Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🇷🇺💪👊👍☑️🙌
 
TURUDI KWENYE FACTS NA TUACHE BLAH BLAH JAZBA .UZI UNAPONDEKA. NJOONI NA FACTS KWAMBA NANI KAONGEZA HATUA WAPI. Habari ya kutulwtea kifaru KIMOJA , askari watatu wametekwa jengo moja linaungua , bunduki mbili na bomu moja limetelekezwa na maneno ya jazba ya kipigo cha mbwa koko mara fashist mara dictator mara. jazba kibao
 
Biashara imekwisha!!!
Ukisikia kukubali matokeo,ndio Huku.
Kaka mkubwa🇱🇷 keshakubali matokeo.
Vita imekaribia kufikia mwisho.
 
Na kwa hakika nakuhakikishia baada ya mobilization Urusi inaenda kuchukua maeneo/mikoa mingine zaidi.
 
What it means being a US friend 🔥🔥🔥

Someone aliwahi sema kua "to be a US enemy is dangerous but to be her friend is fatal". Pro USA wenzetu wa Nyamikoko should learn something here.

🇪🇺 Deindustrialization is underway in Europe.

According to The Wall Street Journal, companies are moving production from Europe to the United States, the energy market is more stable.

In addition, back in August, Biden signed the Inflation Reduction Act (IRA), which provides, in particular, tax benefits for industrialists.

Hapo ni like saying kwamba Europeans loose their jobs to Americans. And then Europeans support America. Au tuseme kwamba the Us does destroy it's own vassals. And the vassals help the process.

Kama anawafanyia hivi washirika wake nyie mbukizila mna U-special gani wa maana mnao hisi anawapa support bure bure? Mnao hisi anawapendeni sana my foot 😂.

Wasiposhituka could be the end of Europe!!! Americans know what they are doing long time ago… they will save American economy by any means! Germany is lost! Unfortunately hizi means huwa zina waathiri washirika wake 😂.

Who need allies like this?

Asiye jua historia ake hawezi predict yajayo yake. The one qouted below ni German born, American Politicians, Diplomat and Geopolitical consultants. So watakao hisi katumwa na Putin kazi kwenu 😂😂😂

 
Now this will hurt Europe given their mentality of staying as US colony. In future it may also hurt US itself. By continuously promoting protectionism and forcing US companies to setup home and restricting outside companies access in the banner of national security.

Later US may lose its attractiveness as a stable destination for foreign investment and a free market economy for foreign businesses.

For sustainable development a country must focus more on openness of its economy rather than protectionism. This shows why the center of global economy is shifting towards Asia-Pacific.

Anyway habari njema ni kuwa Yajayo yanafurahisha.
 
Nashangaa Sana watu kuumia na kutokwa na mapovu kwa hayo maeneo kujitenga na Ukraine na kuwa huru na kujiunga na Russia.

Mbona Kosovo ilijitenga na Serbia...
Sidhani kama kuna jambo kama wangejitenga na kkujiunga ....
Ni tofauti kidogo wakitengwa na kuunganishwa tena kwa njia ya kura bandia.....

Kama Krimea - nani anatambua Krimea kuwa sehemu ya Urusi?? Labda Belarus, Korea Kaskazini..? Ila China, Uhindi, Kazakhstan, Uturuki na wengine hawakubali.
(Armenia labda anakubali maana inatehemea jeshi ka Urusi kwa usalama wake dhidi Azerbaijan..)
 
Huh of course, na inavyo onekana ni kama US plan to ruin Europe goes as schedule. Jana Federal reserves announced an increase on interest that will plumbed even more euro against the dólar. Huenda by January euro will be priced about 50 cents of dólar.

Considering hii inevitable rise of Asia Pacific, EU will not be able to compete anymore. The US is taking everything from EU just like they took their best nazi scientist miaka 70+ iliyopita.
 
Ndugu ngoja nikuambie kitu na usikilize kisha jaribu kuelewa.

Russia mpaka sasa ndo amedhibiti situation yaani "in control of situation" kiuchumi na kisiasa hiyo amini usiamini. Wanokisema Russia ni kwamba wakumbusha kuwa wao wanazo silaha za nyuklia na atakaejaribu kuchikonoa pale Donbas atapata majibu.

Marekani na NATO wanafahamu hilo na wajitahidi saana kuwaambia wananchi wao kuwa hali ni shwari lakini ndani ya US na nchi za EU kuna shida kubwa, shida ni nishati na gesi imepungua na bei imekuwa ya juu sana.

Kuna mwenzetu mmoja humu alieleza hilo na mimi pia nikaeleza kusudio la US na NATO na Putin pia kasema jana kwamba, lengo la hawa jamaa juu ya Russia ni nini.

Sasa Russia kashika Donbas na aenda ongeza "manpower" kulinda mali hiyo yaani "asset". Donbas ndugu ni asset ya Russia.

Hivyo hiyo ya kufanya mobilisation ni kilelelezo kwamba mission ya military operation yaenda kuwa accomplished hapo na ndo akasema atalamiza huu mgogoro asap.

Hivyo ikifika jumatatu yale majimbo manne yatakuwa ndani ya Russia na Ukraine ikijaribu kushambulia basi DUMA itatangaza "All Out War" dhihdi ya Majeshi yote yaliyo chini ya US na NATO.

Hatupendi vita wala tusishabikie vita, ila Vladimir Putin keshatoa onyo.

Kinofuata sote twafahamu.

Tusishabikie tu propaganda, tusome mchezo mzima kisha tuwasikilize pande zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…