Kwenye hiyo quote ya huyo waziri sijaona maneno yaliyo kwenye tafsiri yako ya kiswahili. Umeongeza mengi tu ambayo hakusema. Biased translation.Labda kama umeanza kufatilia hii vita juzi
A spokesman for the Russian foreign ministry has issued another warning to both Sweden and Finland warning them not to join NATO.
Russia repeated its threat of retaliation on Saturday (12 March) if Sweden and Finland ever decide to join NATO, warning of “serious military and political consequences”.
“It is obvious that [if] Finland and Sweden join NATO, which is a military organisation to begin with, there will be serious military and political consequences,” Sergei Belyayev, head of the Russian foreign ministry’s European department, told the Russian news agency Interfax.
“[It] would require changing the whole palette of relations with these countries and require retaliatory measures,” he added, echoing a threat made by Russia the day after its full-scale invasion of Ukraine in February.
Russia threatens Sweden and Finland over NATO membership, again
Mwanzoni kabisa mwa Vita Russia iliwatisha Finland na Sweden wakithubutu kujiunga NATO bhas itwachukulia hatua Kali za kijeshi kama ilivyo Ukraine,lakini siku zilivyoenda baada ya Fin na Swede kuona Russia ni paper tiger,alivyofurushwa toka Kiev na msafara wake wa 65km kupukuchuliwa na Ukraine wakatangaza kujiunga. Russia baada ya kuona jamaa wamejiunga Putin akaamua kujishusha na kusema eti oooh kujiunga kwa Finland na Sweden hakutatishia usalama wao.
BlockedKwa maanaa hiyo wale mamluki wa kizungu waliokuwa wanatoa mafunzo Ukraine na pembeni ya nchi Jirani wajipange kwamba show inayokuja haitakuwa ya masihara... Ndio maana Macron anaangaika kutaka kuongea na Putin toka Jana. Ameshajua Dunia inaenda kubadilika.
Hahaha sometimes kuna vitu vinafurahisha. Nimecheka hapasecurity chief wao bw Nikolai Patrushev yuko beijing saivi anajeleza kwa bosi Xi kwanza akimaliza putin ataendelea
[emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23]KIMEANZA KUELEWEKA
The United States of America invites India and other countries to privately, if they wish, encourage Russia to end its special operation in Ukraine, the White House announced.
Ardhi ipi Kaka,kwani hujui kama asilimia kubwa ya maeneo anayoshikilia Mrusi aliyateka tangu 2014,yaliyoongezeka ni machache tu kama Kherson na mengineyo ambayo aliichukua kiulaini mwanzoni kabisa mwa Vita lakini baada ya Himars Tu kufika speed ya jamaa ikapungua mpk Leo anapigwa counter offensive na Ukraine halafu yeye ndo yupo kwenye defense. Baada ya kuona wamezidiwa hii wanayoita operation haiendi Sawa Putin anataka kufanya full mobilization. Mrusi mpaka sasa hajaiteka Donbass yote, Ukraine Jana imeanza kuchukua vijiji huko Luhank kuficha aibu jamaa kaona aharakishe referendum lakini hiyo pia haitabadili kitu Ukraine itazidi kusonga mbele.Aliwatisha wapi na lini!? Source!? What is your definition of kuwatisha
Putin's stance is clear km Fin Swed wakiruhusu deployment ya NATOs military contingents and infrastructures Moscow will respond mirrorly. Keyword mirrorly!
US pia stance yake ni clear tangu mwanzo hataki direct confrontation against Russia. Refer bidens statement. Ndio sababu amekataa kusupply zana nzito kwa kuwa Ukraine anaweza kuzitumia kushambulia ardhi ya urusi.
Ukraine ameihenyesha urusi wapi!? Kivipi!? Kuachilia 20% ya ardhi yake ndio kuihenyesha!? Kutekwa kinu chake cha nuclear ndio kuihenyesha!? Kupoteza miundombinu yake ya kijamii ndio kuihenyesha!? Mkoa minne sasa inakwenda kupiga kura kujiungq na rf huko ndiko kuihenyesha!?
Wacheka nini mkuu?Hahaha sometimes kuna vitu vinafurahisha. Nimecheka hapa
Hahahaha jamaa hataki kabisa kujihusisha na Russia anajibana Kwa China na Marekani + EU. Huyu nae wakishindwa kumuua sijui watamuundia special military operation [emoji38]hawa kazakhstan rais wao ndo alisema hatotambua uhuru wa majimbo ya mashariki mwa ukraine tena wakiwa kwe mkutano na putin, awe makini asije pata ajali ya kupaliwa na mate roho ikaacha mwili
OkArdhi ipi Kaka,kwani hujui kama asilimia kubwa ya maeneo anayoshikilia Mrusi aliyateka tangu 2014,yaliyoongezeka ni machache tu kama Kherson na mengineyo ambayo aliichukua kiulaini mwanzoni kabisa mwa Vita lakini baada ya Himars Tu kufika speed ya jamaa ikapungua mpk Leo anapigwa counter offensive na Ukraine halafu yeye ndo yupo kwenye defense. Baada ya kuona wamezidiwa hii wanayoita operation haiendi Sawa Putin anataka kufanya full mobilization. Mrusi mpaka sasa hajaiteka Donbass yote, Ukraine Jana imeanza kuchukua vijiji huko Luhank kuficha aibu jamaa kaona aharakishe referendum lakini hiyo pia haitabadili kitu Ukraine itazidi kusonga mbele.
