kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Labda naweza kubaliana na wewe tu kwamba urusi atayatambua hayo majimbo kuwa sehemu yake kupitia hiyo anayoiita referendum, lakini hiyo haimaanishi kwamba vita ya ukombozi itaisha..,Ndugu ngoja nikuambie kitu na usikilize kisha jaribu kuelewa.
Russia mpaka sasa ndo amedhibiti situation yaani "in control of situation" kiuchumi na kisiasa hiyo amini usiamini. Wanokisema Russia ni kwamba wakumbusha kuwa wao wanazo silaha za nyuklia na atakaejaribu kuchikonoa pale Donbas atapata majibu.
Marekani na NATO wanafahamu hilo na wajitahidi saana kuwaambia wananchi wao kuwa hali ni shwari lakini ndani ya US na nchi za EU kuna shida kubwa, shida ni nishati na gesi imepungua na bei imekuwa ya juu sana.
Kuna mwenzetu mmoja humu alieleza hilo na mimi pia nikaeleza kusudio la US na NATO na Putin pia kasema jana kwamba, lengo la hawa jamaa juu ya Russia ni nini.
Sasa Russia kashika Donbas na aenda ongeza "manpower" kulinda mali hiyo yaani "asset". Donbas ndugu ni asset ya Russia.
Hivyo hiyo ya kufanya mobilisation ni kilelelezo kwamba mission ya military operation yaenda kuwa accomplished hapo na ndo akasema atalamiza huu mgogoro asap.
Hivyo ikifika jumatatu yale majimbo manne yatakuwa ndani ya Russia na Ukraine ikijaribu kushambulia basi DUMA itatangaza "All Out War" dhihdi ya Majeshi yote yaliyo chini ya US na NATO.
Hatupendi vita wala tusishabikie vita, ila Vladimir Putin keshatoa onyo.
Kinofuata sote twafahamu.
Tusishabikie tu propaganda, tusome mchezo mzima kisha tuwasikilize pande zote.
Nimechukua muda mrefu nikitafakari ni kwa nini nikujibu comment yako.Sidhani kama kuna jambo kama wangejitenga na kkujiunga ....
Ni tofauti kidogo wakitengwa na kuunganishwa tena kwa njia ya kura bandia.....
Kama Krimea - nani anatambua Krimea kuwa sehemu ya Urusi?? Labda Belarus, Korea Kaskazini..? Ila China, Uhindi, Kazakhstan, Uturuki na wengine hawakubali.
(Armenia labda anakubali maana inatehemea jeshi ka Urusi kwa usalama wake dhidi Azerbaijan..)
Unataka kujua kama naweza. Basi leta jicho ila napiga na kukutelekeza, kwahiyo unajifanya unanipa challenge ili upate wa kukumwagia. Challenge accepted ila nakuchapa mara moja nakuacha usijipendekezeFamilia yako ni wapiga puli, unaweza hata kumuingilia mwanamke wewe? Sembuse mwanaume? Babako alizaa ng'ombe.
Ukraine inazidi kupata bargaining power kadri inavyorudisha maeneo yake na inavyochukua POWs wengi.Inaonesha bado Ukraine ana bargaining power, na inaonekana kule Azov waliojisalimisha ni wachache ndo maana viongozi wakubwa wameachiwa
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Ukraine inazidi kupata bargaining power kadri inavyorudisha maeneo yake na inavyochukua POWs wengi.
Ilianza maadui wakiwa Kyiv, leo maadui wanategemea referendums ndio watishie kwa nukes. Lazima bargaining power kubwa iwe kwa Ukraine. Mpaka sasa malengo yamehama kutoka kumuondoa Zelensky na kufanya denazification kuwakamata Nazis, wamebaki kufanya annexation ya maeneo jirani yao ambayo hata hivyo yalikuwa karibu na Donetsk na Luhansk zilizokuwa chini yao tangu 2014. Net gain yao sio kubwa.
How comes wanafanya denazification, then Azov battalion ambazo ndio wanashutumiwa ndio Nazis halisi wameachiwa. Malengo ya denazification yameyeyuka, walikuja wakijua wanapambana na wazembe kumbe sivyo
Well, Crimea ilichukuliwa na Russia mwaka 2014 na malengo khasa ni ulinzi wa Russia kwa sehemu hiyo ya kusini magharibi kwa zile manowari zake kwenye bahari ya Kusini yaani Black Sea Fleet na zikawa zaegeshwa pale bandari ndogo na "back-up" ya Sevastopol.Labda naweza kubaliana na wewe tu kwamba urusi atayatambua hayo majimbo kuwa sehemu yake kupitia hiyo anayoiita referendum, lakini hiyo haimaanishi kwamba vita ya ukombozi itaisha..,
Nimekuuliza tu swali dogo kwamba Crimea ilikuwa sehemu ya Russia tangu mwaka gani??
