekuwa advantage kubwa Sana kwa Ukraine, kutumia kama kinga kwao, Na kuwapa ugumu Russia kutupa mabovu kwa kunyatanyata.
Nazani wangesema raia wote wametoka, Nchi ingebaki tambalale.
Map of the progress of the special operation for March 3
View attachment 2138152
Anadharau Marekani wakati leo akipewa Green Card ya kwenda kuishi huko anaweza hata kuukana uraia ili akaishi "American Dream"Usidharau Marekani. Wale watu wana personel ya watu wenye akili. Kama una exposure jaribu kujipenyeza kwenye taasisi za kati za USA au nchi washirika utanielewa.
Hivi hawa wakimbizi wa waUkrain zaidi ya milioni moja wametoka Tanzania?Unadhani kwanini basi watu hawatoki pamoja na kunyeshewa mnvua ya mabomu kila siku?
Taifa lina bahati mbaya sana ya kuwa na watu wengi wa hovyo, vilaza wenye akili kiduchu na mawazo finyu.Mkuu wewe darasani ulikuwa sio timu ya ubuyu na visheti!yaani unachambua mambo vizuri unaeleweka,Kuna wajinga wanachukulia hili suala Kama movie za Rambo,yaani hawaangalii impact za baada ya hii Vita itayoikumba dunia,wapo busy kuchekelea eti Putin mbabe,Wanamsifia mtu anaharibu atmosphere ya dunia kweli..Tanzania sisi na serikali yetu tunafanana akili zetu,dunia nzima imelaani hili suala sisi serikali inasema haina msimamo ,huku Wananchi wako wanampraise Putin akalie nchi ya mwenzie kimabavu,yaani hata sielewi akili zetu huwa Zina nini!
Watu wamegundua Putin halengi raia!Kama wangenyeshewa mabomu,wangekwishakimbia!Unadhani kwanini basi watu hawatoki pamoja na kunyeshewa mnvua ya mabomu kila siku?
πππ. Nafikiri Ndo nchi inayoongoza kwa watu kutaka kuwa raia wake.Anadharau Marekani wakati leo akipewa Grren Card ya kwenda kuishi huko anaweza hata kuukana uraia ili akaishi "American Dream"