Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mbona kuna mtu hapo juu kasema kuwa kwenye mkutano China kakataa kumuunga mkono Putin kwenye Vita ya Ukraine???? 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tunapenda kutoa shukrani kwa serikali ya Putin kwa misaada ya kijeshi anayoendelea kuisaidia Ukraine, Mungu ambariki
View attachment 2361381
Inakadiliwa kwamba urusi imetoa msaada wa silaha zenye thamani ya zaidi ya dollar billion 1 tangu mwanzo wa mwezi huu,

Hakika huu ni msaada mkubwa sana [emoji120][emoji120]
 
Putin anashinda sana nje ya Ukrania watu wanasafa .Kumbe ulaya imeshikiliwa na Russia . Kweli Russia ni mkimya sana . Majigambo yote ufahari wote kumbe tegemezi NAMNA hii. Russia ametufumbua macho kwa VITENDO juu ya ubeberu na fitna zake . Tulisoma sana maandiko ya kina Marx kina Lenin hatukupata kuelewa kama SASA.

Fikiria baada ya kutofautiana nao SASA tunaambiwa bomba la gesi na mafuta la Hoima Tanga halifai na ni ishu ya kujadiliwa bunge la European Union. Wamelikataa mabeberu. Upande mwingine Congo , Mali, Niger hawataki majeshi ya ufaransa na UN , wanataka majeshi ya Russia akili zimeanza kuturudia .Hawa wajamaa hawana dhamira ya kweli kuzuia migogoro na maafa wanapenda pawepo vita wauze silaha .

Ni ajabu kuna vijana wetu humu wanasapoti ubeberu kisa tu wanadhani ukijiweka kwa US unaonekana modern yaani wa kishua hakuna jingine ni kujikataa .

Najiuliza wakoloni waliwezaje kubebwa na wazee wetu , wazee wetu kuchapwa viboko kumbe kuna wazee wetu walivalishwa VIATU wakapewa kofia na kaptura wakawa tofauti.

Tafuteni kitabu cha Msekwa Pius Waaafrika Ndivyo Tulivyo.
 
Acheni kukopi kopi mkitaka muone live kinachoendelea Russia kawasogezea channel zake hapo satellite ya express 14w tena free Kwa rugha ya kiingereza utaona live front line kinachoendelea sio hao wanaobunibuni wakiwa kiev
Boss ntajie jina la hiyo channel na kingamuz kipi naweza ipata hiyo satellite.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya Russia hajaingia Syria USA(nato) walikuwa wamempa Assad siku 3 akimbie nchi ...NATO wakawa wamekusanya jeshi kubwa nearly Syria

Siku ya kwanza ikapita siku ya pili urusi akatangaza ole wake nchi itakayovamia Syria (hapa NATO walishangaa kugundua tayari urusi alikuwa na base (raktakia)

NATO wakasepa wakaenda kujipanga kwa miezi 5 then ndio wakarudi na genge la magaidi
 
Pro Russia tunaaibika jamani. Pro Nato wanatamba hapa jukwaani utafikiri wapo frontline bhana. Wiki mbili zilizoisha hali haikuwa mzuri kwa upande wa russia. Kuucha mji wa pili kwa ukubwa na kuacha rundo la silaha russia mmetufedhehesha sana sio ambao tulikuwa tunakuunga mkono.
Fanya hivi kama Vladimir Putin unanisikia.
1. Anza upya kuishambulia kiev kwa yale makombora makali. Piga nonstop kwa muda wa wiki mbili. Ukifanya hii Putin Mzee baba wallah tutaanza kuwaona kina Sikirimimimasikini wakianza kutamba hapa jukwaani.

Rushia mmejua kutuaibisha sana.
 
Ni kweli
 
mkuu putin anahitaji political na econoic support toka washrika wake uhiu km china na india, na washirika hao wanataka de-escalation na si escalation ya mambo maana inflation na disruption ya supply chains inawaathiri na wao pia, anatakiwa abalance hayo mambo yote plus image yake mwenyew, sio rahisi sana
 
Je warusi ambao wanachukua wafungwa kila siku wanachinjwa huko frontline
 
We jamaa una masihara sana [emoji2]
 
African Leader Tells US Not To ‘Punish’ Continent

South African President Cyril Ramaphosa has urged the US to not “punish” African nations by pressuring them to cut ties with Moscow, pointing to legislation passing through Congress which calls for more US intervention on the continent.