Mbona inachakazwa kila uchao mpaka Russia kakimbiza meli na ndege zake huko?
Hapa ujataka kutoa ufafanuzi [emoji848]
Jamani mantiki hiyo ya kiuchumi! Utaalamu wa ajabu.Huh of course, na inavyo onekana ni kama US plan to ruin Europe goes as schedule. Jana Federal reserves announced an increase on interest that will plumbed even more euro against the dólar. Huenda by January euro will be priced about 50 cents of dólar.
Considering hii inevitable rise of Asia Pacific, EU will not be able to compete anymore. The US is taking everything from EU just like they took their best nazi scientist miaka 70+ iliyopita.
Tukichukuamfano wako: kama Kenya imepeleka jeshi lake katika mikoa hii ya TZ na TZ inaendelea kupinga, Kenya inaweza kugushi kura na kusema "Watu wanataka kuwa Wakenya, tunawapokea".Hivi unaelewa lakini maana ya kuichukua mikoa hiyo aliyochuka Urusi?.Tuseme Kenya kaichukua Mwanza,Shinyanga na Tabora kwa mfano.Wewe kwa akili zako utataka Kenya iendelee kutumia wanajeshi waliokuwa idadi sawa na eneo la Kenya tu kutumika tena kwenye mikoa iliyongezeka?.Jibu ni hapana,mikoa mipya ni lazima ipate wanajeshi wapya ili nguvu ya jeshi kubalansi.
Urusi ndicho anachofanya sasa kuongeza jeshi jipya litakalo linda maeneo hayo mapya.
Hicho n
Hao wapiganaji 200 walikuwa wakipigana pamoja na Azov Battalion, hivyo haimaanishi kuwa hao ni wanazi.Ukraine inazidi kupata bargaining power kadri inavyorudisha maeneo yake na inavyochukua POWs wengi.
Ilianza maadui wakiwa Kyiv, leo maadui wanategemea referendums ndio watishie kwa nukes. Lazima bargaining power kubwa iwe kwa Ukraine. Mpaka sasa malengo yamehama kutoka kumuondoa Zelensky na kufanya denazification kuwakamata Nazis, wamebaki kufanya annexation ya maeneo jirani yao ambayo hata hivyo yalikuwa karibu na Donetsk na Luhansk zilizokuwa chini yao tangu 2014. Net gain yao sio kubwa.
How comes wanafanya denazification, then Azov battalion ambazo ndio wanashutumiwa ndio Nazis halisi wameachiwa. Malengo ya denazification yameyeyuka, walikuja wakijua wanapambana na wazembe kumbe sivyo
Hongera, Ndugu kwani unadhani na kufikiri kwa niaba ya Putin...Putin anadhani hizo nuclear anazo yeye Peke yake[emoji23]
[emoji298]️ Liz Truss: Putin's nuclear threats will not work.
U.K. Prime Minister Liz Truss, in her address to the U.N. General Assembly, called Vladimir Putin's threats to use nuclear weapons "saber-rattling" and said "this will not work," the Guardian reported on Sept. 22.
Truss has encouraged the world leaders not to make any compromises in Russia's favor, despite concerns about soaring energy prices.
Huyu kibabu kapagawa anadhani nukes anazo peke yake wakati kuna wazee wa kazi chafu wapo kimya tu wakisubiri ajichanganye.Hivi why putin huwa anatishia nuclear? Haamin conventional power yake?
Afadhali anayetishia na siyo kutumia...USA huwa inatumia kabisa...imewahi kufanya hivyo huko Japan..Hivi why putin huwa anatishia nuclear? Haamin conventional power yake?
Putin atishia nyuklia kujibu vitisho vinotolewa na nchi za magharibi kutumia nyuklia kuishambulia Russia.Hivi why putin huwa anatishia nuclear? Haamin conventional power yake?
Kila mtu hutishia/ hutamba na alichonacho ndugu,so, Putin is right.Hivi why putin huwa anatishia nuclear? Haamin conventional power yake?
Ahaa kumbeKila mtu hutishia/ hutamba na alichonacho ndugu,so, Putin is right.
Acha kujihaibisha ndugu, martial law na war mobilization ni kitu cha kawaida nchi inapokuwa vitani,bila kujali imevamia,au imevamiwa,hata Zelensky alitangaza hivyo kwa wananchi wake.Hao 300,000 wenyew imewekwa sheria kali kwa wataokataa wito wa kujiunga na jeshi, ndio maana huwa wanaacha vifaru wanatoroka kwa baiskeli,