Sawa inaenda vizuri naona Demilitarisation na denazification imefanikiwa. Ukraine hana tena jeshi lote limeshaharibiwa na Russia. Ule msafara wa 65km sasa uko Kiev. Na wale paratroopers walioshuka pale Kiev usiku wa February 24 now wanajivinjari kwenye Ikulu ya ZelenksyUnless uwe unaijua original plan ya smo ndio unaweza kuhisi kwamba haiendi km ilivyopangwa!? Unayo!?
Umejuaje kwamba inavyoenda sasa hivi sivyo ilivyopangwa iende!?
Mwenye smo yake anasema inaenda km ilivyopangwa (ni yy ndio alipanga) wewe unahisi haiendi vile ilivyopangwa na hali ya kuwa hukuwepo kwenye kuipanga na wala hujui imepangwa iendeje. Ajabu hii!!!
Make it make sense
Kwama pote alipopeleka majeshi ya US kulikua na mwanachama wa NATO !!?Hata kabla ya Vita USA alisema hatoingiza majeshi Ukraine sababu Ukraine sio member wa NATO lakini kama Urusi ikijaribu hata kurusha Bomu kwenye ardhi ya NATO member itakutana na Full might of American power,Finland na Sweden zimepeleka maombi ya kujiunga umeona Urusi akibweka?! Wakati awali aliwatisha kwamba ole wao wajiunge na NATO watakiona cha mtema kuni.
Sasa kama Ukraine anaesaidiwa visilaha vya zamani na NATO anaihenyesha Urusi ndo itakua Marekani+ NATO?! Acha utani ww....
Sasa ndio tutashuhudia mabomu mazito mazito yakishushwa hapo Kiev.BREAKING NEWS
Tomorrow, Sept 21, Russian Duma to Vote on MOBILIZATION
20 SEPTEMBER 2022
In a surprise move, it has just been announced that tomorrow, September 21, the Russian Duma (Their Congress) will consider, among other things, MOBILIZATION.
This item was added to the Duma agenda just a very short while ago, and is a very important item. If the DUMA votes to MOBILIZE Russia, it will be for war.
More details as I get them.
10:12 AM EDT
UPDATE 10:47 AM EDT --
The Russian Duma will also consider amendments to the Criminal Code of the Russian Federation on looting, and . . . . martial law . . .
UPDATE 10:51 AM EDT --
Russian President Vladimir Putin is holding a meeting with ALL of Russia's "Military-Industrial-Complex" in the Hall of Catherine the Great, inside the Kremlin.
MORE:
Russian Foreign Minister Sergei Lavrov just dropped a verbal bombshell: "The time is coming hard, the war with NATO will be protracted. Billboards with the popularization of Suvorov and Nakhimov schools should replace the posters of the Pugachevs and Galkins. And jesters and minstrels will not be translated in Russia. Just do not make a cult out of them, and then they will become just entertainment, and not a tool for throwing yeast into the flour mass."
(HT REMARK: While I do not yet know the meaning of his later remarks about Jesters and Minstrels, I understand the first sentence perfectly. There is trouble of the worst kind coming.)
Labda wanataka ku justify kwamba "unapiga sehemu ya Russia"...kherson bado sana.
LPR na DPR probably, na wanaharakisha maana ukraine forces wanazidi kusogea.
Anyway kwenye battle lolote litatokea bado vita inaendelea
Mimi tatizo ninaloliona kwa Russia ni kwamba wali-miscalculate the enemy they were dealing with.They thought they were facing Ukraine,kumbe they were facing the US,NATO and Europe. This is proved by continuing to call what they are doing in Ukraine a Special Operation instead of a War,thus committing only around 200,000 soldiers in Ukraine and limited millitary equipment.Russia should have declared the Ukraine conflict a War right from the beginning. This would have enabled the country to mobilize and go full throttle in February and take Ukraine out of the World map right from the beginning.Now however that the West has mobilized against Russia and has put in place strategies to weaken the country in several fronts,Russia will have to use alot more resources in terms of equipment and manpower, if it wants to win the War.The problem ahead against Russia is huge,but is not unwinable.VVP.
Vladimir Putin:
Russian military equipment effectively resists Western weapons and has proven itself well.
The Russian Federation should and can study the military equipment of the West, which is used in Ukraine, improve its own, do it quickly and efficiently, Putin
Askari Mkuu wa NATO anasema hiviSasa kama Ukraine anaesaidiwa visilaha vya zamani na NATO anaihenyesha Urusi ndo itakua Marekani+ NATO?! Acha utani ww...
Unaelewa ulichoandika lakini au umejibu tu ili mradi?!Kwama pote alipopeleka majeshi ya US kulikua na mwanachama wa NATO !!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unauliza ardhi ipi!? 20% ya Ukraine ambayo ni sawa na 50% ya UK. 120k kmsq.Ardhi ipi Kaka,kwani hujui kama asilimia kubwa ya maeneo anayoshikilia Mrusi aliyateka tangu 2014,yaliyoongezeka ni machache tu kama Kherson na mengineyo ambayo aliichukua kiulaini mwanzoni kabisa mwa Vita lakini baada ya Himars Tu kufika speed ya jamaa ikapungua mpk Leo anapigwa counter offensive na Ukraine halafu yeye ndo yupo kwenye defense. Baada ya kuona wamezidiwa hii wanayoita operation haiendi Sawa Putin anataka kufanya full mobilization. Mrusi mpaka sasa hajaiteka Donbass yote, Ukraine Jana imeanza kuchukua vijiji huko Luhank kuficha aibu jamaa kaona aharakishe referendum lakini hiyo pia haitabadili kitu Ukraine itazidi kusonga mbele.