Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wqpi urusi ameomba silaha wewe leta ushahidi.

Urusi bado anauza silaha na juzi tu kapeleka silaha armenia.
 
Kwanini asitumie hiyo akili imfikishe mpaka elimu ya juu...
Kusoma vijarida vya internet basi tayari ameshakua mchambuzi makini 😂
Usipoteze muda wako kujibizana na vijiwe vya kahawa
 
[emoji845]🇺[emoji1233]🇺[emoji3518]If Russia uses nuclear weapons in Ukraine, it will have consequences and Russia will become "an even greater outcast,"Biden said.

When the journalist clarified what the consequences would be if Vladimir Putin crossed this line,Biden president remained silent[emoji845]
 

Hiyo ni tarehe ngapi??? Na leo tuko tarehe ngapi?? [emoji706][emoji706]
 
Hakuna ushahidi wowote hapo achana na propaganda. Hiyo picha inawezakuwa imepigwa kutoka sehemu yoyote duniani. Manufactured nonsense!!!

Nataka statement ya iran kupeleka silaha urusi au china au nk au ya urusi kupokea silaha kutoka nchi hizo. Kama ambavyo eu au us wanatoa taarifa za kupeleka silaha ukr au ukr anapotoa statement za kuomba silaha kutoka kwa washirika wake!

Achana na propaganda
 
Hmm. Mimi natazama kitu tofauti kidogo. Pale mwanzoni, kabla ya uvamizi , wataalamu wengi wa magharibi walisema Ukraine itashindwa haraka, maana hapa inakuja jeshi kubwa la Urusi, waliloona kama jeshi la pili duniani jinsi ilivyoandikwa kote.
Baada Warusi kukimbia kutoka Kyiv walianza kushangaa, wakisema kumbe, uongozi mbaya na maazimio kadhaa ya kipumbavu, vita itachukua muda lakini Ukraine haiwezi kudumu muda mrefu sana.
Ikafuata kipindi ambako mistari ya mapigano ilikwama bila mabadiliko. Ikaonekana Urusi ulishindwa kudhibiti anga, ilikuwa na uhaba wa silaha za kisasa (kama zie roketi za kulenga kwa hakika), ilianza kutumia roketi za manowari kwa ndegevita zake, idadi ya vifaru vilivyolipuka iliongezeka mno... Finland ikaseme "Twende NATO, hatuogopi Urusi tena, wakija na jeshi kama huko Ukraine, tutawamaliza tu".

Na silaha mpya Kutoka magharibi zikaingia kama vile Himars, mizinga ya Marekani, Panzerhaubitze 2000, ile mizinga ya Ufaransa... Hazikuwa nyingi lakini zilileta mabadiliko. Jeshi la Ukraine likaonyesha uwezo wa ajabu kuzjifunza haraka na kuzitumia. Ikaonekana Warusi hawana silaha za aina hiyo (angalau si ya kutosha). tena hawana wanajeshi wa kutosha. Walipopeleka vikosi eneo la Kherson walikosa askari wenye maarifa na mafunzo walioweza kubaki Kharkiv.

Sasa ushindi katika eneo la Kharkiv. Naona sasa sauti nyingi zinazosema: Kumbe Urusi haikuisha bado lakini tulikosa tulipoiangalia kama jeshi kubwa la pili duniani. Bila akiba yake ya nyuklia hakuna cha kuogopa kuhusu jeshi hilo...

Bado wengi wanaona kwamba vita itaendelea muda mrefu bila kufika mwisho. Lakini idadi inaongezeka wanaosema: Sasa tunaona uwezekano wa ushindi wa Ukraine. (Ila maoni ni tofauti kama hii inamaanisha kuchukua Krimea na zile jamhuri za Donbas)

Ninatazama na kufuatilia tu. Naona mabadiliko ya maoni.
 
Hahahaha[emoji23][emoji23] Propaganda
 
Bado Ukraine wanatembezewa moto 💥💥💥

Russia says it launched attacks on Ukrainian troops in several regions​

Russia’s defence ministry said its forces had launched raids on Ukrainian positions in several parts of Ukraine, and accused Kyiv of carrying out shelling near the Zaporizhzhia nuclear power plant.
Russian forces conducted their strikes in the Kherson, Mykolaiv, Kharkiv and Donetsk regions, according to the ministry, which added that Ukrainian forces had carried out an unsuccessful offensive near Pravdyne in Kherson.
According to the ministry, two incidents of Ukrainian shelling were recorded near Zaporizhzhia, Europe’s biggest nuclear power plant.
A spokesperson for Ukraine’s foreign ministry denied that Ukrainian forces had carried out shelling near the facility.
 
Sasa ushindi katika eneo la Kharkiv. Naona sasa sauti nyingi zinazosema: Kumbe Urusi haikuisha bado lakini tulikosa tulipoiangalia kama jeshi kubwa la pili duniani. Bila akiba yake ya nyuklia hakuna cha kuogopa kuhusu jeshi hilo...
Urusi ni tishio kwenye karatasi tu.

ila ni mabingwa wazuri sana wa propaganda ndio maana walionekana tishio.
 
Ukraine inazidi kukomboa maeneo yote yalitekwa kidhalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…