Huwa natazama aljazeer, bbc na cnn. Sio kuwa nafuatilia upigaji kura, nilikwa nafatilia habari ziazohusiana na hilo.Unafuatilia kupitia kituo gani cha Television?
#Ukraine: For the first time ever on camera, a Russian Geran-2 (Iranian Shahed-136) loitering munition was shot down by Ukrainian Air Defenses over Dnipropetrovsk Oblast.Wakuu mambo vipi, warusi wa buza bado tu? Qmamake hizo Drone za Iran ni nyoko [emoji3525].
wanaelewa ila wanajifanya hamnazo, Urrusi alianza na mauripol kama masihara na kauli zao hizi hizi za kaishindwa kiev, wakachukua mji huu muhimu isitoshe wakawakamata wapiganaji zaidi ya 2k wa ukraine na allies wake ndani ya kiwanda, hao west, USA na ukraine wakiwa wanaangalia tu kama wangekuwa wanaweza kufanya ukombozi wangekuja kuwakomboa hao makomandoo wao pale kiwandani tena ukizingatia walikaa sana pale kiwandani.Mkuu unatumia ushabiki au?, unawezaje kusema jeshi la urusi lina hali mbaya wakati miji ya ukrain imeharibiwa na iko hatarini kupoteza 15% ya ukanda wake wa kiuchumi, Je unafahamu kuwa hyo miji ikiondoka basi italazimika maeneo yaliobaki yategemee chakula kutoka kwnye hiyo miji iliyojiunga na Urusi maana ndo miji ya mashamba makubwa ya taifa na viwanda vikubwa vipo uko.
Na unasema Urusi hali mbaya wakati kwasasa hivi Ukrain imebakiza Odessa, macho yote ya Ukrain yapo uko maana wakifanya masihara wanakuwa rasmi landlocked country kama Rwanda.
Mkuu kwani kipi kilicho kushangaza kwenye huo upigaji wa kura?Huwa natazama aljazeer, bbc na cnn. Sio kuwa nafuatilia upigaji kura, nilikwa nafatilia habari ziazohusiana na hilo.
Sijajua mahaba na kuwa na uchungu na upande mmoja na kuuchukia mwingine unatokana na nn ila kila mzalendo atajua mwenyewe na nchi yake.Mkuu ni vile tu watu wanaangalia huu mgogoro kishabiki sana. Ila kiuhalisia hao raia wanataka kuwa Urusi. Hata kama kura zingepigwa chini ya usimamizi wa UN bado matokeo ni hayo hayo. Ndo maana mabeberu wamekimbilia kusema ni fake referendums
Ila uhalisia ndo huo hao wananchi wanamuona Putin kama ndo Musa wao kaja kuwakomboa.
Nilitegemea na nategemea hilo zoezi liwe gumu sababu ya msimamizi kuwa adui. Wanajeshi kupigwa mawe, visu na mambo kama hayo, imenishangaza.Mkuu kwani kipi kilicho kushangaza kwenye huo upigaji wa kura?
Watu wameanza kupiga kura ya kujitenga, kinachonishangaza wapo happy ni balaa... Ukraine alishindwa kuirejesha Cremea hataweza kuzirejesha donbase plus kherson. Muda ni mwalimu mzuri sana..wanaelewa ila wanajifanya hamnazo, Urrusi alianza na mauripol kama masihara na kauli zao hizi hizi za kaishindwa kiev, wakachukua mji huu muhimu isitoshe wakawakamata wapiganaji zaidi ya 2k wa ukraine na allies wake ndani ya kiwanda, hao west, USA na ukraine wakiwa wanaangalia tu kama wangekuwa wanaweza kufanya ukombozi wangekuja kuwakomboa hao makomandoo wao pale kiwandani tena ukizingatia walikaa sana pale kiwandani.
then wakaingia luhansk wakawatembezea moto wakawakamata tena wapiganaji zaidi ya 1000 ndani ya jiji la severodonesk hao west na Usa wanaangalia tu, baadae wakaingia Donesk, Zaporozye na kherson wakayatwaa na wao wapo hapo wanaangalia
Then leo uje utuambie russia kashindwa vita kwa kigezo kipi au anatembezewa moto na ukraine huo moto ni moto gani anaotembezewa.
na kuhusu counteroffensive target si ilikuwa ni kherson ilikuaje hiyo kherson walifanikiwa kuichukua unaambiwa ndani ya siku mbili tu more than 4000 Uaf servicemen died, wakaamua kwenda kuzuga Kharkiv ambako mrussi hana interest nako sana muda huu watu wamecheza mind game ya kuwithdraw majeshi tu katika huo mji kwa kua sio strategic sana kwa muda huu.
