Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Kina Elensky kadri wanavyokaza mabumunda yao ndio kadri wanakutana na term nyengine mpya na ngumu,[emoji38][emoji38][emoji38] yaani hii ndio Kali
[emoji845][emoji635][emoji1255][emoji1250]The Turkish Foreign Minister Mevlüt Çavuşoğlu said that Putin at the talks with Erdogan "declared the possibility of returning to negotiations with Kiev, but "on new conditions"[emoji845]
Translation...Ukraine shoud forget about LPR,DPR,Crimea,Kherson and Zaporozhye region https://t.co/fzVuCXyQZr
Wishful thinking. Urusi ana billions kibao zimeshikiliwa na nchi za magharibi zinaweza kutumika kurebuild Ukraine na kampuni za magharibi zikapata tenda huko.Sidhani kama itachukuliwa, nahisi watasurrender haraka kabla ya kuchukuliwa….Itakuwa hatari kma Odesaa nayo itaenda maana bahari nzima ya ukrain itakuwa imeondoka, hvyo Russia itakuwa na control kinachoingia na kinachotoka Ukrain kupitia bandari zote…na mbaya zaidi ile miji iliyopiga referendum itakuwa na uchumi mkubwa kuliko Ukrain iliyobaki, waukrain wengi watadefect kuelekea kwnye hiyo miji, maana baada ya vita sidhani kma Ukrain anaweza kurebuild miji yote kwa kasi ukilinganisha na Urusi. Hiyo miji ijiandae kwa wimbi kubwa la wakimbizi.
Sasa huyo Russia atafanye carpet bombing wakati hana air superiority?!Alafu kuna kitu nimeona wengi sisi Watanzania hatuelewi kuhusu SILAHA ZA MAANGAMIZI ( weapons of mass destruction) na kufikiria silaha za maangamizi anazo zungumzia PUTIN ni NYUKLIA tu. Nyuklia ni silaha ya mwisho kabisa kwenye silaha za maangamizi, kuna silaha nyingine za maangamizi zilizuiliwa kwenye Stockholm Convention ambazo Urusi anaweza kuzitumia haraka kabla ya NYUKLIA ndo kinachowatisha wa Ukrain.
Hizi ni : Silaha za kemikali, thermobaric bomb ( vacuum bomb)- hii wanasema kashatumia lakini imethibitishwa bado , Carpet bombs e.t.c
Urusi akianza kutumia hizi silaha basi ujue anakaribia kutumia Nyuklia ikiwa hizo hazitamletea matokeo anayotaka.
Ubaya wa hizi silaha na kinacho mzuia kuzitumia Urusi sio West au chochote, hizo silaha ni Non-selective yaani ni ngumu kucontrol blast perimeter ( linasambaa kwenye eneo kubwa pasipotarajiwa) na kuweza kuua civilians wengi ambacho Mrusi anakikwepa toka mwanzo.
Nakumbuka humu kuna mtu alisema ujerumani kwenye akiba yake ana gas ya kumvusha kipindi chote cha baridi, yaani hifadhi yake imejaaBloomberg:
[emoji629]German Chancellor Olaf Scholz secured just ONE shipment of Liquefied Natural Gas from the United Arab Emirates, with a Non-Binding agreement for more, as [emoji1099]Europe’s biggest economy struggles to replace [emoji635]Russian supplies.
Na hizi je?![emoji116]Hizo ni risasi hakuna cha maana hapo marisasi na msbunduki hufika pahala majeshi yanachoma moto . Vita za risasi hakuna miaka hii . Risasi zina KAZI ndogo sana miaka hii zinatumiwa na POLISI zaidi . Usiogope. Ukiwa uraiani utaona bonge la dili. Hata hayo msbunduki labda IWE special sana
Elimu yako ni darasa la ngapi? Samahani nauliza tu mkuuJana nilikuwa nasoma kitabu cha Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama kiitwacho A Promised Land nikashangaa kuona kumbe mfumo wa usalama wa makombora ya nuclear ya Urusi umejengwa kwa masaada wa USA na wameshiriki katika ujenzi wa mfumo huo. Kama hiyo haitoshi viongozi US na maafisa mara kadhaa mamekuwa wakitembelea sehemu yalipo fichwa makombora hayo. Kwa hilo tu nafikiri vita ya nuclear haiwezi piganwa ndani ya kalne hii.
Hahahaha hivi hizi fix mnakuja kumpiga Nani humu ndani,na kwanini mnalazimisha Zelenksy akubali masharti ya Putin wakati si yeye aliyeanzisha ugomvi Yani mnaona kosa Ukraine ikijitetea dhidi ya uvamizi Ila mnaona sawa Urusi ikishambulia Ukraine!!!! Nyinyi watu mkoje?!Referendum na mobilization zimewamaliza nguvu Ukraine na washirika wao. Kwamba baada ya kujitoa sana na kuwa na natumaini kiasi kumbe game linaanza upya .KWA Upande wa Russia ASKARI wanapata morali kupitia kuongezeka idadi na vifaa . Na hiyo ni PARTIAL MOBILIZATION . Inamaana km Ukraine hataelewa somo full mobilization itatangazwa . Ni busara ZELE aachane na hii ishu. Kama unaotaka kuwakomboa hawakutaki nadhani hakuna ukombozi. Hata pro ZELE wa humu jamii wamejichokea
Wale wapo pale toka kuumbwa kwa Dunia hii.Kwann wasiwachukue hao warusi wakarudi bao nyumban wawache ukraine wauane wenyewe? Badala ya kuchukua ardhi
Unachekesha,Wishful thinking. Urusi ana billions kibao zimeshikiliwa na nchi za magharibi zinaweza kutumika kurebuild Ukraine na kampuni za magharibi zikapata tenda huko.
Urusi angekua na uwezo wa kuibeba Odessa angeshaibeba siku nyingi Sana Ila huo ubavu Kwasasa hana Labda atumie nyuklia,matokeo ya counteroffensive yamemchanganya Putin mpk kaitisha Kura ya maoni fastaaa coz anajua angechelewa hayo maeneo Ukraine wangeyachukua mapema,hivi Una habari km majeshi ya Ukraine yanakaribia kuichukua Lyman,wanajeshi wapo umbali kadhaa toka kwenye huo mji.