Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bwana jaribu kutumia uwazi uliopo baina ya masikio yako!
Finland ilipaswa kuachana na 10% ya maeneo yake baada ya kujiokoa na mhuni aliyewahi kuivamia... Lakini walijitetea vizuri, maana jeshi la mhuni lilikuwa na wanaume wengi kushinda idad ya Wafinland wote! hata hivyo waliona wapate amani kwa kuachana na 10%.
Baadaye walivumulia miaka mingi.
Sasa walisema: Simwogopi mhuni tena! Aje tu! Nimeona amezeeka na kuwa mdhaifu.
Wkajiunga na NATO hata baada ya kutishiwa....

Sijui kwa kutaja mfano huu ulitaka kutuonyesha nini???

(Kama hujaelewa historia ya juu: Finland iliwahi kuvamiwa na Urusi na kuwa koloni yake karne ya 19. Mwaka 1917 ilipata uhuru. 1940 ilishambuliwa tena ikajitetea...)
 
Nuke ikipigwa hakunaga fikra kama ulizonazo .Wengi hatuelewi Nuke inaangamizaje. Hakutakuwa na cha kufanya . Chukulia jamaa apige miji mitatu US miwili England na miwili Germany nani atakaa vikao . Anaewahiwa ndio kawahiwa na mchezo unakwisha.
Una wazimu , hiyo nuclear kama anayo yeye Tu Sawa ,nuclear weapons zipo hata Kwa failed states kama Pakistan na India , usifikiri nuclear war heads ni maandazi , Hakuna mpuuzi WA kutumia nuclear war heads unless anataka extermination ya Taifa lake , Yani utumie nuclear kubomb European country au US ubaki salama aisee bangi mnazovuta muache
 
Germany anajifanya mjanja, kakomolewa kwa makusudi, nasikia ni pipe 3 zimepasuka.... Hii itasababisha Urusi asiuze gesi kwa miezi kadhaa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
kuna moja imepita ukraine hio muda si muda tutayaskia- usistuke russia mwenyewe akaihujumu aseme ni ukraine msimu wa baridi
 
Kadanganye wajinga huko , Urusi alipigwa akachakaa na casualties ni nyingi alipata plus loss ya vifaa mpaka hata askari wake waliobaki pale wakaanza kuwa scavengers WA kuuza military equipment kama Chuma chakavu
 
Harpoon isaidie kurejesha miji basi sio kua nayo tuuu
Narejelea tena hata CRIMEA hawakuitambua ila RUSSIA ana kambi yawana maji kubwa tu pale namaisha yanaendelea

Hili lakushambulia ama kuto baada ya ref sisemi neno kama litashambuliwa ama laa ila nnalosema nikwamba hilo eneo baada ya kura litakua mali ya RUSSIA kwa US na wenzake kukubali ama kwakukataa kwakupenda ama kuchukia

US kukubali ama kukataa hio kura hakuifanyi RUSSIA isibebe hio ardhi yenye neema na rutba zake hakukufanya RUSSIA asitishe kura

Nlikwambia wakat wa ref kwamba kikubwa wataishia ni vikwazo tu hawana lazaidi

Ukiongezea na hilo eneo wanalobeba RUSSIA wametangaza mara hii watavuna mpaka tani 150M kutoka 70-80M walotangaza mara hiii

Ndio mujue kama RUSSIA hajakurupuka nyie ilindeni tu hio KIEV mkitaka kuachana na mafuta sawa mtaachana na msosi [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

PUT IN ame waout smart sana western kwahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Political scientist Rostislav Ishchenko Anyone can be behind the explosions. But the main beneficiary is the USA.

This diversion hits not so much Russia as Europe.

Yes, Russia will sell less gas, but prices will soar.
??? Urusi haiuzi kitu kupitia mabomba hayo. Northstream2 haikufunguliwa bado, Northstream 1 Urusi ilifunga yenyewe ikakataa kutuma gesi humo.
 
