Bila kusahau Zaporizhzhia,kwa ujumla Russia imechukua ardhi ya Ukraine ambavyo ni zaidi ya ukubwa wa Nchi ya Portugal au Hungry.Haijalishi wamekufa wangapi Kaka,ni hivi, Kherson,Crimea,Luhansk na Donetsk zimeenda,na Odessa soon will be gone. I think that's the only thing to discuss, not number of dead soldiers.
Mkuu upo Dunia ya ngapi usiyefahamu kuwa Urusi ndio alianza kunyanganywa na maeneo kwa propaganda za west.Kama ambavyo USA+NATO wali samba ratings ardhi ya Urusi ndivyo hivyo Russia naye anatudisha ardhi yake.au hukusoma Historian.Sawa, nimeficha upumbavu wangu, we onyesha hekima yako kwa kueleza why Putin Kawa kama kibaka, anapola Ardhi ya watu na kuwatishia Nyuklia.
Kuna utofauti gani kati ya anachokifa putin na panya road?.
Kafanyaj XI Jin pingXI JIN PING
Bora kibaka anayetetea kilicho chake kuliko kibaka anayeangamiza watu wake.Mimi nimechagua kumuita putin mhuni na kibaka full stop hana tofauti na wanachofanya panya road.
Hadi sasa ni kuwa zaidi ya viwanda zaidi ya 300 Nchini ujerumani yanashindwa kujiendesha na kufanya full production kutokana na uhaba wa nishati.Viwanda vinasubiri na kuiisurutisha Serikali kuwapa ruzuku.Si utani Germany inaweza ikawa deindustrialized.
Volkswagen AG warns of possible relocation of production from Germany
euroweeklynews.com
In the event of a gas shortage, Volkswagen AG has warned of the possible relocation of production from Germany.
As reported on Friday, September 23, by the American media agency Bloomberg, the German car giant Volkswagen AG is currently examining ways of counteracting the consequences of a possible gas shortage. The automotive group is also believed to be considering relocating production within its global plant network.
Southwest Europe or the coastal regions of northern Europe, which have better access to LNG supplies from the sea, could benefit from a shift in production, a Volkswagen spokesman told Bloomberg by phone.
Volkswagen already operates car factories in Portugal, Spain, and Belgium. These countries have LNG terminals and are not as dependent on Russian gas supplies.
Relocating production from plants in Germany to other European locations would pose considerable difficulties. Around 295,000 people work in German VW plants. The employee representatives there make up around half of the 20-strong Supervisory Board.
As a medium-term alternative, the company is initially “focusing on greater localisation, relocation of production capacity or technical alternatives, similar to what has been done in the context of challenges with semiconductor shortages and other supply chain disruptions”, Bloomberg quoted Geng Wu, head of Volkswagen’s procurement division, as saying in a statement.
Even if the gas supply in the VW plants is currently secured, the company has identified potential energy savings at its European locations, according to Michael Heinemann, Managing Director of VW Kraftwerk GmbH. It’s about a “mid-double-digit percentage”, Heinemann told Bloomberg.
However, the automaker is concerned about the potential impact of higher energy prices on its suppliers. The group sees politics as being responsible here. According to Thomas Steg, the Volkswagen Group’s General Representative for External Relations, it must “curb the current uncontrolled explosion in gas and electricity prices”, as reported by rnd.de.
Ndani ya miaka 12 Marekani ilipoteza wanajeshi 7000 kutokana na Vita Afghanistan na Iraq
Ndani ya Miezi 7
Urusi kapoteza wanajeshi 55,000
Kaitisha kikosi kikubwa kuliko kilichohusika na uvamizi wa Iraq na Afghanstan
Duh Hatimae US inaenda kutimiza ndoto yake ya miaka mingi.Hadi sasa ni kuwa zaidi ya viwanda zaidi ya 300 Nchini ujerumani yanashindwa kujiendesha na kufanya full production kutokana na uhaba wa nishati.Viwanda vinasubiri na kuiisurutisha Serikali kuwapa ruzuku.
Kuna tetesi lakini hazina udhibitisho ya kuwa amepinduliwa na wanajeshi wakimtuhumu kuwa kikwazo cha kuivamia Taiwan, yaani makamanda wa jeshi wanataka China iivamie Taiwan sasa hivi ila rais hataki kutoa amri ya jeshi kuingia vitani.Ni kweli kuwa amekamatwa??? Nn knaendelea huko china wajameni?
Kumbe bado hujazijua media za Western kwa uongo? You've a long way to go.Kuna tetesi lakini hazina udhibitisho ya kuwa amepinduliwa na wanajeshi wakimtuhumu kuwa kikwazo cha kuivamia Taiwan, yaani makamanda wa jeshi wanataka China iivamie Taiwan sasa hivi ila rais hataki kutoa amri ya jeshi kuingia vitani.