Mrussi ameshattain above 100 % of its targets kwa kuwa target ilimuwa Donbass ila now amechukuwa zaidi ya donbass so hoja zenu za kushindwa vita muzibadilishe labda mzungumzie uvamizi na uonezi.
Na Sasa vita vinaendelea ila hapo vita vinaemda kupiganwa sehemu nyingine tena sio tena donbass wala kherson wala mauripol Ambamo kunaenda kutawazwa rasmi kuwa ndani ya Shirikisho la Urusi, watafute wao eneo la kupigania na nasikia target ni odessa mr Msulibasi lee van cliff green rajab naomba uniambie odessa kunanini hasa huku maana naona panatajwa sana. nasikiaga I LOVE ODESSA
Mkuu msimamizi wa kura 2020 hakua mgeni, pale msimamizi ni mgeni, adui kutoka taifa lingine. Au mm kuna mambo siyaelewi?Jamani mjifunze kusoma historia.
Hivi hii kura wanayopiga ina utofauti gani na uchaguzi wa mwaka 2020 wa wabunge nchini Tanzania.
Nadhani wote mwaifahamu Tanzania, na nini kilimtokea bwana yule...
Pili mkae kujua kwamba Marekani sio kwamba anataka kukaa pale juu, Amewekwa na na atashuka endapo tuu aliyemweka ataona inafaa.
Mkuu ni ngumu kwa sababu watu wanao ishi kwenye hayo majimbo ni watu wenye asili ya Kirusi ivyo wanawaona warusi ni kama ndugu zao.Nilitegemea na nategemea hilo zoezi liwe gumu sababu ya msimamizi kuwa adui. Wanajeshi kupigwa mawe, visu na mambo kama hayo, imenishangaza.
Umenikumbusha Zelensky anajifanya anaihimiza dunia anaipa kama somo: Baada ya Putin kutoa speech yake rais Zelensky anaiambia US ili iiokoe dunia kabla ya Russia kufanya maamuzi ya kutumia mabomu nuclear nchini Ukraine US imuwahi Russia na ilipue sehemu zote ambapo silaha za nuclear zilimohifadhiwa nchini Russia.Dunia yetu ina mengi ya ziada ambayo tumejitia upofu kuyajua. Kibaya zaidi kila anayefungua kinywa chake kujaribu kuwaweka wengine bayana huwa anapuuzwa na kupewa majina ya ajabu.
The less you know, the safer you are!
Tutafika tumechoka sana Jomba!
VizuriWe cannot _ we will not_ let president Putin get away with it
USA baba lao kasema[emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Wasipikuelewa ntawashangaa,wanadai Putin kaanzisha vita visivyokua na msingi kumbe hawalijui hilo.Kama huamini kuhusu mpango wa NEW WOLRD ORDER tafuta speech ya viongozi wa magharibi wakizungumzia hii kitu.
Odesa ni mji wenye bandari na waweza kuufananisha na mji wetu tukufu wa Dar-es-Salaam.wanaelewa ila wanajifanya hamnazo, Urrusi alianza na mauripol kama masihara na kauli zao hizi hizi za kaishindwa kiev, wakachukua mji huu muhimu isitoshe wakawakamata wapiganaji zaidi ya 2k wa ukraine na allies wake ndani ya kiwanda, hao west, USA na ukraine wakiwa wanaangalia tu kama wangekuwa wanaweza kufanya ukombozi wangekuja kuwakomboa hao makomandoo wao pale kiwandani tena ukizingatia walikaa sana pale kiwandani.