Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bora kibaka anayetetea kilicho chake kuliko kibaka anayeangamiza watu wake.
Sijui uwa mnawaza wa nini tu katika bongo zenu..
Kwa hiyo Putin alienda ku restore kilichochake ndani ya ukrein..
Na habari ya Nato kutaka kuivamia Urusi kupitia Ukraine tuachane nayo,tuchukue hii ya Urusi kuchukua kilicho hake kama unavyosema wewe?.
Mgogoro mmoja ila madai elfu.
Mara Nazi.
Mara zelensnky anatumika.
Mara dhumni ni kuu disarmy jeshi Ukraine.
Mara zelensnky anaua watu wenye asili ya Urusi..
We mnywa kangara unasema Putin amerudisha chake...
Sababu yenu kuu ni hipi hasa?
Itoshe kwa kusema mnaulemavu katika vichwa vyenu.
 
Mkuu upo Dunia ya ngapi usiyefahamu kuwa Urusi ndio alianza kunyanganywa na maeneo kwa propaganda za west.Kama ambavyo USA+NATO wali samba ratings ardhi ya Urusi ndivyo hivyo Russia naye anatudisha ardhi yake.au hukusoma Historian.
Sitaki kujisumbua na swali lako jipya ikiwa hutaki jibu nilichokuuliza.
Ikiwa insu ni Ardhi alikuwa na haja gani ya kuja na kisingizio cha Nato kutaka kuivamia Urusi kupitia Ukraine?.
Kwa hiyo madai ya nato kutaka kuhujumu Urusi ni madai bandia ila dai la kweli ni Urusi kutaka ardhi yake ambayo kwa Madai yako wewe unasema west walimng'anya?. Wich is wich?.
 
Wahamishie Dar es Slaam tutawapa gesi yote ya mtwara.. Tuanze nunua vitu vipyaa
 
kweli, itakua mazingaombwe
 
Huyu bwana hizi video zake za Tiktok sio kitu tena tushazizoea,tunataka tuwaone kwenye uwanja wa Vita sio kila siku wapo njiani,mbona hawafiki au wanaenda nchi ya ahadi?!

Huyu bwana baada ya Ukraine kuyakimbiza majeshi ya Urusi mpk mpakani kwenye counter offensive kule Kharkiv alipost lundo la wanajeshi wa Chenchen kwamba wanaenda vitani,Leo ni wiki ya tatu hamna kitu kabaki kua Mwanajeshi wa Tiktok [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nafatilia mzozo huu nyuma ya pazia, tukiachana na maneno ya kujifariji Bongo Ukrainians hawana furaha ya kudumu.

Mara ya mwisho ilikuwa "tumechukua kilomita za mraba 8000" then... What next?... Hawaendelei na vita?... Wametosheka?

Nafikiri hali si nzuri maana wiki ile hatukupumua na mapichapicha ya YouTube Sasa hivi naona marudio tu hakuna jipya
 
ni km ule msafara wa vifaru wa zaidi ya km 40 uliokua unaelekea kyiv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…