Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

wewe unasema jeshi kamili la urusi halijaenda vitani.
taarifa zinaonyesha wanajeshi kutoka Syria waliishaitwa.
wanajeshi kutoka kazakkstan waliishaitwa.

S400 zilizopelekwa syria ziliisha rudishwa.
mitambo ya ulinzi kalinigrad ishapelekwa uwanja wa mapambano

now 300,000
 
Naenda kulala, nimeona sehemu kwamba hao watu 300,000 tayari wameishapewa taarifa na inasemekana ni combat ready.

sasa tukubaliane kitu.

hizi referendum naona ziko planned kukamilika ndani ya mwezi huu.

mnaweza nirekebisha, nachukulia maamuzi haya ya kuongeza wanajeshi ni mkakati wa putin kutimiza ahadi yake kwa modi, xi na edorgan probably, kwamba atamaliza hizi vita hivi karibuni haraka sana.

na mimi nataka hivi vita viishe pia.

tukubaliane, kwamba putin atamaliza hii vita lately by end of october.

sawa?
 
Wagner group hawako russia tu...wapo mpaka central africa hapo wanapiga kazi.

Kama kampuni inahisi kuna demand ya vijana kubwa zaidi Ukraine as compared na ilivyo syria , wana waita tu waongeze nguvu. Na ujue wagner group ni jeshi kamili, lina resources zake ikiwepo air defenses, air force etc.
 
ni jeshi la magereza, sababu majuzi walikuwa wanarectruit wafungwa?
 
Kwani waafrika tusiposhabikia hii Vita,ndio Ukraine itaacha kupewa mkong'oto?
 
"If President Putin stops fighting there will be peace. If President Zelenskyy stops fighting, Ukraine will cease to exist as an independent sovereign nation – so we need to support them to enable a political solution,"

Stoltenberg
 
Jana niliwaekeza katika maswala ya usalama mtu akikuambia anataka ku mobilize usidhani ndio anakwenda kutafuta hao askari na hizo resources . Hao watu wapo na wanapata mafunzo katika kambi ndogondogo. Kilichosubiriwa ni haraka za bunge Ili maslahi ya hao jamaa yaeleweke. Russia kapata mpunga MWINGI anatoa mpunga wa maana kwa watakaoitwa mstari wa mbele na watakaobaki kulinda nchi
 
Uliambiwa na Nani?!
 
Hii vita tuko nayo Kaka sio ya kuisha Leo wala kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…