Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,384
- 3,254
Kazi kwelikweliView attachment 2138727ha ha ha ha ha
Nachekesha kama hivi 🤣🤣🤣Unachekesha sana
Sawa mrusi wa Kinondoni MoscoYaani we upo Kinyangiri unafananisha akili yako na Jasusi wa KGB
HahahaSawa mrusi wa Kinondoni Mosco
Ametoroka amekwepa kupakwa mafuta ya NaziState Duma speaker Volodin said that Zelensky left Kyiv for Poland.
The Ukrainian side has not yet commented on this information.View attachment 2138679
Hakuna taarifa rasmi kuwa katoroka bado ni habari ambazo si RASMI.Ametoroka amekwepa kupakwa mafuta ya Nazi
U to po lo punguza wahkaWameanza kupoteana kama beki za Simba aka makolo
Labda baada ya jeshi la urusi kuchukua udhibit wa ikulu ya Ukraine Putin ataongea na komedian kupitia simu na kukubaliana watakayokubaliana mwishowe jeshi la urus litaondoka tartiiiibu km hakuna kilichotokeaZelensky is in Kyiv, he did not leave Ukraine, the Verkhovna Rada claims - RIA NovostiView attachment 2138792
Putin ni mbabe kweli na mbaya zaidi na Russia inajulikana kwa Ubabe. Russia kapanga kuchafua kadhamiria kweli kweli
Mkuu watu wanakufa kila sikuTake it from me, hakuna vita hapo!
Kwa watu wa dini wenye mioyo minyoofu, hiyo ni ishara kubwa sana kwamba sasa uovu wa wanadamu umefikia kikomo kama ilivyokuwa wakati wa Gharika na Sodoma na Gomora.
Mungu yule wa Gharika na Sodoma na Gomora ndiye yule yule ambaye tunaye sasa. Hajabadilika.
Amekuwa na subira kwa muda mrefu, sasa:"Enough is enough "
Putin ni mbabe kweli na mbaya zaidi na Russia inajulikana kwa Ubabe. Russia kapanga kuchafua kadhamiria kweli kweli
Kaongea direct bila kumung'unya ' Russia itashiriki kombe la dunia vinginevyo hakutakuwa na kombe la dunia' kazi kwenu FIFA fanyeni mzahaHivi akisema timu yoyote isiende Qatar sidhan kama kuna ambaye ataenda[emoji28][emoji28]. Fifa isilete siasa kwenye soka aseee putin hataki masihara kabisa.
samahani una boifrendiiView attachment 2138826
Kubwa jinga Putin chali sasa hvi alikua anawazaje?
sorry mkuu unasema ulifika marekani . VP umewah fika na Russia?.Marekani hasingiziwi ndilo taifa lililoongoza uvamizi wa nchi nyingi duniani...Marekani ni taifa la kinyama kabisa...ni taifa la kishetani...USA imevamia zaidi ya nchi 15 duniani na kuwaondoa viongozi...Panama, Irak, Chile, Haiti, Libya, Serbia na nchi nyingine kadhaa duniani...hata Syria Kama siyo Russia saa hizi Assad ingekuwa ni historia...Mimi nimesoma historia na politics za USA na nchi nyingine ambazo ni Industrial States duniani..na nimefika Marekani...kwa wasiojua watu wa asili wa Marekani ni Wahindi Wekundu...lakini waliuawa kwa mamilioni ...More than 20 million Red Indians died...ni genocide ya Aina yake...Wahindi Wekundu waliobaki huko Marekani hivi Sasa wanaishi kwenye maeneo yaliyotengwa Kama wanyama kwenye zoo...Wamarekani kwa Sasa huwa hawataki kabisa kuzungumzia issue ya Red Indians kwani kwao ni fedheha...USA Ina jela ya kutisha ya Guantamano iliyoko Cuba...democracy???!!! Stupid...suala la Ukraine walioharibu ni USA na mashoga zake wa ulaya...stupid guys...wanajacili Uhuru wa kutoa maoni lakini wao wenyewe ni washenzi na ambao wanafungia vyombo vyote vya habari vinavyotoa taarifa tofauti na za kwao kuhusu Ukraine.....
Sasa wamekutana na Putin ambaye amejiandaa for almost 20 years ili kuwaangamiza Wamarekani na vibaraka wait...wakileta za kuleta Putin anafyatua nuclear...kutakuwa hakuna mshindi katika Vita hivyo...kwani dunia nzima itateketea...Wamarekani hawataki hilo...wamekuwa outsmarted..Russia ndiyo inayoongoza kwa silaha za nyuklia duniani....makombora mengine ya nyuklia ya Russia yakirushwa tu hewani hujjigawa katika vipande zaidi ya 20 huku Kila kimoja kikiwa na uwezo wa kuua mamilioni ya watu...stupid Americans ..
Naunga mkono hoja. Taasisi za kimataifa zimekuwa kama taasisi za Marekani na NATO.Kaongea direct bila kumung'unya ' Russia itashiriki kombe la dunia vinginevyo hakutakuwa na kombe la dunia' kazi kwenu FIFA fanyeni mzaha