Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Source?
 
What a betrayal to Putin's regime
 
Naona watu wanajiandaa na Vita

British defence stocks rose sharply in response to Putin’s announcement of a partial mobilisation of Russia’s reserve forces to support its invasion of Ukraine

Kadri siku ziendavyo ndo defence industries zinazidi fanikiwa...

Lockheed martin, raytheon, northrop gruman, bae systems
 

Akishindwa kukuelewa hapa basi ameamua kutokuelewa
 
Maana yake hadi siku wakifa
 
Hivi unaakili kweli?habari kama hiyo source sky news?
 
Nor will the west be able to win a nuclear war..
 
The US Intelligence knew about their plans..
Jana yule spokesperson alisema kuwa Russia ana mpango wa mobilization

Mwenye mamlaka ya kutangaza hiyo mobilisation ni CiC wa nchi. Baada ya hapo ndio huyo Peskov kama msemaji wa Rais ndio anaweza kutolea maelezo (Kama ikibidi).

Kwa hivyo hakuweza kutoa maelezo ya lini hiyo mobilisation itafanyika wakati Rais ajatangaza.

Sometimes, nashindwa kuelewa ni kwamba hamna hata basics za kufahamu administrations zinafanyikaje sehemu za kazi au ni mnakuwa just cunt...
 
Zelenksyy naona anatetemeka huko

Zelensky said that he does not believe that Russia will use nuclear weapons against Ukraine

Zelensky says referendums to join Russia are shams and 90% of world will not recognize them,and he doesn't believe Putin can use nuclear weapons,stating world will not allow him to Ukrainian Parliament adopts statement on inadmissibility of holding referendums on joining Russia in Donetsk and Lugansk People’s Republics, Kherson and Zaporozhye regions, South Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…