Clinton alipata kura milioni 65 Trump akapata kura milioni 62 ila raisi alikuwa Trump.
Unajua unaweza kuwa upande ulio sahihi kwenye majadiliano ila ukawa na namna ya hovyo kutetea hoja zako. Kama hiyo uliyofanya hapo ni namna ya hovyo sana
Umenikumbusha kwa shemeji yanguNdiyo picha nilibakiwa nayo niliyopiga kuhusu chakula.
View attachment 2367887
Nawasalimia Kwa jina la Himars ,na kipondo kisndelee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi ndege wiki hii ni balaaView attachment 2368035
[emoji845][emoji921] [emoji1099] [emoji635]Due to disagreements, EU countries will postpone the introduction of a ceiling on Russian oil prices-Bloomberg[emoji845]
Mbona wanawaonea huruma Sana wawakate hata mishedede waichome kama mishkaki , mvamizi kichwa chake ni halali ya AzovTHE EXTREME EVIL OF THE WEST AND THE UKRAINE THEY SUPPORT IS FINALY EXPOSED: Ukraine soldiers decapitating, cooking, and EATING human heads of Russian soldiers they capture or kill.
25 SEPTEMBER 2022
Ukrainian Nazi soldiers are decapitating, cooking, and eating, human heads of Russian soldiers they kill on the battlefields of Ukraine. THIS is the face of what America, Europe and NATO are supporting,showing clearly that they are just as evil.
Below is their think tank,Claus Schwab,walking naked(follow the link and zoom the screenshot).You can also see the screen shot below.I believe If you are an intelligent person and not mind controlled,,you now know who we are dealing with:murderers,maniacs,psycopaths,eugenists,lunatics,you name it and whatever you want to call them.
***** WARNING: GRAPHIC AND HORRIFYING IMAGE BELOW . . .
Is this what supporters of Ukraine have in mind when they cheer for Ukraine?
No thanks.
Go,go,go,go Russia!
See also the screen shot of the Western Governments' think tank,Mr.Claus Schwab, walking naked while a young girl watches closely,obviously surprised.It's no wonder that Western Governments are so evil,because their think tank or their chief advicer is equally so evil.Like father like son.
Who caresBoss wa T14 Armata [emoji1787][emoji1787][emoji848]View attachment 2368101
Unakili kweli?unawatetea mashetaniMbona wanawaonea huruma Sana wawakate hata mishedede waichome kama mishkaki , mvamizi kichwa chake ni halali ya Azov
Tatizo lako unafikiria kazi ni kulima mihogo na ngano tu. Viwanda huko vinapiga kazi masaa 24
Wewe Una akili unayewatetea wavamizi na wauaji wakubwa , waliotekezeta raia wasio na hatia Kule BuchaUnakili kweli?unawatetea mashetani
Hakuna aliyenung'unika nimejaribu tu kukuonesha hoja yako ilikuwa ni ya hovyo sana.Ulimsikia Clinton akilalamikia matokeo?
Hukuona katika vyombo vya habari Clinton amempigia simu Trump kumpongeza?
Ikiwa Clinton mwenyewe na wafuasi wake hawakulalamika sasa iweje wewe mmatumbi unung'unike?!
Marekani mgombea anashinda uchaguzi kwa wingi wa kura za wananchi kutoka wingi wa majimbo. Anza kumuelekeza kuwaelekeza vilaza wanafikri kura za wananchi wa Marekani kwa Rais huwa ni maigizo tu.
Kenya Rais lazima ashinde 50%+1 na asilimia 25 katika counties 24. Hizi zote ni jitihada za demokrasia kuhakikisha na kuboresha uwakilishi ila bado ni somo gumu sana kwa vilaza wenye akili ndogo.
Mfano wako ni mzuri isipokuwa sehemu moja. Hapo uliposema "siku moja njemba likachukua kitabu chako cha uvuvi kwa nguvu"...labda kwa mfano huu mwepesi mtaelewa.
Tuchukulie upo darasa la tatu, shule ya msingi, humo darasani mpo 195. Kwa bahati tu mwalimu kakupanga kwenye dawati moja na njemba korofi lenye manguvu, ambalo hata rafiki zako wanaliogopa. Siku za kwanza mambo yalikuwa shwari. Lakini siku moja njemba likachukua kitabu chako cha uvuvi kwa nguvu, ukalalamika sana kuonewa kwako, lakini hakuna aliyekupatia msaada.
Mpangilio wa madawati humo darasani umegawanyika katika colum tatu: kushoto, katikati na kulia. Wewe unakaa dawati moja na njemba colum ya kushoto. Kwenye colum ya kulia kuna Nunda mwingine, darasa zima linajua kwamba pale, pale kipo chuma kwelikweli hivyo kupelekea wanafunzi wengi kwenye colum ya katikati kuwa machawa wa Nunda wakijua njemba hawezi kuwagusa kwa sababu Nunda atawatetea. Pia Nunda ni mtundu sana matoyi yote mazuri anayo yeye tu Na mambo mengine mazuri.
Kutokana na njemba kuona yupo kukosa marafiki, akachimba mkwara ole wakee anaokaa nao dawati moja waende kwa Nunda. Na kadiri siku zinavyokwenda njemba anakwambia anatamani achukue na vitabu vyako vya kilimo na madini kwani snavipenda sana. Lakini hapo darasani Nunda ambaye ndio monitor alishasema na anasemaga kila mwanafunzi ajichagulie rafiki.
Sasa ungekuwa wewe kwenye hilo darasa ungefanya maamuzi gani?
Mauripol sio jimbo bali ni jiji kubwa lililoko ndani ya jimbo la Donesk.hivi mkuu Mauripol sijaisikia kwenye refferundum yenyewe ilishakua russia
Mauliopol ni jiji kubwa liliko kwenye jimbo la Donesk.Kama sijakosea MAURIOPOL nisehem iliopo kwenye eneo la DON BAS
Kama sio LUHANSK Basi DONEST sina hakika lkn ila nahisi
Nandio maana halitajwi kujiunga kama eneo linalojitegemea
Wajuvi watatusaidiaa
Sent using Jamii Forums mobile app
🤝🤝🤝🤝Demokrasia ni zaidi ya kupiga kura.
Demokrasia ni uwepo wa tume huru ya uchaguzi, vyombo huru vya habari visivyo spika tu ya serikali, separation of powers/huru wa mihimili, utawala wa sheria(baadhi ya watu kotukuwa juu ya sheria), wapinzani kutoangushwa maghorofani au kulishwa polonium,