Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakuna alie tayari. 1960s tulikuwa na uchumi almost unao karibiana na china na s.korea?
Leo wako wapi?
Sis tuko wapi?
Kuna kizaz chao kilijitolea sadaka wao kuvuka na wakatengeneza program za kuendeleza walipopapigania.

Siku tukiamua tutavuka
Unavukaje Mr makamba hana mpango na bwawa ambalo ni catalyst for economic
 
Pro ukraine huko telegram wanadai kwe maongez ya putin na xi huko astana xi amemsihi putin afny kila linalowezekana kutuliza mzozo maana mfumuko wa bei pamoja na disruption of supply chain ni moja ya changamoto kubwa kwa uchumi wake kwa kipindi hiki
 
President of Serbia: Europe will freeze in winter without Russian gas

The introduction of price restrictions on Russian gas by the European Union could end in a complete interruption of fuel supply, as a result of which Europe will freeze, says Serbian President Aleksandar Vučić.

"If the EU decides on September 30 to limit the price of gas from Russia, and I hope that many countries will oppose it, then the Russians could decide to cut off gas in Europe." After that, the price of gas doesn't matter anymore, you just don't have it, you'll all freeze. Then the price of electricity will rise from 400 euros to 40,000, which even Germany will not be able to pay," said the Serbian leader.

According to him, the European Union should protect itself from irreparable decisions that can put the inhabitants of many countries in an extremely difficult situation. Vučić said that he will oppose such radical steps to the last and believes that "reasonable forces" in the EU should do the same.
 
Mkuu hio mada ni very interesting but resources nchi hii sio shida na kila mzalendo husema tuna hiki kile but namna ya kuvitumia hivi vitu bila kuingia mtego wa mabepari ndio imekua issue, maana siku hizi ht mchina ana terms zilezile tu ukiacha uingiliaji wa mambo yenu ya ndan,
 
Umenikumbusha Rais wa Iran kipindi cha nyuma Ahmednejad kama sikosei wakati wa kampeni aliahidi kuifuta kwenye ramani Israel,akapata kura nyiiingi,dunia macho na masikio yakaelekezwa huko.Kilichotokea mpaka anaondoka madarakani hakufanya alichoahidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Europeans are there before gas was discovered.
 
Hii ni nzuri sana [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Modi amfunda putin putin huko, eti enzi hizi sio enzi za vita, putin anajibu tunataman vita iishe haraka ila ukraine hawataki mazungumzo wantk kufikia malengo yao kwe uwanja wa vita duh! Putin anaongea uongo ht mbele ya rafiki zake,
Putin kawa Mtu wa kujielezea tu toka kwa Xi mpaka kwa Modi.

Ukiangalia facial expressions za Putin huyu wa Leo na Yule wa February 24 alipotangaza kuivamia Ukraine wana tofauti kubwa Sana. WA sasa hana Ile confidence aliyokua nayo Putin wa February 24.
 
Pro ukraine huko telegram wanadai kwe maongez ya putin na xi huko astana xi amemsihi putin afny kila linalowezekana kutuliza mzozo maana mfumuko wa bei pamoja na disruption of supply chain ni moja ya changamoto kubwa kwa uchumi wake kwa kipindi hiki
True. China ina matatizo lukuki kipindi hiki kuanzia sekta ya nyumba,bank,Sera yao ya zero COVID na hii vita ndo inazidi kuongeza makali
 
Sasa hii kauli yako inausika vipi na Ayatollah Khamenei kuwa dikteta na kuwa anaiba kila uchaguzi..?
 
We jamaa nakupa heshima yako unabishana kwa hoja na sio matusi Kama wenzako walio wengi humu.

Nakupa heshima yako.
Asante,kwenye majukumu ya kutafuta ugali tuvurugane,halafu ukija JF uje utukanane na watu ambao hata kuwajua huwajui!Inakuwa sio,utajiharibia siku bure mwisho wa siku umjibu vibaya hata mkeo kisa umevurugana na mtu JF!Nikiona mtu anaingiza matusi basi namuacha tu,akitulia atajua alikosea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…