Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamaa ni waongo na wasingiziaji sana..yaan katika majadiliano mtu akianza ingiza story za Marekani anawadanganya fulan na fulan tayari najua dish bovu.☺️
 
Tangu lini kenge akashauriwa...hadi damu zitoke puani.
Sema mambo yamekuwa mazito
 
Vladimir Solovyov says his country should form an international coalition for its war in Ukraine including Venezuela, Iran, North Korea, Cuba and Nicaragua
Mbona anataja nchi tu ambazo zilifaulu kuharibu uchumi na kutesa wananchi wao? Kama vile Venezuela, Iran, North Korea, Cuba na Nicaragua ?? - Kwa upande mwingine, sawa, zinalingana. Ila tu siwatakii Warusi hatma kama watu wa nchi hizo...
 
Yeah ni kweli ni issue ya tafsiri ambayo kimsingi wenye mamlaka ya kutafsiri ni mahakama ya urusi na naheshimu hilo, pia naelewa kuwa taarifa za uongo si hazikubaliki popote pale dunian, ingawa kiuhalisia hapa fake news inayomaanishwa ni any news ambayo serikali ya bw putin haitopendezwa nayo, but ni mtazamo tu pia natambua kila nchi ina uhuru wa kuweka sheria kadri ionavyo sawa
 
Putin ni mjeuri so cdhan kam kwel anarudisha majeshi yake nyuma bila plan B

Nadhan soon atafanya mashambulizi makubwa zaidi

Tusubiri muda unaongea.
Putin hawez kukubali kushindwa, hajawahi kufny hvyo, ni either ukraine iharibiwe zaidi au russia yenyew ipate athari za mda mrefu za kisiasa kiusalama na kiuchumi
 
Aliokwambia TEHRAN au IRAN kuna machafuko nani kijana. Nyie msiokua naudikteta namnao heshimu sheria mme wazidi kipi IRAN au mmewazidi kupewa misaada.

Mpaka leo vyoo kwamsaada mpaka leo barabara zenu za hovyo. Cjui unatoka nchi ipi ila nakuhakikishia nchi unayotoka hakuna treni wala njia ya treni ya chini ya ardhi hata moja huko IRAN kawaida.

Huko kwenu watu wanakufa njaa huko kwenu umeme wamgao huko kwenu afya duni. Kheri udikteta wa IRAN kuliko uhuru uliopo nchini kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
never ever use nyukilia kama US ili ushinde vita
Silaha ni silaha msipangie watu kama mnaona mnaonewa tumieni nyuklia kama hiroshima na nagasaki ili ziende RUSSIA kama hamuwezi kueni wapole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante, kumbe tuko pamoja kuhusu udikteta nchini Iran!
Machafuko ya hewa Tehran hujui? Kumbe unakaa Ghom huoni? Uniamini tu, ni vibaya mno miezi ya baridi hadi watu wanakufa barabarani. Isingekuwa lazima kama dikteta asingesisitiza kutema chuki dhidi nchi mwanachama wa UN na kutisha nchi jirani . . .
Ona Tehran kama hewa ni safi (mfano baada ya mvua)

Ona Tehran wakati wa baridi ambako hewa chafu kutoka magari yenye tekinolojia bovu inasumisha hewa:
 
🪖 Nearly 5,000 Ukrainian servicemen successfully completed the training with the participation of instructors from Canada, the Netherlands, New Zealand, Ukraine and the United Kingdom itself





They received basic knowledge, skills, and abilities in tactical medicine, engineering, fire, psychological and tactical training, including offensive and defensive operations in urbanized terrain.
 
🇰🇿 Kazakhstan transferred trade with Russia under US sanctions control

This was reported in the Ministry of Foreign Affairs of Kazakhstan and added that now no agreements will be signed without the consent of US officials.

This decision was made in order not to fall under secondary sanctions.
 
🛩 A civilian airplane took off from Ukraine

On Tuesday, September 13, a WizzAir airplane, which was stuck in Ukraine a few months ago, received permission to take off from Lviv.

This is the first civilian plane to depart from Ukraine since February 24.
 
من خودم دیدم عزیزم
Unajua, kwa Iran ni rahisi kuonekana bora kwa mtu anaytoka Bongo au Afrika ya Mashariki. Ukilinganisha, kweli wameendelea sana!!

Ila nimejifunza kwa macho ya Mwirani (kutoka kwao), walio wengi wanatarajia wangefika tayari mbele zaidi.

Nchi inachoma sehemu kubwa ya pato la taifa a) katika silaha na siasa ya kuingilia siasa ya nchi jiranii (hapo sababu wanaimba kwenye maandamano "moyo wangu kwa Iran si kwa Syria au Palestina") halafu b) katika mfumo wa rushwa kupita kiasi, halafu c) katika uchumi ambako sehemu kubwa mno iko mkononi mwa ndugu au marafiki wa dikteta pamoja na d) kutafuta njia panya kuepukana na vikwazo vinavyosababishwa na siasa ya kuingia katika mambo ya nchi jirani na kutisha nchi nyingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…