Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Assange anashitakiwa kwa makosa gani Marekani?
 
Mngemwambia Zelensky akaacha kuwatesa na kuwaua warusi wa Donbas,haya yasingeokea!Yaani jeshi la Nazis ndio lilikuwa deployed Donbas!Warusi walikiona Cha moto,miaka nenda Rudi jamaa anamuonya Zele ila akawa Kichwa ngumu!
Bwana usirudie propaganda ya kale... Watu wa Donbas walio wengi waliwahi kukubali katiba ya Ukraine huko nyuma; idadi ndogo ilipinga.
Urusi iliingilia kati ikafadhili makundi ya hao waliotaka kuwa upande wa Urusi si Ukraine.
Wakati polisi ya Ukraine iliwashughulikia, Urusi ilituma silaha na baadaye wanajeshi waliovaa nguo za kiraia, mapigano yalianza, vikosi vya Urusi viliingia, viongozi wa makundi ya kupendelea Urusi walitangaza "jamhuri". (Ambazo hata Putin hakutambua rasmi hadi mwaka huu! Maana dunia ilijua ni jamhuri bandia. Hata China haikuzitambua!).
Mapigano yaliendelea katika vita ambako watu walikufa pande zote mbili.
Kufyatuliana grenedi kuliendelea hata baada ya mapatano ya kunyamazisha silaha. Ninavyojua pande zote mbili.

Wakati mambo hayo yote yalianza na kuendelea , Zele hakuwepo kwenye siasa.
 
Taarifa za uvamizi wa Russia zinatakiwa kuwa confirmed na nani?
Uvamizi wa Russia Ukraine ni sensitive kipi?
Unlike you mimi sioni shida kwenye hiyo restriction. Kama ni taarifa ambayo haijawa confirmed sioni kwa nini itolewe ukizingatia swala lenyewe ni sensitive namna hiyo, vita! Kuhusu kukosoa nafkiri ni chumvi otherwise uje na chanzo.
 
Ni kweli,double standard
 
Super pawer wa mchongo anazidi kulambishwa hasara
Maskini huyu. Putin alijiandaa vibaya, anakosa askari. Wanatafuta magerezani, kwenye maeneo yasiyo na maendeleo waa kazi kama Buryatia, kati ya watu wenye madeni wanaoona dola wanazolipwa ni pesa nyingi . . . Sasa wanajikuta kwenye mapigano makali, bila uongozi mzuri. . . Hawajui wanachopigania, ila visenti hivi ...
 
Kwa nini iwe ni kosa kukosoa uvamizi wa Russia Ukraine? Mbona wakina Bernie Sanders, majenerali wastaafu na watu wengi sana Marekani walipinga kwa nguvu sana uvamizi wa US Iraq wa mwaka 2003 na hawakuguswa?

Nani huko Urusi ana wajibu wa kuthibitisha kuhusu hicho kinachoitwa SMO huko Ukraine?
 
Taarifa za mwenendo wa uvamizi wa Russia huko Ukraine ni siri za taifa/classified nchini Urusi?
 
Assange anashitakiwa kwa makosa gani Marekani?
WikiLeaks founder Julian Assange was ordered to be extradited to the U.S. by a London Court on Wednesday morning.

The order was issued by Judge Vanessa Baraitser of the Westminster Magistrates’ Court in London, where the United States had sought an order for Assange to stand trial on 18 criminal charges in the U.S. District Court for the Eastern District of Virginia, filed in 2019.

The charges, filed under the 1917 Espionage Act, stem from Wikileaks’ publication of thousands of U.S. diplomatic cables and files, many of them classified, in 2010 during the Obama Administration. The documents had been leaked by Chelsea Manning, a former U.S. Army Private whose sentence was commuted by President Barack Obama. If convicted, Assange faces over 170 years in prison
 
Mkuu labda ni tatizo la tafsiri. Mimi naona kuna tofauti kati ya kukosoa na kutoa taarifa za uongo 'false information'. Kilichokatazwa nafkiri ni taarifa za uongo sina hakika na kukosoa!

Juzi tu tumeona meduputies kibao wanamtaka putin ajiuzulu sababu ya hii vita na kuna mmoja anasema kbs haiwezekani kuidefeat Ukraine kwa namna urusi wanavyopigana na hali jinsi ilivyo. Huko ni kukosoa lkn sio kutoa taarifa za uongo. Taarifa za uongo ni kama za kudai urusi imepoteza wanajeshi 50k mpk sasa. Taarifa km hii inabidi kbl haijatolewa iwe verified na confirmed na MOD. Kwa ajili ya kuzuia kuanguka kwa morali ya wapiganaji na wananchi kwa ujumla.

Kuna taarifa iliwahi kutolewa kuwa urusi imebakiza chakula cha siku 3 tu au ile ya kusema zaidi ya majenerali 50 wameuawa mpk sasa vitani. Kuna nyingine zilidai putin ni mgonjwa na kaanzisha vita kwa sababu anajua hatoishi muda mrefu. Hizi zilikuwa ni taarifa za uongo. Nchi yako ikiwa vitani huwezi kuruhusu taarifa km hizi zisambae maana zitapelekea kushusha morali ya wapiganaji wako.

Na hakuna popote pale duniani nchi inayofurahia wala kuruhusu taarifa za uongo zenye lengo la kupotosha makusudi hasa hasa wakati wa vita.
 
Assange anashitakiwa kwa makosa gani Marekani?
WikiLeaks founder Julian Assange was ordered to be extradited to the U.S. by a London Court on Wednesday morning.

The order was issued by Judge Vanessa Baraitser of the Westminster Magistrates’ Court in London, where the United States had sought an order for Assange to stand trial on 18 criminal charges in the U.S. District Court for the Eastern District of Virginia, filed in 2019.

The charges, filed under the 1917 Espionage Act, stem from Wikileaks’ publication of thousands of U.S. diplomatic cables and files, many of them classified, in 2010 during the Obama Administration. The documents had been leaked by Chelsea Manning, a former U.S. Army Private whose sentence was commuted by President Barack Obama. If convicted, Assange faces over 170 years in prison
 
‼️ 🇺🇦 🇷🇺The Russian army continues its offensive in the Donetsk region — the main thing from the summary of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine:

▪️The Armed Forces of the Russian Federation are focusing their efforts on the offensive in the Donetsk region, holding occupied territories and disrupting the active actions of the Armed Forces in certain areas.
▪️ The positions of the Armed Forces of Ukraine along the contact line are being shelled by Russian artillery. The Russian Armed Forces are actively conducting aerial reconnaissance.
▪️ Russian units are conducting offensive operations in the areas of the settlements of Veselaya Dolina, Mayorsk and Zaitsevo.
▪️Over the current day, Russian troops have carried out 5 missile strikes, 5 air strikes, and also carried out 23 attacks from MLRS.
 
Andika haya makosa kwa Kiswahili, nitakuelewesha na nitakusaidia kuyafafanua

Katika hayo makosa 18 ni yapi makosa serious sana yanaweza kusababisha akafungwa hiyo miaka 170?

Katika hayo makosa 18 kuna kosa lolote linalosema anashitakiwa kwa kuchapisha habari alizochapisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…