Lakini hii inaweza kuwa tetesi za uongo maana hata kipindi cha nyuma nadhani ulikuwa mwaka 2018 kulizuka tetesi za Putin kupinduliwa baada ya kumaliza karibia miezi miwili bila kuonekana hadharani.
Diplomatic solutions za nini tena 😂, si tulikubaliana kua Russia must be defeated in Ukraine ama? Hii change of tune inaashiria nini 😂😂😂POLE POLE TU TUTAELEWANA-WHO IS THE LOOSER HERE? OF COURSE UKRAINE
View attachment 2366673
Putin's use of nuclear weapons is not a bluff, EU says - BBC
The head of the EU diplomatic department, Josep Borrell, said that the European Union should take seriously the threats of Russia using nuclear weapons during the SMO. The politician proposes a search for a "diplomatic solution" that would suit all parties to the conflict.
Hahahaha....hivi nmnatoa wapi hizi HABARI ZA UONGO?!Upigaji kura za kujitenga unaenda vizuri
German observer says people in Zaporozhye Region voting voluntarily
Russian Politics & DiplomacySeptember 24, 13:18
The German observer also discussed the voting with Melitopol Mayor Galina Danilchenko after she had cast her vote earlier on Saturday
MELITOPOL, September 24. /TASS/. Participation in the referendum among residents of the Zaporozhye Region is voluntary, and, contrary to Western media reports, there is no pressure whatsoever on them, a German observer told TASS on Saturday.
"Of course, we can see that the Western media has claimed that people are being forced to vote here and that the voting is being conducted in a tense atmosphere, but, being here, I can see with my own eyes that people are voting voluntarily, and we can see the difference between how things are being reported and what’s happening on site," Stefan Schaller, a manager at Energie Waldeck-Frankenberg, said.
The German observer also discussed this with Melitopol Mayor Galina Danilchenko after she had cast her vote earlier on Saturday. "It is very strange to read Western media reports alleging that pressure is being put on voters here, while one can see with one’s own eyes how calm everything has been here," Schaller said, when the mayor asked him if he had any specific comments on the referendum.
In her turn, Danilchenko said that the Western media may be exaggerating things, while people "are happy about the developments here so far."
The Lugansk and the Donetsk People’s Republics as well as the Kherson and the Zaporozhye regions began their vote to join Russia at 08:00 am on Friday. Voting will last until Tuesday.
Yanazuiliwa na Nani?! Hilo Daraja kila siku linashambuliwa sababu likishambuliwa Russia anarudi kulitengeneza au anajenga pontoon bridge pembeni yake ili apitishe mahitaji yaende Kwa majeshi yake. Sasa Ukraine wanachofanya wanasubiri warusi wamalize kurekebisha halafu wanalipiga tenaHivi waungwana haya mabomu ya ukraine ( HIMARS ) yanayzuiliwa kila siku hapo zaporozhye nuclear plant na hapo darajani novaya kakhova mnayaona au???
maana sio kwa ufanisi huo tangu walipoanza kulishambulia hilo daraja na hapo zaporozhye mpaka leo duuuh ni muda mrefu na kila siku yanadunguliwa halafu pro nato mnajifanya hamyaoni haya.
Naomba mnijuze hiyo ndo S400 au ni ipi hiyo green rajab lee van cliff Bwana Utam Qibsyl Hammaz ??
Hizi FAKE NEWS MNATOA WAPI?!Kwamba Marekani nae ametuma waangalizi kwny zoezi la kupiga kura ya kujitenga sio?kwa unafiki wako vzr [emoji1][emoji1]
Observers from France, US arrived in Kherson Region for accession referendum — official
Russian Politics & DiplomacySeptember 23, 17:28
According to Marina Zakharova, the foreign observers currently work with members of district electoral commissions and the voters
KHERSON, September 23. /TASS/. Observers from France and the US arrived in the Kherson Region Friday to monitor the referendum on accession to Russia, regional election commission chairwoman Marina Zakharova told reporters.
"Foreign observers have already arrived; these are representatives of two states - France and the US. They expressed their wish to go to remote parts of the Kherson Region. We’ve provided them with such opportunity," Zakharova said.
According to Zakharova, the foreign observers currently work with members of district electoral commissions and the voters.
Authorities of Donetsk and Lugansk People’s Republics and administrations of Zaporozhye and Kherson Region decided to hold referendum on accession to Russia as regions of the Russian Federation. The vote in these entities will take place between September 23 and 27