Blah, blah blah blah blah blah blah blah!Wewe nipe kwanza ushahidi hakuna Sungura anayezungumza kama yule wa kwenye hadithi za Abunuwasi.
Hakuna siku dunia ya watu bilioni 8 wengine wenye akili fyatu kama nyie Pro-Russia itakuwa chini ya dini moja au serikali moja.
Hakuna kiongozi, tajiri au mwanasayansi yeyote wa Magharibi ambaye anafikiria huo utopolo wenu. Watu huko wanaumiza vichwa na kuchakarika kuwaletea Google muendelee ku google vizuri utopolo wenu, muziki, movies, vitabu, Stralink, magari, meli, dawa, chanjo soda, vifaru, na kila kitu ambacho mnatumia huku mkipayuka na kudanganyana kizombi kwamba mnataka kumalizwa nyie mafukara.
Ungekuwa mwanamke ww,mbususu yako ingechakaa kwa kupigwa miti, yaani unavyoipambia west!!,🚮Siku ukielewa kwa nini kuna West domination na wao ni block yenye nguvu zaidi duniani utakuwa umechelewa sana.
West wana nguvu na ushawishi mkubwa duniani kwa sababu wana teknolojia kubwa kuliko kwingine kokote duniani, hiyo teknolojia imewafanya kuwa na uchumi mkubwa kiasi cha kutoa misaada na mikopo kwa matrilioni kwa watu maskini kama nyie.
West wana ushawishi na watu wanakimbilia huko kwa sababu huko kuna demokrasia na uhuru mkubwa wa raia kuliko sehemu nyingine duniani. Ndio sababu unaona Waarabu, Wa-Irana, Warusi wanakimbilia na kuficha pesa zao huko.
West wana ushawishi kwa sababu watu wanapenda utamaduni wao kuanzia lugha, mavazi, muziki, movies, vyakula, vinywaji n.k ndio maana unaona kuna Pepsi, Coca-Cola, Starbucks, KFC, McDonald's, Burger King hadi Russia lkn huwezi kukuta kinywaji kingine cha Kirusi zaidi ya vodka huko US. Wengine hapa wanaoitukana West wako wanakunywa Pepsi baridi sasa hivi baada ya kumaliza kula supu.
Mimi nimechagua kumuita putin mhuni na kibaka full stop hana tofauti na wanachofanya panya road.Mnaanza kuionea huruma sasa UKRAINE eeeh
DUNIA si mlisema iliungana kuiekea vikwazo RUSSIA ama kuna dunia nyengine mnayoitaka iungane
DUNIA pia iliungana kupeleka HIMARS JAVELINE STINGERS cjui namadudu gani mengine bado mnataka DUNIA ipi tena iungane
Tulikua na tunaendelea kuwaambia njia pekee ya UKRAINE na shost zake kumshinda RUSSIA nikuungana na kuingia direct vitani na RUSSIA hapa nazungumzia NATO au UKRAINE akubali matakwa ya RUSSIA
Huku kulalamika lalamika hakutasaidia kitu mzeee kikubwa akimaliza huku atatafta kwengine ili aoneshe UKUU wake ulivyo
Aliushiwa chakula akaishiwa silaha akaishiwa morali bado mnalalama
Hatupendi vita na tunajua UKRAINE anaonewa ila tunajua RUSSIA dude kuuubwa sana
Sema acha UKRAINE wapigwe wali wameyataka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumuita ama kutomuita kwajo hakutazuia kinachoendelea UKRAINEMimi nimechagua kumuita putin mhuni na kibaka full stop hana tofauti na wanachofanya panya road.
Hamna Putin ana tofauti na panya road maana sijasikia popote panya road wanafanya oparesheni zao kwa makombora, vifaru, ndege vita na droneMimi nimechagua kumuita putin mhuni na kibaka full stop hana tofauti na wanachofanya panya road.
Kwa hiyo kwa akili yako unadhani kupigiana au hiyo operation inahusu human resources tu. Tunasema Urusi anapigana na NCHI 28+ kwa kuwa Ukraine anapewa financial+technical support kwa Nchi zote za Ulaya na bado kuna support ya nchi zingine pia kama Austria, Australia & New Zealand zote hizo zimepeleka misaada huko.Nchi 28+ zipo hizo?!
Kuna mwanajeshi wa hizo nchi Ukraine?!
Acheni kupotosha.
Russia inapigana na Ukraine inayosaidiwa silaha na baadhi ya nchi za NATO na EU. Ni Russia Vs Ukraine hizo nyingine ni propaganda.
