Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

It’s almost like wow look at me I’m not bluffing then bluff [emoji23][emoji23] he’d be the worst card player ever,Whens he's losing his war to Ukraine & now has to resort to running a referendum to try claim parts of Ukraine back, I don't think anyone needs to worry about him.

He's become desperate. It's laughable.
 
Watu kama nyie nimekuwa nikifuatilia sana ngonjera zenu na mnavyolisha watu matango pori. Propaganda za kimagharibi hazifikii hata robo za propaganda za kimashariki na imejulikana hivyo miaka yote kwa wenye akili za kuvuka barabara.

Unapoongelea Marekani kwa mfano, unaisema dunia...wako Wamarekani rafiki zako, jirani zako na ndugu zako wa kuzaliwa kabisa. Wako Wachina, wako Warusi, wako wahindi , wapo weusi, wapo wekundu, wapo weupe, wapo kila rangi kutoka kila pembe ya dunia.

Marekani zipo dini zote, zipo lugha zote za dunia, zipo tamaduni zote za dunia, zipo mila zote za dunia...kwa kifupi Marekani haina mfanowe popote pale. Marekani inaitwa nchi ya wahamiaji kwa sababu mataifa yote ya dunia yanapatikana Marekani.

Pamoja na kwamba hawajafanikiwa kwa asilimia 100%, Marekani ni experiment, jaribio la watu tofauti fofauti kuishi pamoja na kuunda taifa moja. Hawa watu ni binadamu na kwa kweli hakuna binadamu aliye mkamilifu lakini mpaka sasa wanajitahidi.

Naam, kuna ubaguzi wa kirangi, wa kihali na mali, wa kiitikadi, wa kidini na mengineyo lakini kila Mmarekani analindwa katika misingi imara ya uhuru, haki na usawa. Ikitokea na hutokea hukutendewa haki ziko namna, njia na taratibu za kuzidai ukilindwa na Katiba.

Hakuna aliye juu ya sheria na ukituhumiwa kwa lolote, sheria inachukua mkondo wake na hunyimwi haki yako ya msingi ya kudai haki. Hii ndiyo sababu kwa nini wengi wetu hatusiti kuchagua upande linapotokea jambo kubwa kama hili kati ya Ukraine na Urusi.
 
Turkey aliomba kua mwanachama wa EU akakataliwa.
EU ni umoja wa kisiasa na kiuchumi.

Sasa Yuko huru kujiunga SCO amabo ni pia ninumoja wa kiuchumi na kisiasa.

Turkey Yuko umoja wa kujihami kijeshi wa NATO.

Uingereza Yuko NATO umoja wa kujihami kijeshi lakini alijitoa EU umoja wa kisiasa na kiuchumi.

Mpaka hapo Turkey hajavunja sheria yoyote ya umoja aliomo wa NATO na wala hafungwi na umoja asiokuwemo wa EU.

Turkey Yuko pande zote?
 
Unapoteza muda kujibishana na hao jamaa
 
Hata WWII USSR ilipewa silaha na Marekani ikiwemo Ndege 10,000,Meli 3,000,nk. Hivyo sio kitu kipya kwa Ukraine kulilia wapewe silaha ili wapambane na mvamizi aliyevamia nchi yao.

Cha pili kumbuka Russia wakati inaanza vita iliharibu miundombinu mingi ya Ukraine ikiwemo viwanda vya silaha hivyo kuathiri uzalishaji wa silaha,huko Urusi wanafyatua tu silaha sababu wao hawapigwi mabomu,ni tofauti na Ukraine.

Ukiangalia mfano mdogo tu, mwanzoni mwa Vita Russia ilisema imeharibu Airforce yote ya Ukraine (nadhani unakumbuka kama ulikua mfatiliaji) lakini cha ajabu mpaka Leo ndege za Ukraine zinafanya mashambulizi. Leo hii Russia ndio wako kwenye defense na Ukraine wako kwenye offence,si unaona upepo wa Vita ulivyobadilika...sasa hapo niambie hiyo Demilitarisation imefanikiwa wapi ilihari adui yako ana zana za kivita anazitumia dhidi yako,Leo Ukraine wametungua Su-25 pamoja na drone za Iran Kherson.
 
Ukikubali gerezani, waenda umia zaidi
 
Mwanzo umeelezea vyema kati ukaelezea vyema ila ukaja kuharibu mwisho MKUU
Hakuna sehem nimesema ama RUSSIA imesema kua demilitatization imefanikiwa kwa 100%
hio sehem hakuna na haitakuja kutokea popote pale DUNIANI labda vita iishe kabisaa ama kue na makubaliano maalum yapande zote
Hao wanarusha ndege wanashambulia maeneo sababu bado jeshi wanalo ila sio kama ilivyokua mwezi mmoja ama miwili baada ya SVO
Jamaa wanategemea pakubwa sana msaada na bado wanapotea na ndio maana sehem kama ZPP mhim sana ile jamaa wanaishia kuiangalia tu sio kama hawaitaki ila uwezo hawana
Ahsante MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila UKRAINE iliotangaza kwamba walio na umri qa kuanzia miaka 18 wasiondoke waKati SVO inaanza haikua nchi ngumu MKUU !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa amesahau hata US Gay Mohammed Ali alikataa kwenda vitani walipopigana na Wavete,FRELIMO alipokuwa akipigana na wareno pale Msumbiji na makoloni yake yote ya kireno yaliyoanzisha vita,ilikuwa lzm kwa kila mgema ulimbo aliyetimiza 18+ kwenda vitani,ni jambo lá kawaida wakati wa vita
Nalog off Z
 
Marines From Russia’s Pacific Fleet on Front Line Amid Ongoing Ukraine Conflict

Russia’s Defense Ministry has released footage of combat work undertaken by units of the country’s Pacific Fleet Marine Corps at the front line of the special military operation in Ukraine.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630]
China Able To ‘Blockade’ Taiwan - US Admiral

China is entirely capable of imposing a naval blockade on Taiwan, commander of the US Seventh Fleet, Vice Admiral Karl Thomas, acknowledged in an interview with The Wall Street Journal published on Monday.

“They have a very large navy, and if they want to bully and put ships around Taiwan, they very much can do that,” the admiral said.

China has already created a large and modern navy, Thomas stated, with the number of military vessels at Beijing’s disposal continuing to grow rapidly.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…