Unamaanisha US Syria alifuata mafuta!? [emoji848]USA kakimbia Syria?! Unaishi dunia gani shekhe?!
Syrian Oil Minister Bassam Toma'a has revealed that around 90 per cent of Syrian oil is under the control of US forces, Aram News Network reported on Friday.
"The Americans and their followers are acting like pirates as they are targeting the Syrian oil wealth and oil supplies," the Syrian regime minister asserted.
The minister added: "There is a promising future for the oil industry in the [Syrian] waters. We need tranquillity and stable logistic circumstances."
He stated that the total direct and indirect losses of the Syrian oil sector had exceeded $92 billion, noting that what happened in Syria has never previously occurred regarding the exploitation of wealth and supplies.
US controls 90% of Syria oil
Dalili za uoga hizo mbona Libya, Iraq, yugo, Somalia walibebana na shoga zake wakaenda[emoji23][emoji23][emoji23]
Unamaanisha US Syria alifuata mafuta!? [emoji848]
Aaah hapa sasa nimekuelewaHicho anachokiita Putin hata kwenye katiba ya Russia hamna kitu inaitwa Partial mobilization ndo maana experts wengi wanasubiri kuona nini kitajiri kwenye hii partial mobilization anayoitaka Putin.
Tuupe muda nafasi tutajua tu
You must be blind dude, I look at Putin I see HitlerUsifananishe SMO na mambo ya kijinga ya Hitler.
Nawa amini west Kwa sababu alisema Russia wataa ivamia Ukraine na nakweli.Russian kununua drone Iran na kweliMkuu Russia hawaku-shindwa,far from that.Kama wangetaka wangei-sambaratisha Ukraine in the first few days.
Surprisingly unasema inabidi uwaamini the West,for what.Their lies?Their depopulation agenda?Their evil?
Anyway,going back to the real issue,ukweli ni kwamba Urusi tofauti na Marekani walikuwa wanajali zaidi human life and infrastructure.
Hawakutaka kurithi nchi ambayo it will be very expensive to rehabilitate,and hence the slow pace.Pia naamini hawakumjua their real fore,naamini sasa wanamjua,kwa hiyo tutegemee a new war strategy.
What it will be,I do not know,ila for sure it will be different, tusubiri,the next few days will give us the answer.
Ahsante sana MKUUKama umemsikiliza vizuri Mwamba Putin, utagundua kwamba amechufukwa.
Kwanza kuna kura za maoni zinapigwa kwenye maeneo waliyochukua wiki hii, mobilisation inamaana kwamba Ukraine atakapozigusa maeneo hayo kwa namna yoyote ile atakua amevamia mipaka ya Urusi, ili kujihakikishia usalama wake, Putin anatarajia kuwapeleka wanajeshi zaidi ya laki tatu kulinda hayo maeneo.
Putin kwa mara ya kwanza ameongea kwa ukali na amedhamiria kuifanya Ulaya na Marekani jambo lolote kwa sasa. Ukisikiliza mashoga wameufyata badala ya kumfata Putin uwanja wa vita kama walivyotaka, wamekimbilia UN eti kuomba UN iitenge Urusi, jambo ambalo haliwezekani na hata likifanyika, Urusi itakuwa na uhuru zaidi ya kugawa dozi bila kumsikiliza mtu yeyote. Kumbuka Guteres anaendelea kuwasiliana na Putin kwa ukaribu mkubwa kwasababu UN na hao mashoga wanajua uwezo wa Urusi.
Jambo la pili ni mashoga kukimbilia kusema hawatayatambua majimbo yatatayo jitenga na Ukraine.
Mobilisation hivyo ina maana kwa muktadha wa sasa, Urusi itakuwa na uwezo mkubwa wa wanajeshi walioko tayari na mafunzo kwa kazi iliyoko mbele yetu.
Nuke inaweza kutumika muda wowote endapo NATO na West wakileta fyongo.
Kiuchumi, Urusi inaua bara la Ulaya pia kwa sasa wako hoi.
You see through your blind eyes. Keep on seeing the darkness.You must be blind dude, I look at Putin I see Hitler
Of course huwezi kuamini kila anachokisema Putin lkn ukitaka kumpinga basi uwe na fact na sio blah blah!Nimeishia hapo kwenye Putin na waandimizi wake wanasema....
Kwahiyo na sisi tuamini kila kitu Zelenksy anachosema bila kuangalia uhalisia?!
Hoja yako sasa itaanza kukosa mashiko MKUUIran alimuua Nani kule Iraq zaidi Makombora yake yalitua sehemu za kutupia taka.
Marekani walimuua Qaseim suileman powerful man in Iran. Kwa Marekani ni sawa na General Mark.A Milley chairman of the joint Chiefs of Staff halafu unakuja kusema ni sawa na kurusha Makombora sehemu za wazi tena unawapa taarifa Maadui eti saa fulani nitarusha Makombora?!
