kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Binafsi nakushauri ujaribu kuficha huo upumbavu ulionaoMtu making,
Mtu makini, mwenye hekima, mwelewa na mstaarabu hawezi kujibu hoja kwa namna hiyo kwenye mijadala
Ya bure wakat mtu katoa jasho lake kununua cmMbona husemi vimbolea vya bure anavyotaka kutoa Putin?!
Vya bure halafu hapo ulipo unatumia simu na mitandao ya Bure toka kwa haohao mabeberu.
Beberu hakwepeki ni kama maji tu.
Ndugu yangu swahib wang bwana T14 Armata atakuja kusema haya nimaoni yamtu tuuuThe head of the Hungarian Prime Minister's administration,Gergely Gulyás, said that Russia has such an advantage in the Ukrainian conflict that it can declare victory at any moment
Well it looks EU will designate Hungary now as"absolute monarchy" of King Victor Orban
View attachment 2359091
Apeleke wanajeshi full au unajifanya hujaelewa swali aone kama hawajatatuliwa marinda mapema sanaYupo mbona mkuu,au huon Himas
Ndugu yangu T14 Armata atakuja kusema haya maoni ya mtu tu kwahio tusimsimsikilize🇩[emoji1096]🇺Russia is far from defeat and still has a variety of military options - German Defense Minister Christine Lambrecht.
Because her law education studies make her military expert...
RUSSIA KHERSON hedi qota
Unasema cost of living Russia ni mbaya zaidi?Hizo habari umepata wapi?Nipe source ya habari Yako!Hayo ya kuhojiwa hao watu hata Russia wangekuwa huru mbona kuna wengi tu ambao wanapinga hii vita,tofauti ya Russia na Italy ni kwamba sehemu moja watu wapo huru kutoa maoni yao wakati Russia hawana nafasi hiyo kabisa.Cost of living kwenda juu kwa Russia is even worse.Nachokushangaa ni wewe kuwa so concerned na Winter kuwa watakufa sana ni kama una wa underestimate viongozi wao waliofanya haya maamuzi.
Tusubiri hiyo winter tuone itakuwaje.Sisi ambao maisha yetu yote hatujawahi ku experience hata hiyo winter tunataka kuwa wajuaji wa jinsi ya kuhandle hiyo weather kuliko wazawa wenyewe.Ajabu sana hii.
Wewe unasema hayoPutin anachokifanya ni kujaribu kutengeneza propaganda ya uhusiano wa kidunia ,lengo ni kuua dhana kwamba yeye alichokifanya Ukraine hakijamuharibia mahusiano ya kimataifa,kwamba bado ana marafik,ila ukweli unabak palepale sasa hivi Russia anakwepwa sana na mataifa mengi,even in Africa, Putin siyo mtu mzur China anamjua sana Putin ila wameunganishwa na kamba ambayo hakuna asiyejua ,tukisema biashara ni uongo
Hivi unaakili kweli?wakati Putin anakutana na viongozi wenzake kama Rais wa China, turkey.Dikiteta Putin anaishi kama digidigi kwenye nchi yake..[emoji848]
Mara akutane na kiongozi wa India Kwa hiyo MTU Kama huyo unaweza kusema anaishi kama digidigi?Dikiteta Putin anaishi kama digidigi kwenye nchi yake..[emoji848]
Umeelewa hicho kilichoandikwa hapo chini MKUU au umepost tuuWashirika wa Putin hawaelewi somo
Mengine siyo mataifa ni mkusanyiko wa watuWewe unasema hayo
Ila ukweli unajulikana ukitaka kujua kama PUT IN katengwa na DUNIA ama laa angalia mataifa mangapi yamemuekea vikwazo na yangapi hayajamuekea
PUT IN katengwa na mataifa machache sana hapa duniani na hayazidi 50 sasa jiulize DUNIA iko namataifa mangapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo alikutana nao kwa muda tu.., akitoka hapo anaenda kujificha kwenye mahandaki kama nguchiro,Mara akutane na kiongozi wa India Kwa hiyo MTU Kama huyo unaweza kusema anaishi kama digidigi?