Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Na inavyosemekana zimepigwa eneo linaloshikiliwa na Urusi, maana yake Ukraine wameadvance zaidiYesterday, the Ukrainian General Staff claimed troops shot down two Russian Su-30SM Flankers, a Su-25SM Frogfoot, a Su-34 Fullback, five drones, and a cruise missile. Footage showed a Su-34 trailing fire from its right engine over the frontline in Kharkiv Oblast, with a later clip showing a fireball and crash site in the area.
Tena hizo ndege nyingine zimepigwa na Stinger MANPADS
Ulimwenguni watu wanatembea wanakua mercenaries......Watanzania ndo tumujifungua humu ndani kama tupo kwenye kibuyu....watu wanazaliwa mkoani..wanatembea humuhumu mpaka wanazeeka...Nchi nyingine watu wanatake risk sana....wachezaji wangapi mfano WaTz wanacheza nje??,Wangapi WaTz wanafanya kazi/biashara nje??
Mwezi wa tatu..waethiopia walijaa ubalozi wa Urusi wakitaka wakaajiliwe kama wapiganaji, Waarabu etc....Wagner wale full mchanfanyiko kule..
Ulimwengu hauko kama wewe unavyotamani uwe....na haijalishi kwamba uko sahihi au hapana..
Mkuu nenda ubalozini hapo uombe visa ya urusi tena wala sio nchi inayogombewa na watu wengi hivo utapata kirahisi ukapambane.Ulimwenguni watu wanatembea wanakua mercenaries......Watanzania ndo tumujifungua humu ndani kama tupo kwenye kibuyu....watu wanazaliwa mkoani..wanatembea humuhumu mpaka wanazeeka...Nchi nyingine watu wanatake risk sana....wachezaji wangapi mfano WaTz wanacheza nje??,Wangapi WaTz wanafanya kazi/biashara nje??
Mwezi wa tatu..waethiopia walijaa ubalozi wa Urusi wakitaka wakaajiliwe kama wapiganaji, Waarabu etc....Wagner wale full mchanfanyiko kule..
Ulimwengu hauko kama wewe unavyotamani uwe....na haijalishi kwamba uko sahihi au hapana..
Hii KOI am disappointed!
Nilitegemea utakuja na data halisi kutoka kwa warusi wenyewe i.e. MoD zinazoonesha drones za uturuki zilizoshushwa na za waturuki wenyewe wanaozalisha hizo drones.
Umekuja na source ya mchongo na pia madai yako ya kuwa uturuki hawajawahi kuzalisha drone 100 hujaweka hata source ya mchongo. Aibu!
Soma hapa,
Baykar has inked contracts to supply TB2s to 24 nations, and company CEO Haluk Bayraktar stated earlier this month that exports would account for nearly all of its revenue this year.
Baykar has produced over 400 TB2s to date, the company said. It is currently attempting to increase its production capacity, which it intends to achieve in part with a plant in Ukraine.
Baykar’s CEO previously said that the company is currently capable of producing nearly 200 Bayraktar TB2s every year. The Turkish firm intends to increase this number to 500.
Hii ni kwa mujibu wa Eurasian times
Wikipedia wanasema kuna zaidi ya tb2 300 zimeshazalishwa na baykar.
Madai yako ya kuwa uturuki hajatengeneza tb2 100 mpk sasa hv umeyatoa wapi!?
Bwana we![emoji16]
Mkuu wewe unawapamba waarabu halafu mtoto wa kiume waarabu wamekufanya nini si unajua kwao Waafrika mpaka leo ni watumwaUngekuwa mwanamke ww,mbususu yako ingechakaa kwa kupigwa miti, yaani unavyoipambia west!!,[emoji706]
Huyu ni nani? Sasa zimetoka wapi hizo drones? Kwenye dunia yako ni kwamba hakuna drones za Iran zipo Russia. Baki kwenye dunia hiyohiyo, haiwezekani leo useme hiki, kesho kile. Unakuwa kama benderaView attachment 2367368
Haaa mkuu huwa mnanichekesha na huyu jamaa yako.
Katika sekta ambazo Urusi anazipuuza ni sekta ya drone yaani jamaa hawana muda nazo sijui kwanini ila naamini baada ya hii vita hawatarudia kuipuuza hii sekta na tutegemee uwekezaji mkubwa kwenye hiyo sekta.
Ila tuambizane ukweli mkuu uliziponda sana drone za Iran ila sasa hivi zipo zina wahenyesha kwenye uwanja wa vita.
Leo hasubuhi zimefanya uharibufu mkubwa sana kwenye mji wa Odessa.
Na ndizo zimevi kwamisha vikosi vya Ukraine kulidhibiti jiji la liyminal kwenye mkoa wa karkiv.
Juzi wizara ya ulinzi ya Urusi ilichapisha video ya drone za Iran zikiharibu msafara wa vifaru na mizinga vya Ukraine huko kherson, na jana hiyo hiyo rais wa Ukraine akatangaza kupunguza uhusiano wa kidpromasia na Iran.
