Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kabla ya hii SMO walikua wapi wasitumie hizo option nyengine badala yake wakawa wanatumia billion za dola kumnufaisha RUSSIA
Nabado wakat hii OP inaendelea wapo wanaomnufaisha RUSSIA kwakununua vitu tele toka kwake nahawataacha
Mwisho sio kwamba option hazipo ila ningumu kuzitumia ukilinganisha na zahapo RUSSIA kiasi kwamba wanaoba tu baniani awe mbaya ila kiatu chake dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao jamaa water walitawaliwa na Russia mipaka yao inachanganya kinoma kila mmoja wao ana maeneo ndani ya nchi mwenzie.
 
View attachment 2358730ukisikia mataifa ya ulaya ni wapumbavu ndiyo kama hivi, hii ndiyo democracy wanayoihubiri????

Jamaa wamepiga stop mradi wa bomba la mafuta la Uganda na tz
Ujinga wetu wenyewe MKUU
Huu ndio wakat sahihi wakusimamia tunachokiamini
Tukishindwa wakati huu kunapoendelea SMO hatutatoboa tena
Walau jiran yetu UG hapa wetoa neno cjui wenzetu hapo TZ mnasemaje !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia bado hajaamua vita iishe ila akiamua ni sekunde tu. Russia bado hajapata anachokitaka lazima apeleke taratibu ili malengo yatimie
Hakuna nchi inayopenda au kuona fahari wanajeshi wake wakiwa anakufa vitani.ndo maana Alianza Kiev Ili kuangusha selikali.pia kuhusu nishati ni swala la muda tu maana sisi tuona makaa ya mawe yavyo chimbwa Huku ludew,pia Nigeria anavyo pata tenda,Iran sio mda wanapunguza vikwazo wataamza kuuza mfuta kwenye soko la Dunia,Ulaya itaendelea kupata fedha za kufadhili silaha Ukraine
 
Taifa lenye tabia za kike la US linataka kuleta figisu kwenye mfumo wa malipo wa Urusi MIR lakini limekutana na za USO [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

WORLD NEWS

Russia Vows to Continue Mir Card Expansion After New U.S. Sanctions

By Reuters Wire Service Content • Sept. 16, 2022, at 8:31 a.m.

LONDON (Reuters) - Russia's central bank on Friday pledged to keep expanding the number of countries that accept its Mir bank cards after new U.S. sanctions targeting people and entities accused of helping Moscow skirt financial sanctions.

The United States on Thursday sanctioned the chief executive of the Bank of Russia's National Card Payment System (NSPK), which runs Mir, saying it was seeking to hold the Russian government accountable for its Feb. 24 invasion and continuing war against Ukraine.

"Russia has scrambled to find new ways to process payments and conduct transactions," the U.S. Treasury said. "Directly and indirectly, Russia's financial technocrats have supported the Kremlin's unprovoked war."

The importance of Mir cards for Russians rose substantially this year after U.S. payments firms Visa Inc and Mastercard Inc suspended operations in Russia and their cards that were issued in Russia stopped working abroad.

Cuba, South Korea, Turkey, Vietnam and a handful of former Soviet republics accept Mir, which means both "peace" and "world" in Russian, with others such as Iran intending to follow suit soon.

A portion of this page is unavailable in this experience. For a richer experience, click here.

The central bank said Mir cards and other NSPK services would continue working as usual in Russia.

"Foreign partners themselves take decisions about opening their infrastructure to accept Mir cards," the central bank said. "At the same time, we intend to continue dialogue about expanding the geography of Mir card acceptance."

The U.S. Treasury said it had blacklisted 22 individuals, including four financial executives whose actions could directly or indirectly support Russia's war effort by helping it evade financial sanctions imposed on Russia after the invasion.

One of those four was named as Vladimir Komlev, the head of NSPK.

"Russia created its own state-run card payment system in 2014 out of fear of U.S. and European sanctions," the Treasury said.

"In his role, Komlev has promoted the Mir network in other countries, which ultimately could assist Russia in circumventing international sanctions."

NSPK did not immediately respond to a Reuters request for comment.

Moscow says that what it calls a "special military operation" in Ukraine was necessary to prevent its neighbour being used as a platform for Western aggression, and to defend Russian-speakers. Kyiv and its Western allies dismiss these arguments as baseless pretexts for an imperial-style war of aggression.

(Reporting by Reuters; Editing by Kevin Liffey)
 
ukiangalia picha zinazoonyesha silaha walizoacha warusi waliporetreat kutoka kwe hii miji inashangaza sana maana ni nyingi, halafu kuna baadhi ya maeneo wameondoka tu bila mapigano yoyote lkn pia wakaacha silaha kibao, kwa mujibu anti-kremlins wa huko telegram kuna jenerali mmoja karibu na mstari wa mbele alitafutwa kupitia video link aripoti moja kwa moja kwe security council kuhusu hali halisi mstari wa mbele jamaa akatokea akiwa na chupa ya pombe tena yuko chakari halafu anareport pumba tupu, km haya ni kweli yanatokea basi warusi watakua wanachangamoto zingine ila si uwezo wa kupambana
 
Taifa lenye tabia za kike la US linataka kuleta figisu kwenye mfumo wa malipo wa Urusi MIR lakini limekutana na za USO [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2358742
eeh mkuu, ukisikia kujitegemea ndo kunapimwa hapo, hizi interbank messaging system za china na mrusi hazijitegemei moja kwa moja kuna mahala zinalink au kudepend na SWIFT so marekan anaclamp hayo maeneo ambayo yanahusisha nchi za turkey,UAE na china
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…