Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Moldovan President Maia Sandu:

"Every month, Moldovagaz and the government try to get a different price. But Gazprom does not agree.

Gazprom says that we have a debt of 800 million dollars there since 1994. Which they have not demanded so far, but now they are demanding it.”
 

Germany REFUSES Tank Supply to Ukraine.​


German Defense Minister Christine Lambrecht on Monday rejected demands to supply Kyiv with main battle tanks.
"No country has delivered Western-built infantry fighting vehicles or main battle tanks so far," she said in Berlin.
"We have agreed with our partners that Germany will not take such action unilaterally."
 
Moldovan President Maia Sandu:

"Every month, Moldovagaz and the government try to get a different price. But Gazprom does not agree.

Gazprom says that we have a debt of 800 million dollars there since 1994. Which they have not demanded so far, but now they are demanding it.”
 
Tazama silaha nyingi sana warusi wametelekeza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Bila shaka Putin amekipata alichotaka,na hili liwe funzo kwa madikteta wengine,

Ubabe usio na maana umepitwa na wakati,
 
Hawa ni wendawazimu Tu ,hiyo winter imeanza leo ?,Kabla ya kuvumbuliwa gesi walitumia nini ? , Zile vita za miaka 100 Kati ya France na Britain na vita nyingine zilizopiganwa miaka hiyo Kabla y Matumizi ya gesi zilipiganwaje ?
 
Ukisoma hiyo sentensi ya Mwisho (Kwa nilivyoelewa) kama majadiliano yakiendelea huko mbeleni na washirika wao wakikubaliana bhas hivyo vifaru vitapelekwa. Mfano mwanzoni walikataa kupeleka Gepard ant aircraft system lakini baada ya majadiliano ya muda mrefu na NATO members wamezipeleka Ukraine.

Hata hivyo Pentagon wameanza kufikiria pia kupeleka vifaru Ukraine
 
Alikuwa anatukana kama kalewa gongo hivi mkuu ulim report au kakutana na rungu tu mana mimi nilikuwa najibizana nae hapo juu kidogo tu.
Naona atakuwa amekutana na rungu, maana alikuwa anatukana kila mtu mwenye mawazo tofauti,

Wala sikuangaika Naye kumliport,
 
Hawa ni wendawazimu Tu ,hiyo winter imeanza leo ?,Kabla ya kuvumbuliwa gesi walitumia nini ? , Zile vita za miaka 100 Kati ya France na Britain na vita nyingine zilizopiganwa miaka hiyo Kabla y Matumizi ya gesi zilipiganwaje ?
Kitendo Cha operesheni iliyopangwa kumalizika ndani ya saa 72, kugeuka na kuchukua wiki na hatimaye miezi kadhaa ni fedheha kubwa sana kwa Putin,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…