Ila sasa hivi nasikia Ukraine imeagiza mfumo wa ulinzi wenye uwezo mkubwa wa kuharibu drone kutoka Israel ngoja tuone ufanishi wake.
MKUU zinaweza zisiingie ama usiziweke hata 10 ila bado zimeonesha ufanisi mkubwa sana katika muda mchacheMsimamo wangu ni huu mpaka sasa. Mnasema niliziponda na sioni mkionyesha, au nyie mnaelewaje yani.
Russia itakuwa ni kilaza zaidi kwenye drones kama hizi cheap Iranian suicide drones zinaonekana game changer kupitiliza. Drones hata wale Houthi pale Yemen wanazo na mwezi huu kwenye military parade yao kubwa zilikuwepo nyingi tu. Iran simuweki kwenye top 4 ya mabingwa wa dronesView attachment 2367540
Nishakuonesha ulipojichanganya. Nami nionyeshe wapi nilisema drones za Iran ni dhaifu. Na ungejua msimamo wangu ni upi, dhaifu kulingana na za nani.Sijaelewa uhusiano wa koment yang hii na hio screen shot uloileta
Sijaelewa uhusiano
Nilikua sijasoma maandishi MKUU mie kusema kwamba hakuna Dronea za IRAN imezihirika kama sio fact na fact imedhihirika kwamba drones zipo na zinapiga kazi
Ila tunarejelea pale pale kwako ulivyo zishusha hadhi drones za IRAN kana kwamba unazijua saana MKUU
Kama hata biibisii wanasema RUSSIA wameishiwa silaha wakat waongo mie nani niwe na full data za yanayoendelea huko
Mada kuu ilikua hii usiikwepe MKUU hizo drones za IRAN zipo dhaifu kama ulivyodai ama uliendeshwa tu na hisia chuki au biibiisii walikudanganya kama kawaida yao !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu mkisema naziponda mnakosea. Ni kwamba Iran compared na mabingwa wa drones hayupo top 4 kwa maoni yangu ya siku zote humu. Sikuwahi sema Iran ni kilaza kwenye drones wala hajui kitu. Hata Russia yenyewe siioni top 4MKUU zinaweza zisiingie ama usiziweke hata 10 ila bado zimeonesha ufanisi mkubwa sana katika muda mchache
Tofauti na ulivyozielezea awali kanakwamba hakuna kipya toka kwazo ama zahovyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungesema toka awali unalinganisha nazanani tujueNishakuonesha ulipojichanganya. Nami nionyeshe wapi nilisema drones za Iran ni dhaifu. Na ungejua msimamo wangu ni upi, dhaifu kulingana na za nani.
Kwahiyo unataka kusema kwamba Iran ina drones zinazozidi za Israel au Turkey? Mnapenda ubishi usio na msingi. Houthi nao wana drones, Hezbollah nao wana drones, mtu akilinganisha drone ya Houthi na ya China unaona zinalingana? Hapo superior na inferior huoni
Sasa mkuu mkisema naziponda mnakosea. Ni kwamba Iran compared na mabingwa wa drones hayupo top 4 kwa maoni yangu ya siku zote humu. Sikuwahi sema Iran ni kilaza kwenye drones wala hajui kitu. Hata Russia yenyewe siioni top 4
Umewasaidia tu ila nimesubiri atokee ngumbaru aseme ni propaganda nimchape na kitu kizito kichwani bahati nzuri wamekimbiaMimi kama proRussia napinga hii taarifa,si tulikubaliana Ndege za Russia zimefungwa mifumo ya Umeme (Khibiny EWS) ya kuzima mpaka Meli (USS Donald Cook) sasa inakuaje zinashindwa kuzima mifumo ya vikombora vya zamani kama Stingers?!
Sasa mbona unatia huruma mkuu. Mambo ya kulilia Iran inachopitia yanaingiaje kwenye case hii unayoniita muongo. Unatakiwa utoe proof ya unachodai nilisema, sio maneno yako ya "sidhani kama uliyasema haya".Sidhanii kama awali uliyasema haya
Ila IRAN kutokuepo kwenye top4 haishangazi
Ila inashangaza kama atakuepo hata kwenye top50
Nadhani unaifuatulia IRAN hali inayopitia kisiasa kijamii na kiuchumi
Kitaifa na kimataifa kwahio kama ungeelezea haya mwanzo nahisi tungejua tunambezaje huyu mtu ama tunamsifiaje huyu mtu IRAN
IRAN kama anashika top20 kwahali alio nayo yakuandamwa jamaa anastahili pongezi haswaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usijitoe ufahamu drone zote zinazo tumiwa na Hizbulah na huthi zote ni kitoka Iran na kama wanatengeneza wao basi fomla zote zinatoka Iran.Sasa mkuu mkisema naziponda mnakosea. Ni kwamba Iran compared na mabingwa wa drones hayupo top 4 kwa maoni yangu ya siku zote humu. Sikuwahi sema Iran ni kilaza kwenye drones wala hajui kitu. Hata Russia yenyewe siioni top 4