Mfumo wa panya road na putin ni ule ule utofauti unakuja kwenye vitendea kazi. Panya road wanakupora simu/mkoba wanakutishia nyembe, visu na bisibisiHamna Putin ana tofauti na panya road maana sijasikia popote panya road wanafanya oparesheni zao kwa makombora, vifaru, ndege vita na drone
Kumuita ama kutomuita kwajo hakutazuia kinachoendelea UKRAINE
Yaani lalamikeni iteni majina yote ila jamaa anapiga kazi
Nini panya barabara wenzako wanamuita mpaka gaidi ila haijazuia SVO
Yaani mnahangaika na majina wakat mwenzenu anahangaika na maeneo muhimu ya taifa
Kama kumuita PUT IN panya barabara kungekua kunamaliza vita au kunfanya Elensky ashinde basi muda huu vita ingekua MOSCOW
PUT IN aachwe aendelee nampango mkakati wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka sizungumzii kumtegemea kiuchumi,ili USA maintain u super power dhidi ya Russia ni gateway kwake ni Turkey.SAWA.
Turkey’s Top Trading Partners
Below is a list showcasing 25 of Turkey’s top trading partners in terms of export sales. These are countries that imported the most Turkish shipments by dollar value during 2021. Also shown is each import country’s percentage of total Turkish exports.
Germany: US$19.3 billion (8.6% of total Turkish exports)
United States of America: $14.7 billion (6.5%)
United Kingdom: $13.7 billion (6.1%)
Italy: $11.5 billion (5.1%)
Iraq: $11.1 billion (4.9%)
Spain: $9.6 billion (4.3%)
France: $9.1 billion (4.1%)
Netherlands: $6.8 billion (3%)
Israel: $6.4 billion (2.8%)
Russia: $5.8 billion (2.6%)
United Arab Emirates: $5.5 billion (2.4%)
Romania: $5.2 billion (2.3%)
Belgium: $4.9 billion (2.2%)
Poland: $4.7 billion (2.1%)
Egypt: $4.5 billion (2%)
Bulgaria: $4 billion (1.8%)
China: $3.7 billion (1.6
Naona unaleta comment ya shoga
Blah, blah blah blah blah blah blah blah!
Bila ushahidi niliyokuomba Kwanza
Ungekuwa mwanamke ww,mbususu yako ingechakaa kwa kupigwa miti, yaani unavyoipambia west!!,[emoji706]
Naona unaleta comment ya shoga
Unaongea kwa uchungu mnoPutin kusanyiko lake la mamtu mapumbavu hata kuja kuiona amani.. Ameamua kuwa toa kafara raia wake kwa maagano ya kishetani.
Hata kama ni ushabiki umezidi sasa.Alietoa takwimu za wanajesahi waliokufa ndani ya miaka 12 ni USA (West). Alietoa takwimu za wanajesahi wa russia kua ndani ya miezi saba wamekufa 55000 bado ni huyo huyo USA(west)+ ukraine sijaona popote urusi ikisema wanajeshi wake 55K wameuliwa. Hioni hii ni propaganda ya wazi kabisa??Ndani ya miaka 12 Marekani ilipoteza wanajeshi 7000 kutokana na Vita Afghanistan na Iraq
Ndani ya Miezi 7
Urusi kapoteza wanajeshi 55,000
Kaitisha kikosi kikubwa kuliko kilichohusika na uvamizi wa Iraq na Afghanstan
Na bado akashindwa vita na wavaa kubanzi wasio na msaada kotoka nchi yeyote akaishia kukimbiaNdani ya miaka 12 Marekani ilipoteza wanajeshi 7000 kutokana na Vita Afghanistan na Iraq
Ndani ya Miezi 7
Urusi kapoteza wanajeshi 55,000
Kaitisha kikosi kikubwa kuliko kilichohusika na uvamizi wa Iraq na Afghanstan
Mobilization inayofaywa kwasasa inajibu mashaka yako yote juu ya Urusi ilichopoteza.. Nipuuze mimi ila isiupuuze kile mobilization inaonyesha.Hata kama ni ushabiki umezidi sasa.Alietoa takwimu za wanajesahi waliokufa ndani ya miaka 12 ni USA (West). Alietoa takwimu za wanajesahi wa russia kua ndani ya miezi saba wamekufa 55000 bado ni huyo huyo USA(west)+ ukraine sijaona popote urusi ikisema wanajeshi wake 55K wameuliwa. Hioni hii ni propaganda ya wazi kabisa??