Usifananishe SMO na mambo ya kijinga ya Hitler.Huu ni kwa ufahamisho tu kwa wale wanaoshangaa Marekani kuisidia Ukraine...
Wakati wa vita vikuu vya pili vya dunia Wajerumani chini ya Fuhrer Adolf Hitler aliyekuwa na wazo la kuitawala dunia, waliivamia Urusi mwezi June, 1941 kwa lengo la kuiteka kama Urusi inavyofanya sasa huko Ukraine.
Waamerika hawakukaa kimya baada ya kuona Urusi ikiivamiwa na hivyo waliamua kuisaidia Urusi na hivyo kupeleka silaha na vifaa vya vita kuisaidia Urusi kama inavyofanya hivi sasa katika kuisaidia Ukraine mwezi December, 1941.
Marekani si kama baadhi yenu msiojua historia mnavyodhani. Marekani ni nchi ya dunia yote na tunachoshuhudia hapa hi historia ikijirudia. Wana JF wenzangu, Urusi kama ilivyo haijawahi kutoa msaada kama huo kwa Wamarekani.
Hini changamoto tu kwenu ambao kwa bahati mbaya historia iliwapita kushoto.
Mkuu sio dhambi hakuna anayejua kila kitu.Drones za Urusi zimejaza Western parts. Sijui hizi ni CanonView attachment 2363390View attachment 2363391
Iran alimuua Nani kule Iraq zaidi Makombora yake yalitua sehemu za kutupia taka.
Marekani walimuua Qaseim suileman powerful man in Iran. Kwa Marekani ni sawa na General Mark.A Milley chairman of the joint Chiefs of Staff halafu unakuja kusema ni sawa na kurusha Makombora sehemu za wazi tena unawapa taarifa Maadui eti saa fulani nitarusha Makombora?!
USA kakimbia Syria?! Unaishi dunia gani shekhe?!
Syrian Oil Minister Bassam Toma'a has revealed that around 90 per cent of Syrian oil is under the control of US forces, Aram News Network reported on Friday.
"The Americans and their followers are acting like pirates as they are targeting the Syrian oil wealth and oil supplies," the Syrian regime minister asserted.
The minister added: "There is a promising future for the oil industry in the [Syrian] waters. We need tranquillity and stable logistic circumstances."
He stated that the total direct and indirect losses of the Syrian oil sector had exceeded $92 billion, noting that what happened in Syria has never previously occurred regarding the exploitation of wealth and supplies.
US controls 90% of Syria oil
Saw hata mwanzo mlisema Ukraine itaanguka ndani ya wikiUkraine hawana uwezo wa kushinda dhidi ya warusi hiyo mobilization ni Kwa sababu ya kulinda mikoa mpya ya urusi.
Sababu kubwa ndio hii:Sio hivo anataka kutimiza lengo lake la kulinda mipaka mipya ya maeneo mapya ya Russia baada ya kura ya maoni referendum kwenye hayo majibo 4, ambayo ni 15% ya nchi ya Ukuraini.....na wa kiavamia awe tayari kuwajibu ipasavyo hiyo inaitwa pre emptying the enemy
Wewe ndo utuletee evidence sasa kwamba wanajeshi wangapi wa Marekani waliuawa.Media za West ndo ziliwadanganya hivyo??[emoji23][emoji23][emoji23]. Na walivyo storm US embassy in bagdad??
Marekani alivamia lini Venezuela?!Venezuela??
“We will not fight a war against Russia in Ukraine. Direct conflict between NATO and Russia is World War III, something we must strive to prevent.” BidenVita ya Ukraine imemtoa jasho.
Ataweza ingia vita na USA?
Sasa ndio wajaze lenzi zote hizo. Kwanini wasichukue lenzi moja au mbili yenye uwezo halisi, badala yake hawawezi zipata wanaishia kupata civilians parts ambazo hazina uwezo wa kufanya kazi hiyo. Tatizo ni vikwazo, hata Uturuki lenzi za drones nyingi walinunua Canada.Mkuu sio dhambi hakuna anayejua kila kitu.
Kauli ya Putin sio ya kubembeleza wala kulemba.Turkey has applied for membership in the Shanghai Cooperation Organization.
Russia responded that if Turkey is to be a member, it must cease to be a member of NATO.
“We will not fight a war against Russia in Ukraine. Direct conflict between NATO and Russia is World War III, something we must strive to prevent.” Biden
Something we must strive to prevent
Safi sana.Turkey has applied for membership in the Shanghai Cooperation Organization.
Russia responded that if Turkey is to be a member, it must cease to be a member of NATO.
Imefanikiwa ila lengo kuu halijafikiwa nandio mana mambo yanaendelea nakuchukua sura mpya zaidiKama nakumbuka vizuri ulisema Demilitarisation imefanikiwa kwa 90%,sasa ukiangalia Kwa mwenendo wa Vita hivi sasa hilo unaona ni sahihi?!