LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Screenshot_20220304-162616.jpg
 
Take it from me, hakuna vita hapo!

Kwa watu wa dini wenye mioyo minyoofu, hiyo ni ishara kubwa sana kwamba sasa uovu wa wanadamu umefikia kikomo kama ilivyokuwa wakati wa Gharika na Sodoma na Gomora.

Mungu yule wa Gharika na Sodoma na Gomora ndiye yule yule ambaye tunaye sasa. Hajabadilika.

Amekuwa na subira kwa muda mrefu, sasa:"Enough is enough "
Mkuu watu wanakufa kila siku
 
Marekani hasingiziwi ndilo taifa lililoongoza uvamizi wa nchi nyingi duniani...Marekani ni taifa la kinyama kabisa...ni taifa la kishetani...USA imevamia zaidi ya nchi 15 duniani na kuwaondoa viongozi...Panama, Irak, Chile, Haiti, Libya, Serbia na nchi nyingine kadhaa duniani...hata Syria Kama siyo Russia saa hizi Assad ingekuwa ni historia...Mimi nimesoma historia na politics za USA na nchi nyingine ambazo ni Industrial States duniani..na nimefika Marekani...kwa wasiojua watu wa asili wa Marekani ni Wahindi Wekundu...lakini waliuawa kwa mamilioni ...More than 20 million Red Indians died...ni genocide ya Aina yake...Wahindi Wekundu waliobaki huko Marekani hivi Sasa wanaishi kwenye maeneo yaliyotengwa Kama wanyama kwenye zoo...Wamarekani kwa Sasa huwa hawataki kabisa kuzungumzia issue ya Red Indians kwani kwao ni fedheha...USA Ina jela ya kutisha ya Guantamano iliyoko Cuba...democracy???!!! Stupid...suala la Ukraine walioharibu ni USA na mashoga zake wa ulaya...stupid guys...wanajacili Uhuru wa kutoa maoni lakini wao wenyewe ni washenzi na ambao wanafungia vyombo vyote vya habari vinavyotoa taarifa tofauti na za kwao kuhusu Ukraine.....

Sasa wamekutana na Putin ambaye amejiandaa for almost 20 years ili kuwaangamiza Wamarekani na vibaraka wait...wakileta za kuleta Putin anafyatua nuclear...kutakuwa hakuna mshindi katika Vita hivyo...kwani dunia nzima itateketea...Wamarekani hawataki hilo...wamekuwa outsmarted..Russia ndiyo inayoongoza kwa silaha za nyuklia duniani....makombora mengine ya nyuklia ya Russia yakirushwa tu hewani hujjigawa katika vipande zaidi ya 20 huku Kila kimoja kikiwa na uwezo wa kuua mamilioni ya watu...stupid Americans ..
sorry mkuu unasema ulifika marekani . VP umewah fika na Russia?.
 
Back
Top Bottom