Waleta taarifa hapa wa Putin hawaleti zile za upinzani wa ndani kule Russia,pana Kituo kimoja cha TV wamerisign wafanyakazi wote Live on Camera baada ya kushutumu jinsi wanavyolazimishwa utoaji wa habari wenyewe wameita "Media Crackdown".Nimekuja hapa nione kama imeletwa,naambulia ma screen shot ya TBC ya Russia peke yake.View attachment 2138969
Kubwa jinga Putin full panick
Tofauti ya wasukuma na wanyamwezi au wanyantunzu nini?Huwezi kusema eti waukraine zamani walikuwa ni warusi, hapo unaonyesha ulivyo na uelewa mdogo sana wa mambo, ni sawa na kusema hapo zamani wanyamwezi walikuwa ni wasukuma sasa unaweza ukaulizwa imekuwaje leo wamekuwa watu wawili tofauti.
Huo uongo wa dikteta Putin kwamba kuna kipindi Russia na Ukraine walikuwa kitu kimoja unakanushwa vibaya sana na Ukraine na kwamba ni uongo unaotumiwa na huyo dikteta kuhalalisha uovu wake dhidi ya Ukraine.
hakuna kuyamaliza mtoto kalilia wembe kapewaSio sawa lkn, wakae kama ndugu wazungumze, hali iliyofikia Ukraine ni mbaya sana. Mji umekuwa kama Syria, ingawa Zelensikyy alizingua mwanzoni kwa kujifanya mwamba, ila wakae wayamalize.
RUSSIA vs UKRAINE pia tuwaachie wenyewe MKUU[emoji4][emoji4][emoji4]Hapa ndipo mnapofail sana nyinyi Pro Putin,mnashindwa nini kujenga na kusimamia hoja bila kuihusisha Marekani,kila mnapobanwa mnakimbilia kuisema USA,simamieni hoja zenu,Marekani haikuwatuma mkaivamie Ukraine,ya Marekani waachie wao wapambane nayo au yaanzishieni Uzi wake,hapa tunaongelea Russia vs Ukraine.Btw vipi Kyiv imeshakuwa majivu au bado?
Tuondelee chai hapaView attachment 2138826
Kubwa jinga Putin chali sasa hvi alikua anawazaje?
kama wao walivyoban RT nkView attachment 2138969
Kubwa jinga Putin full panick
Wewe kila siku na mada yako moja jitahidi uchangamshe akiliNimesubiri kuona kyiv majivu leo lakini nimeambulia patupu,wewe kama Msemaji wa Putin hapa kesho natarajia nikute Kyiv ishakuwa majivu[emoji3]
Sawa mmarekani wa namtumboHa ha ha,Russia aende kufanya nini,akiambiwa achague aende wapi hata sasa atakimbilia US.Wakiwa hapa JF wanaiponda US lakini ndiyo hao hao wanakuja kututambia humu kuwa wameshafika Marekani,sasa sijui kila mtu akianza kusema sehemu alizofika au anapoishi sijui hapa patakuwaje.
Sio lengo la uvamiziNimesubiri kuona kyiv majivu leo lakini nimeambulia patupu,wewe kama Msemaji wa Putin hapa kesho natarajia nikute Kyiv ishakuwa majivu😀
Mwambie huyo kama anashida na majivu aende Rc akaulizie siku ya majivu ni LinWewe kila siku na mada yako moja jitahidi uchangamshe akili
hiyo ni kawaida na lazimaGeneral mmoja wa Russia kauwawa huko Ukraine na sniper.
Kila siku hoja ni hiyo hiyo hanaga hoja nyingineMwambie huyo kama anashida na majivu aende Rc akaulizie siku ya majivu ni Lin
Achana nayeKila siku hoja ni hiyo hiyo hanaga hoja nyingine
Lakini mkuu huoni ya kwamba inawakatisha tamaa viongozi wa Ukraine?Huo sio unafiki mkuu....diplomasia baina ya mataifa yenye nguvu ipo hivyo siku zote.....'ina usanii mwingi'..
Ndio maana wanasema wapo pamoja na Ukraine ila hawatapeleka jeshi ili kuepusha mzozo wa moja kwa moja na Urusi.
Maadam Ukraine imepakana na nchi wanachama wa NATO, mawasiliano kama hayo ni muhimu ili kuepuka mgongano wa bahati mbaya na Urusi inayoendesha operesheni za kijeshi huko Ukraine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Mtaala wa historia inabidi ubadilike na wenyeweView attachment 2139197