Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mambo mengine inabidi tu ucheke,majidai ya wazungu dhidi ya waafrika yote kwishanei

😂😂😂
🇫🇷The issue of wood in Europe is back on the agenda.

The overall demand for firewood in France has increased by 50% in two months.

The ordered "biofuel" will have to wait from three to six months, the BFM TV channel reported.

We are waiting for the Moldovan nouhau — a website for the sale of firewood — now in France.

Subscribe to @Sputnik
 
Vile kichwa cha fashisti Putin kinawaza[emoji1787][emoji28][emoji2]View attachment 2365945
Pesa ipo hayo majimbo yakikamilisha mchakato wa kura ya maoni, basi ujenzi waanza upya na kufanana na Moscow.

Kisha hata zile MacDonalds zilibadilishwa jina na sasa zaitwa Vkusno & Tochka yaani kwa kiingereza ni "Tasty and thats it" na zote zitasambaa.

Hawa wamechukua migahawa yote 820 na hadi sasa yaendelea na kazi.
 
1: USA vs Vietnam(Taifa kwa Taifa), US alishindwa vita.
2: USA vs Teleban na Alqaeda(Taifa vs vikundi vya kijeshi), US ameshindwa vita. Ndani ya miaka 20 akiwa na support ya washirika zaidi ya 30 walicontrol mji mkuu tu

3: Russia vs Ukraine(Taifa vs Taifa), Russia ana control Donetsk, Luhansk, Kheson na Zaporizye na maeneo husika yanaendelea na kura kujiunga na Urusi.
4: Russia vs ISIS na FSA(Russia vs Vikundi vya Kijeshi), ushindi kwa Russia ndani ya miaka 2 tu ya battle. Urusi aliungwa mkono na Serikali ya Syria, Iran na Hezbollah.

Anaekwambia kivita Russia ana mpinzani, basi atakuwa kipofu wa historia.
 
Wale wajinga wanazungumza kulia wanatenda kushoto, lau wangekuwa waumini wa upande flani ningewauliza ile kauli najua sio ngeni kwako...

Kwamba "Enyi.... Mbona mnazungumza msio yatenda".

Unafiki, na kila sifa ya kijinga imekuwa kama national symbol ya US.

Utasikia official mmoja anasema hivi, anatoka mwingine anasema vile. Media nazo zipo bega kwa bega ku-cover their idiocy. Kinachosikitisha zaidi nakirudia tena na tena, sio tu just matendo yao bali ule upofu tunao jitishwa juu yao.

Wamefanikiwa kulemaza majority akili zao, most people are dumbs. Wapo much confused kiasi wengine hawazijui hata jinsia zao. For them wako sawa na ni legal to bomb other nations. Halafu hao hao wanakwambia wana protect sovereignty ya mataifa mengine.

A country inayokaa kupanga mbinu tena publicly namna ya kuzuia ushawishi wa taifa lingine kwa mataifa mengine. Kwao wanaona sawa na waumini wao wanapongeza.

A country that take all means on their disposal, either direct war au indirectly kupitia mataifa mashirika au vikundi wanavyo tengeneza lengo likiqa lile lile kulinda hegemony yao.

Now USS Ronald Reagan ipo Korea Kusin jiran na North Korea, kwake ni sawa ila taifa lingine likifanya anaita uchokozi.

Juzi kati kuna bint kapigwa shaba Iraqi katika mazoezi waliyo ku wanaya fanya ya kijeshi hao hao United Shit of Cocaine na hakuna media iliyo zungumza hilo. So hilo nalo kwao ni sawa halina shida. Mind you hilo wanalifanya thousands of miles kutoka kwao.

Na mengi ila wacha niweke kituo, tufanye kama inatosha.
 
Yaani Putin kwa ujinga wake anadhani eti akishafanya referendum na asilimia 100 ya kura zikasema kuwa wanataka kujiunga urusi eti basi hiyo itafanya Ukraine iache struggle za kuikomboa hiyo miji!

Sanasana Urusi itafukuzwa kwenye UN na automatically itapoteza kiti katika UN. Figisu hizo za kuiondoa Urusi kutoka katika Membership ya UN Marekani inaziweza!
 
