Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

@T14 Armata yasikilize maoni ya bwana huyu
Ila nimaoni yake tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EU na US lao moja MKUU
Hilo saga nalikumbuka saana na sio kwamba EU hawakuweza kufanya hilo jambo hapana kama wangeamua wangeweza sana ila nikwamba wanajuana tuuu
Suala la vikwazo utolee kwataifa ambalo sio waitifaki wakuaminika wa US ndio unaweza kueleweka
Ila ukisema EU yaani kuna mstari mwembamba sana tena kama upo wakuzitenganisha sera za nje na ndani za US na EU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena EU na US lao moja
Hem waende kule kwa yule mwanadada sukyi alopinduliwa jina la nchi limenitoka utanisaidia
Wale kama sijakosea juzi hapa walisema watatumia Mir card uone kama watawasikiliza
Hata hao TURKEY wanaweza wakashawishika ila sio kule kwa sukyii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wamoja lkn linapokuja suala na interests hapo kila Mtu anafata zake.

Kipindi kile US na EU hawakua na maelewano sababu ya sera za Donald Trump nadhani unakumbuka trump aliongeza Kodi kwenye baadhi ya bidhaa za EU na kuweka vikwazo kwenye Nord Stream 2.

Kitu kingine cha msingi Biashara anayofanya Turkey na Russia huwezi linganisha na anayofanya na West,hayo mengine ni bla bla bla za kisiasa.
 
Sawa AFGHANISTAN alipigana na magaidi na kule VIETNAM alipigana nanani napo !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka sasa tatizo ni nini kama Silaa za Urusi sio kitu kwa nini Nchi 28+ zimeshindwa kumustopisha asiendelee na hilo operation zake hapo Ukraine??
 
Tuseme hayo unayoyasema ni kweli,kwa nini bado Urusi anashikilia 20% ya ardhi yote ya Ukraine?
 
Ulichosema Kaka Ni ukweli mtupu,Huyu HENRY KiNSINGER na mwenzio ZBIGNIEW BRZEZINSKI, remain the most world dangerous politicians with blood policy.
 
Unazungumzia Myanmar?! Tuletee data za biashara Kati ya Russia na Myanmar halafu tuone kama ni tishio Kwa west.

Myanmar Exports to Russia was US$23.45 Million during 2021, according to the United Nations COMTRADE database on international trade. Myanmar Exports to Russia - data, historical chart and statistics - was last updated on September of 2022. Myanmar Exports to Russia - 2022 Data 2023 Forecast 2010-2021 Historical

Russia Exports to Myanmar was US$284.33 Million during 2021, according to the United Nations COMTRADE database on international trade. Russia Exports to Myanmar - data, historical chart and statistics - was last updated on September of 2022. Russia Exports to Myanmar - 2022 Data 2023 Forecast 1996-2021 Historical

Yani Biashara ambayo Myanmar wanafanya na Russia haifikii hata ambayo Tanzania tunafanya na Kenya.
 
Ndio maana nikasema kama suala la hao majamaa nimoja
Maana kama wangekua na interest zao wangefata ila wakafata aheria za US
EU na US lao moja MKUU
hapa hatujaangalia ukubwa wa biashara nadhani tulikua tunaliangalia suala la uanzishwaji na utumiwaji wa Mir na changamoto zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka sasa tatizo ni nini kama Silaa za Urusi sio kitu kwa nini Nchi 28+ zimeshindwa kumustopisha asiendelee na hilo operation zake hapo Ukraine??
Nchi 28+ zipo hizo?!

Kuna mwanajeshi wa hizo nchi Ukraine?!

Acheni kupotosha.

Russia inapigana na Ukraine inayosaidiwa silaha na baadhi ya nchi za NATO na EU. Ni Russia Vs Ukraine hizo nyingine ni propaganda.
 
USA anamuhitaji Turkey kuliko Turkey
 
Inayosaidiwa kwamalengo gani MKUU !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kujilinda dhihi ya mvamizi.
Marekani na EU ni wa kupongezwa Sana,kumbuka Hitler alipoivamia USSR Marekani iliisaidia silaha Soviet Union ambazo zilisaidia kumfurusha mvamizi. Ndo kinachofanyika Leo,hivyo hakuna kipya ni Historia inajirudia.
 
USA anamuhitaji Turkey kuliko Turkey
SAWA.

Turkey’s Top Trading Partners
Below is a list showcasing 25 of Turkey’s top trading partners in terms of export sales. These are countries that imported the most Turkish shipments by dollar value during 2021. Also shown is each import country’s percentage of total Turkish exports.

Germany: US$19.3 billion (8.6% of total Turkish exports)
United States of America: $14.7 billion (6.5%)
United Kingdom: $13.7 billion (6.1%)
Italy: $11.5 billion (5.1%)
Iraq: $11.1 billion (4.9%)
Spain: $9.6 billion (4.3%)
France: $9.1 billion (4.1%)
Netherlands: $6.8 billion (3%)
Israel: $6.4 billion (2.8%)
Russia: $5.8 billion (2.6%)
United Arab Emirates: $5.5 billion (2.4%)
Romania: $5.2 billion (2.3%)
Belgium: $4.9 billion (2.2%)
Poland: $4.7 billion (2.1%)
Egypt: $4.5 billion (2%)
Bulgaria: $4 billion (1.8%)
China: $3.7 billion (1.6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…