King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
Hiyo kesi ni special kwa local government au kwa lugha nyingine ni developing countries, lakin sio kwa taifa kubwa Kama urusi yaan mtu Hadi anayoveto power UN, ndio ujue hakuna wa kumbabaisha.Wakati Russia akifikiria jinsi ya kumaliza Vita,kesi ya uharifu wa ubinadamu inamkabili 👇
USA aingie front line na urusi? Acha masihara basi, urusi size ni Ukraine anamtosha tuDah!
Niliposoma USA ni kiboka nikaja mbio kusoma zaidi nikidhani labda wameshaingia Frontline na kusamabratisha vikosi vya Urusi.
Kumbe katoa tamko TU.Aisee.!
Sijaona ukiboko wowote hapo.
Kama ni matamko wameshatoa hata kabla ya SMO kuanza.
Bana acheni kututisha bana.
Kwa Hali inayoendelea Putin atakuja kushtukia wanaume wote wameshaikimbia nchi kwa hofu ya kupelekewa machinjioni huko Ukraine [emoji848]Mpaka wa Urusi kwenda Finland leo mchana:
View attachment 2365793
Kumbe foleni tena, kwa nini wengi wanataka kutoka?
Labda wito wa Putin waje kutetea utawala wake na kichaa chake?
Unamshawishi nani wakati sote ni mashahidi tu . Hoja ya Russia anapigana na nani ipo wazi ndio maana hatuijadili. Inajulikana kama ni Ukraine ama NATO. NAFIKIRI TUNAKOSA ELIMU YA ULINZI.Ukraine wanapewa kila aina ya silaha,ndio maana Putin baada ya kuona ngoma inazidi kuwa ngumu amekataa na kudai anapigana na NATO.., lakini kihualisia ni ukraine tu peke yake anamtoa kamas super pawer wa mchongo [emoji12]
Hapa kitakachofuata ni dikiteta Putin kulambwa shaba na watu wasiojulikana tu..,ni suala la muda,yajayo yanasikitisha sana kwa kweli [emoji24][emoji120]
Telegram tena,dah!Hizi ni drone au scrapers mbona zinatunguliwa sana ndio za mobilization war[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2365318
Wewe ambaye sio key board warrior si uko mstari wa mbele hapo kharkiv kwenye counter offensive, [emoji16][emoji16][emoji16]
Nyani haoni...
Kwa hiyo unataka niamini habari za kutoka urusi kwamba urusi imepoteza wanajeshi 5125 tangu ivamie Ukraine,sio?Mzee achana na propaganda za West, walikwambia PUTIN kafa, mara ana Kansa cjui wameishiwa chakula mara Russia nchi maskini, wewe kinachotakiwa kuombea ni Vita ya Nuke isitokee
Msituletee vitufe vya kuchezea watoto ,hivi mmetuona sisi wajinga sana,sio.Hii vita ya drone mrusi haiwezi azirudishe tu kwa iran hamna kitu hapo zinatunguliwa sanaView attachment 2365802
Wewe ndio mzee wa habari za telegram groups unaleta bila source ndio unaziita independent news[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Telegram tena,dah!
Mkuu jibu lako lipo chini sana halionekani, lipandishe juu sana lionekane. Jioni njema, H ah ha haaaa!Mfuatilie, honi sigara na Philip muyava,watakusaidia[emoji2]
Tuletee basi drone za Irani hapa wakati zinatunguliwa kama kumbikumbi huko frontlineMsituletee vitufe vya kuchezea watoto ,hivi mmetuona sisi wajinga sana,sio.
Kwa hiyo unataka niamini habari za kutoka urusi kwamba urusi imepoteza wanajeshi 5125 tangu ivamie Ukraine,sio?
Kiranja aliyepigwa na Vietnam? Aliyeshindwa somalia? Aliyeshindwa syria? Wewe Us kamwe hawez kupigana vita ya moja kwa moja... anayajua aliyoyapata Vietnam miaka ya 1950sUSA aingie front line na urusi? Acha masihara basi, urusi size ni Ukraine anamtosha tu
USA Hana mpinzani,yeye ni kilanja mwangalizi wa dunia,