kwani nani anataka Muungangano na wazanzibari, ukweli ni kwamba sioni faida ya moja kwa moja ya zanzibar kwa bara, wakisepa wasepe tu.Acha hasira,kura ikishapigwa na ikaonyesha ya kwamba watu wapo tayari kuwa sehemu ya urusi,basi jua fika sio lazima Hadi Dunia nzima ikubali.mfano mzuri ni hapo Zanzibar hakuna Mzanzibar anayetaka Muungano na Tanganyika lakini inatambuka Zanzibar ipo ndani ya Jamhuri-Dunia inajiendesha namna hiyo sio kwa ambavyo unataka wewe.
Relax kijana.
[emoji635][emoji1255][emoji298]Vladimir Putin is more dangerous than ever - New York Times
The Kremlin has signaled that if it seizes the territory, Ukrainian counter-offensives in the east and south to seize the territory liberated by Russia will be seen as attacks on Russian territory that justify any level of retaliation, up to and including a nuclear response.
Putin's speech on the use of nuclear weapons has exacerbated a dilemma for the West that has existed since the beginning of the war: how far intensive military support for Ukraine can go.
Hem hizi kura zipigwe upesi ili tuone kipi kitatokea Baada ya kujiunga na RUSSIA kwahizo nchi huru za LPR na DPR
Sent using Jamii Forums mobile app
Russian missiles GUARANTEED to reach targets in Europe and US MUCH FASTER than potential NATO strikes on Crimea, Russia, NATO needs to understand Russia has chosen its OWN path, there is NO turning back
uhuru wa vyombo vya habari wa wamagharibi-tunao hatuna?
The Lithuanian Parliament banned the broadcasting of Belarusian and Russian TV channels in the country until October 2024
Swali simple tu nimekuuliza unaleta maelezo mareefu. Nimekuuliza verification ipi inayoonesha kuwa USA alikuwa anatetea raia wema!? Hao ni raia wema kwa Mungu au raia wema kwa Marekani!?
Putin kazi unayo....
British Prime Minister, Liz Truss, tweeted, “We will not rest until Ukraine prevails”, as she spoke at the UN General Assembly on Wednesday.
In her speech, Truss said: “new UK weapons are arriving in Ukraine as I speak.”
Russia imepoteza Askari 5937(shoigu)nyie CIA WA jamiii forum mnasemaje?
Ajaribu mara ngapi? Wakati anafanya mazoezi mpakani mwa Ukraine,US na NATO walimwambia asijaribu kuivamia Ukraine,mbona aliivamia na hawakujaribu kutuma jeshi? Ni hivi, Ukraine itaanguka soon.Putin ajaribu
Pro USA kazi kwenu [emoji23] Nendeni mkaoneshe maujuzi yenu yaliyo tukuka AF.
View attachment 2364631
The United States needed a "sanctions expert" in order not to harm its own economy.
The US Treasury Department has opened a vacancy for the "guru of sanctions".
This is an economist who will advise the agency on the impact of restrictive measures on financial markets, foreign trade, energy and other areas, Bloomberg reported.
The consultant should help the government avoid economic shocks.
"Two decades after the US began relying more and more on sanctions to put pressure on opponents around the world, they are hiring someone to make sure that these measures work as they should," the agency points out.
Earlier, the White House analyzed the economic sanctions imposed and found that over the past 20 years, their number has increased by 933%.
Nasubiri kwa hamu kubwa hizi referendums zikamilike
Watakua wameshambulia Shirikisho la Urusi wajiandae na majibu yoyoteReferenda hazitasababisha Ukraine kutoshambulia maeneo tajwa
Kama Belgorod na Kursk zinapigwa mabomu kila siku na ni maeneo halali ya Urusi, sembuse maeneo ya Ukraine toka 1991?
Crimea imepukutishwa mara kibao na hakuna kilichofanyika...
Putin anahadaa ulimwengu, katangaza watu 300,000 kumbe kwa chini ni watu 1mil
Wapi alisema kufidia?Ifanyiike "partial" mobilization ya askari 300,000 kufidia hao askari 5937 [emoji16]