Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Samahani .... Sawa Putin wakala wa Shetani na Marekani wa nani!! Kwa Nini mnashindwa kuwa reasoning ndogo tu ambayo hata kuku anayo!!? We binadamu unashindwaje!!? Hivi mnawezaje kuishi na kulea familia zenu!??Putin wakala wa shetani
Waulize Finland...kama walilazimishwa kuachia maeneo yao.....ukitoka huko kamuulize ujeruman Kwa Nini kalinigrad aliiacha .. ukipata majibu njoo nipo paleee.... Mfichage upumbavu wenu...Tumezoea kuona vibaka wakikwapua mikoba na simu za watu na kuwatishia visu ama bisibisi wahanga, putin nae anafanya vivyo hivyo wafanyavyo vikibaka, anakwapua Ardhi ya watu na kuwatishia nyuklia.
Dunia isimame kupinga udharimu wa Putin.. Hatupo katika dhama za akina Neo.
Unajua lakini amechukua miji/Mikoa minne mikubwa!!?? Unajua kuwa inatakiwa kulindwa na wakati huohuo operation inaendelea!!?? Wabaki walindwe na jeshi Gani Ukraine au Urusi!!? Mbona mnashindwa kutumia akili ndogo tu hiyo ya kuvuka barabara tu!!?? Hivi na nyinyi mmeumbwa Kwa mfano wa Mungu eti!!??Yaan unadai umepoteza askari 5000 tu halafu unaita askari laki tatu kuongeza nguvu!!! Itakua wamekufa 55,000 kweli km ukraine inavyodai
NATO wanaisadia silaha Ukraine kwa misingi ipi? Kama hawana maslahi Ukraine kwa nini watoe training na silaha Ukraine halafu unasema Russia anapigana vita na Ukraine!Nchi 28+ zipo hizo?!
Kuna mwanajeshi wa hizo nchi Ukraine?!
Acheni kupotosha.
Russia inapigana na Ukraine inayosaidiwa silaha na baadhi ya nchi za NATO na EU. Ni Russia Vs Ukraine hizo nyingine ni propaganda.
Yu jamaa ni psycopath😀😀😀😀
Mkuu uwasamehe tu sisi wengine tumetulia pembeni tunawaangalia tu.Unajua lakini amechukua miji/Mikoa minne mikubwa!!?? Unajua kuwa inatakiwa kulindwa na wakati huohuo operation inaendelea!!?? Wabaki walindwe na jeshi Gani Ukraine au Urusi!!? Mbona mnashindwa kutumia akili ndogo tu hiyo ya kuvuka barabara tu!!?? Hivi na nyinyi mmeumbwa Kwa mfano wa Mungu eti!!??
Aseee niliacha kucomment kwenye Uzi ...ila mpaka unajiuliza hivi Kwa akili hizi ANAWEZAJE KUISHI HUYU!?? .... aaseee...Mkuu uwasamehe tu sisi wengine tumetulia pembeni tunawaangalia tu.
Russia Wana utu!Mbona sasa Mwamba Putin amewapendelea hivyo wakati wanajifanya majeuri eti wanaiwekea Urusi vikwazo!
Mbona hatuoni mwenye makaratasi akiwasainisha. Uzushi wa kitoto huu. Poleni.
Sasa hivi naona wamehamia kwenye viponzo, hawataki kuleta habari za front line! Hawana maana hawa!Mkuu uwasamehe tu sisi wengine tumetulia pembeni tunawaangalia tu.
Soma comment ya mdau wa RTHumu mnaandika sana na vitu hamfatilii wacha niendelee kuangalia hapa Putin akipata aibu ya mwaka huko..
Hawa nahisi vichwa vyao wanatumia kurogea na ushoga tuSamahani .... Sawa Putin wakala wa Shetani na Marekani wa nani!! Kwa Nini mnashindwa kuwa reasoning ndogo tu ambayo hata kuku anayo!!? We binadamu unashindwaje!!? Hivi mnawezaje kuishi na kulea familia zenu!??
Talking about Hong Kong? Kila mtu anajua iko more westernised than China mainland,ni Wale Wale tu.Na Huyu Jamaa nae ni west
"A book to be published in Hong Kong in the new year says Zhou Enlai, Communist China’s much-respected first premier, was probably gay despite his long marriage, and had once been in love with a male schoolmate two years his junior."
Haijalishi wamekufa wangapi Kaka,ni hivi, Kherson,Crimea,Luhansk na Donetsk zimeenda,na Odessa soon will be gone. I think that's the only thing to discuss, not number of dead soldiers.Yaan unadai umepoteza askari 5000 tu halafu unaita askari laki tatu kuongeza nguvu!!! Itakua wamekufa 55,000 kweli km ukraine inavyodai
Kama hujaelewa, basi uwezo wako hauruhusu, na siwezi kukusaidia kitu chochote.Logic yaswali?l
Yes angalau wewe, ingawa ni chongo, alas tutaenda hivyo hivyo. Kuna term deterrence kaifwatilie. Kutokusaidiwa kwa Mexico kuwaonyesha uimara.Mexico alipewa msaada na nani nanani !!?
Hem nenda SYRIA kawaulize NATO walipotaka kumtoa ASSAD walikumbana nakipi
Sent using Jamii Forums mobile app