Wambie wenzako wanyamaze kimya sasa wanalia lia nini kama hayo majimbo kujiunga URUSI hayana maana.kama haibadilishi kitu inakuwaje wenzako wanapiga kelele
 
Mkuu, tuachane na ujinga wa putin naomba nikuulize, ni kweli kwamba hakuna upinzani kutoka kwa raia wapiga kura?
 
Mkuu kwa upande wangu naamini watu wenye akili timamu ni wachache mnooo, na ndo advantage yao kubwa US hapa duniani
 
Sio rahisi kama unavyo fikiri.
 
 
Fungua akili hakuna anayeweza kuitoka urusi kwenye UN.
 
Mkuu kwa upande wangu naamini watu wenye akili timamu ni wachache mnooo, na ndo advantage yao kubwa hapa duniani
Usemavyo ni kweli mkuu, haya madudu yote hayapo au hayajatokea bahati mbaya. The mighty weapon every being posses ni akili yake sio Panga, bunduki au any physical weapon aliyobeba au aliyo nayo in possession.

Na ni hii mighty weapon kibaya ni kua ishakuwa distorted, so kwa kila cheap attack inayofanywa tunakuwa easy manipulated.

They know fika kua man decisiveness lies kwenye love and hates, they know much hatuna kiasi mbele ya mahaba hata jiwe huwa tunaligeuza pulizio. Na wanajua fika kwenye chuki hata asali huwa tunasema ni chungu zaidi ya shubiri.

Kisha tukajikabidhi kwao, wanaye mchukia automatically na sie tunavaa chuki nae. Wanaye mpenda vile vile tunajaa mapenzi nae. They preach freedom ila hatuna uhuru wa kufikiri.

So hapo utaona mahaba kwa US yanawafumba watu kutazama uovu wao. Na chuki zao kwa Russia na Jamii nzima ya East inawafanya kuto kuona mazuri yao.

For funny 😂😂😂, nasikia binadam wa sasa wana maumbo madogo ukilinganisha na binadam wa zamani kwamba yalikuwa mapande ya mtu. Hapa naona hadi kwenye bongo zetu day to day zina shrink, tumekuwa na akili fupi ka njiti ya kiberiti.

Kuna wajomba hapa huwa napita nawasoma, unaanza kuvuta imagination ya namna alivyo ama walivyo hasa jamaa flan hivi hivi unaishia kutikisa kichwa tu. Dah Tutafika tumechoka mno.
 
Huo Ndo mchezo mojawapo wa hao wanaotaka new world order.kupunguza population ili watawale kiurahisi Kwa sababu ni rahisi kutawala watu wachache.
 
Maana yake package ya kipigo kitakuwa kikubwa kiasi kwamba Ukraine hawatahilimi watakimbia wenyewe Kwa sababu hapo unashambulia urusi moja Kwa moja.
 
HIMARS zilifeli pakubwa sana sana sanaa nandio maana leo hii tunaishuhudia MAURIOPOL inaendelea kujengwa
Tunashuhudia kura yaamani na utulivu kwenye nchi zile mbili mpya
Pia tunaona kura kwenye maeneo ya UKRAINE kama KHERSON na ZAPORINHE
Wachambuzi wanasema hii kura ikiisha basi Hon PUT IN anatafta pengine pakujimegea nna imani ataenda na ODESSA safar hii

108,900 sqkm of new territory will be incorporated into the Russian Federation if the referendum results are positive for the Russians.

This will make Ukraine the 3rd largest country in Europe, with France moving up to the 2nd spot — from previously No. 3

[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwatafsiri rahisi na nyepesi kabisa hawa jamaa nikwamba wanaheshimu na wataheshimu zaidi mipaka na maeneo yote ya RUSSIA na RUSSIA mpya ya baada ya Ref
Multipolar[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Morali ya kuwatandika West ipo juu sana huko Russia
====

In Chechnya, the head of the Republic, Ramzan Kadyrov, claimed that the mobilization in the region has already “exceeded by 254%”, even before the announcement of partial mobilization,” the Chechen leader said. In addition, Kadyrov added, there is a reserve of thousands of volunteers in Chechnya, “who, if necessary, will be able to join the ranks of defenders of Russia.”

Chechen Military Commissar claimed that partial mobilization would not affect the republic, since it had already carried out the necessary measures.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…