Swali la kijinga Sana so ulitaka wapambane na mikuki?Jana nlikwambia naleo nakwambia tena
Siangalii shoigu kasema nini juu ya UKRAINE ila naangalia juu ya UKRAINE namna wanalia lia kwa wasamaria wao kuomba misaada
Jamaa kila akifungua mdomo wanahitajia silaha zaidi
Kama jeshi lao lipo kama lilivyo kabla ya SMO wanaomba silaha zanini
Hapa wenyewe mlisema walipewa himaz nasasa wanataka kupewa sijui NASMAS zote hizi zanini
Mwisho nlikwambia jana jamaa kwasasa wanategemea silaha kutoka kwa wahisani ila wenyewe hawajiwezi tena yaani hawana silaha nandio maana juzi wameekewa 600$ msaada mwengine wasilaha
Jamaa washatumiliwa zaidi ya 15$B kwakupewa silaha unadhani kwanini !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa muktadha huu bhas Kwa sasa tunahitimisha kwamba SMO imefeli.Imefanikiwa ila lengo kuu halijafikiwa nandio mana mambo yanaendelea nakuchukua sura mpya zaidi
Jengine usiniangalie mie nasema nini muangalie zele akiomba msaada anaomba nini nakwanini aombe anachokiomba
Baada ya referendum hoi SVO italeta sura mpya zaidi nahisi acha tuone
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba Mir ndio imekufa kabisa MKUU ama!!?Tuliwaambia mkubwa mkubwa tu Bwana Utam uko wapi?!
Russian media: Armenia, Vietnam and Kazakhstan suspend use of Russian Mir cards.
Vietnam and Kazakhstan have suspended transactions through the Russian payment system Mir, according to Russian state-controlled media Izvestia.
Armenian banks also stopped accepting Russia's Mir cards and suspended money withdrawals for their holders, Ukrainska Pravda reported on Sept. 20.
Hakuna anayebisha wala kukataa mazuri yeyote yale ya marekani aliyowahi kufanya hapa duniani. Imetokea tu wengine wana mtizamo tofauti kwenye swala la vita hivi. Kuisaidia urusi dhidi ya hitler sio sababu ya kuungwa mkono kwenye kila kitu.Huu ni kwa ufahamisho tu kwa wale wanaoshangaa Marekani kuisidia Ukraine...
Wakati wa vita vikuu vya pili vya dunia Wajerumani chini ya Fuhrer Adolf Hitler aliyekuwa na wazo la kuitawala dunia, waliivamia Urusi mwezi June, 1941 kwa lengo la kuiteka kama Urusi inavyofanya sasa huko Ukraine.
Waamerika hawakukaa kimya baada ya kuona Urusi ikiivamiwa na hivyo mwezi December, 1941 waliamua kuisaidia Urusi kwa kupeleka silaha na vifaa vya kivita kuisaidia Urusi kama inavyofanya hivi sasa katika kuisaidia Ukraine.
Marekani si kama baadhi yenu msiojua historia mnavyodhani. Marekani ni nchi ya dunia yote na tunachoshuhudia hapa hi historia ikijirudia. Wana JF wenzangu, Urusi kama ilivyo haijawahi kutoa msaada kama huo kwa Wamarekani.
Hii ni changamoto tu kwenu ambao kwa bahati mbaya historia iliwapita kushoto.
Kwa namna ile ile Hilter aliivamia Urusi ndivyo Putin alivyoivamia Ukraine.
Naaminije anachosema Putin wakati mambo Kwa front ni tofauti?! Huyuhuyu Putin aliyetaka wanajeshi wa Ukraine wamng'oe Rais wao kwamba ni mnazi,haha!Of course huwezi kuamini kila anachokisema Putin lkn ukitaka kumpinga basi uwe na fact na sio blah blah!
Mfano Zelensky akisema wanajeshi wake waliokufa ni elf 2 tu mpk sasa unapaswa ukae nyuma ya hizo namba kama huna taarifa inayoonesha otherwise for a fact!
Mpaka sasa sijaona mahali popote ulipoonesha operation imefeli vipi au kwa vipi haiendi kama ilivyopangwa. Nabakia na kauli ya putin. Wewe endelea kubwabwaja tu na tantarira za imefeli, imeshindikana, haiendi kama ilivyopangwa etc. Maneno matupu.
Hata Ukraine kuna wengine walijibadilisha kbs jinsia na kuvaa mavazi ya kike ili wakimbie.Saw hata mwanzo mlisema Ukraine itaanguka ndani ya wikiView attachment 2363612
Point ni kwamba hakuna anayejua kila kitu.Sasa ndio wajaze lenzi zote hizo. Kwanini wasichukue lenzi moja au mbili yenye uwezo halisi, badala yake hawawezi zipata wanaishia kupata civilians parts ambazo hazina uwezo wa kufanya kazi hiyo. Tatizo ni vikwazo, hata Uturuki lenzi za drones nyingi walinunua Canada.
Effectiveness ya kuungaunga hivi inakuwa ndogo
Yeah,sikulaumu,huna taarifa kamili kuhusu hii vita.Lakini I do not know how you missed it,kwa kuwa sababu kwa nini Urusi wameivamia Ukraine zimekuwa discussed sana hapa JF,na zinaonyesha wazi kwamba Urusi wana haki kabisa ya kuivamia Ukraine.Nawa amini west Kwa sababu alisema Russia wataa ivamia Ukraine na nakweli.Russian kununua drone Iran na kweli
inashangaza kuona mwafrika unashadadia Ukoloni?
i)sijaona sababu ya msingi ya Russia kuivamia Ukraine.wakati tunajua adui wa Russia ni Marekani.