After meeting with US President Joe Biden, Ramaphosa spoke with reporters about the bill, the Countering Malign Russian Activities in Africa Act, saying the measure “will harm Africa and marginalize the continent.”

“We should not be told by anyone who we can associate with,” he added, noting South Africa’s long-held policy of non-alignment among world powers.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (September 19, 2022)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

💥 Russian Aerospace Forces have launched attacks with high-precision armament at the manpower and military equipment concentration areas of 53rd, 58th and 93rd mechanised brigades near Toretsk, Zaytsevo, Nikolayevka, as well as of 80th Airborne Assault Brigade near Seversk (Donetsk People's Republic).

◽️ The attacks have resulted in the elimination of over 200 Ukrainian servicemen and 11 armoured vehicles.

💥 High-precision attack launched at a manpower and equipment concentration area of 46th Airmobile Brigade of the Armed Forces of Ukraine (AFU) near Belogorka (Kherson region) has resulted in the elimination of 3 armoured vehicles and up to 15 Ukrainian servicemen.

💥 Massive fire attack launched at a provisional base of the units from 59th Mechanised Infantry Brigade near Pershotravnevoye (Dnepropetrovsk region) has resulted in causing casualties of over 30 Ukrainian servicemen killed and more than 50 wounded.

💥 Massive fire attacks launched at manpower and equipment concentration areas of 128th Mountain Assault Brigade near Dolinka, 102nd Territorial Defence Brigade near Rybnoye (Zaporozhye region), as well as at a provisional base of Karpatskaya Sech nationalist battalion in Zaporozhye have resulted in the elimination of over 70 Ukrainian servicemen and militants, as well as of 4 armoured vehicles.

💥 Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery have neutralised 7 AFU command posts near Verkhnekamenskoye, Viyemka (Donetsk People's Republic), Poltavka, Charivnoye (Zaporozhye region), Kostomarovka (Kirovograd region), Barmashovo (Nikolayev region), as well as 52 artillery units, 134 AFU manpower and military equipment concentration areas.

💥 High-precision attack launched by Russian Aerospace Forces has resulted in the destruction of the workshops at Iskra plant located in Zaporozhye and tasked to maintain U.S.-manufactured HIMARS multiple rocket-launching systems.

💥 Russian air defence facilities have shot down 1 Su-25 airplane of Ukrainian Air Force near Aleksandrovka (Kherson region).

◽️ Moreover, 14 Ukrainian unmanned aerial vehicles have been shot down near Lidiyevka, Novomikhaylovka, Chkalovo, Novobakhmutovka, Ryasnoye, Verkhnetoretskoye, Zavitne-Bazhannya, Lyubovka (Donetsk People's Republic), Snigiryovka (Nikolayev region), Chernyanka, Maksima Gorkogo (Kherson region), as well as in Dorozhnyanka (Zaporozhye region).

◽️ 2 U.S.-manufactured HARM anti-radar missiles have been intercepted near Novaya Kakhovka (Kherson region).

◽️ In addition, 2 Tochka-U ballistic missiles have been intercepted near Belozyorka and Chervony Mayak (Kherson region), 24 rocket-propelled projectiles launched by HIMARS and Olkha multiple rocket-launching systems have been intercepted near Volnovakha, Korsun (Donetsk People's Republic), Kherson, Tavriysk, Berislav, Vesyoloye and Novaya Kakhovka (Kherson region), as well as near Chervony Promin (Nikolayev region).

📊 In total, 294 airplanes and 155 helicopters, 1,995 unmanned aerial vehicles, 375 air defence missile systems, 5,028 tanks and other armoured combat vehicles, 839 combat vehicles equipped with MRLS, 3,401 field artillery cannons and mortars, as well as 5,692 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…