Mrusi ile ilikuwa ni total defeat tena ya aibu , Mmarekani kaondoka pale Afghanistan Kwa sababu kulikuwa hamna aja ya kuendelea kuwa pale tena ,watu wanatakiwa wajue sababu ya mmarekani kuivamia Afghanistan , lengo lilikuwa ni kuwafurusha Alqaida baada ya kufanya mashambulizi 9/11 ambapo waliifanya Afghanistan kama ngome Yao ,hivyo ilikuwa ni lazima Uncle Sam aingie kule kumnyoosha Osama na genge lake pamoja na allies wake , na walifanikiwa Maana Alqaida walikuwa uprooted toka Afghanistan kabisa tatizo lilikuwa kimebaki ni resistance toka Kwa wale wataliban na revenge attacks zao dhidi ya vikosi vya Marekani Maana walichukia kufurushwa toka madarakani Maana wao ndio waliomhifadhi gaidi Osama na genge lake Ila kama angetaka angeendelea kuwepo na si kwamba US alishindwa , yaani US kakaa pale for 20+ years halafu mna guts za kuandika ujinga hapa kwamba Mmarekani kashindwa ,mnawazimu au ? .Marekani kaondoka pale baada ya kuona Hakuna threat tena toka pale dhidi ya US Maana pale kulikuwa ni nest ya magaidi WA Alqaida .

Tena Mrusi alipigwa na weapons za kawaida zile Kalashnikovs na stingers , wavaa kobaz walimnyoosha hata kaa asahau .
 
Sijui umeandika nini?
Ebu soma kwanza halafu tafakari
 
Tuone sasa mtamuuzia nani gesi, maana ndo iliwapa kiburi, CIA imeamua kuwaumiza wote na Germany

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
[emoji778]️اوکراین مدعی شد: روسیه عامل نشت گاز نورد استریم است

[emoji778]️Ukraine claimed: Russia is responsible for the Nord Stream gas leak


Sasa wewe na UKRAINE nani msema kweli [emoji23][emoji16][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je nani atatambua sehemu hizo kuwa ardhi yake???
Hadi leo hata China haikubali Krimea kuwa Urusi. Uturuki ilisema jana lazima kurudisha Krimea ... Sivyo???
Atambuliwe ili iweje??? Israel mpaka leo inakalia Golan heights (Syria), maeneo ya Palestine-Gaza strip na West Bank.. Hata Sinai Peninsula ya Misri ilitwaliwa na Israel lakini ikarejeshwa baadaye baada ya mazungumzo ya amani kufuatia vita vya Oktoba 1973. .
 
27 Sep, 2022 08:55

Ex-Russian president weighs in on use of nukes against Ukraine

Western nations would “swallow” Russia’s use of nuclear weapons against its neighbor, Dmitry Medvedev said



Deputy head of Russia's Security Council Dmitry Medvedev. © RIA Novosti/ Ekaterina Shtukina

NATO would not intervene if Moscow used nuclear weapons against Ukraine, Dmitry Medvedev has said, claiming that Kiev’s Western backers would be unwilling “to die in a nuclear apocalypse” for the country.

However, the former Russian president said it was highly unlikely that the conditions for warranting a nuclear response by Moscow would arise in Ukraine.

Medvedev made the comments as he discussed the hypothetical use of nuclear weapons by Russia on social media on Tuesday. He dismissed remarks by Western politicians, who have been warning Moscow against using nukes, as “diarrheic demagoguery.”

The conditions permitting the use of Russia’s nuclear arsenal are stated plainly and publicly in the country’s nuclear doctrine, Medvedev said. Moscow says it will only use its most deadly weapons if it or one of its allies is attacked with weapons of mass destruction or if its existence is at stake in a conventional conflict.

Hypothetically, if Ukraine were to pose a threat to Russia’s existence, Moscow could use nuclear weapons, he added, but the stakes would then be too high for third parties to get involved.

“I believe NATO would not intervene in the conflict even in this scenario. The safety of Washington, London, Brussels is more important for the Alliance than the fate of useless, perishing Ukraine,” Medvedev predicted.

“Sending modern arms to Ukraine is just a business with an extra seasoning of hatred towards us. Nothing more,” he said. “[American] and European demagogues would not die in a nuclear apocalypse. This is why they will swallow the use of any weapons in the ongoing conflict.”

The latest warnings against the use of nuclear weapons were led by US President Joe Biden following an address by Vladimir Putin last week, during which the Russian leader claimed Washington and its allies were seeking to partition Russia. He cautioned that Moscow would use all tools at its disposal to defend itself.

Medvedev, who currently serves as the deputy chair of Russia’s National Security Council, also warned that the country would not tolerate a nuclear-armed hostile neighbor.

Ukrainian President Vladimir Zelensky previously suggested that Kiev’s commitment not to have nuclear weapons could be withdrawn. The idea, which Zelensky voiced during a speech at the Munich Security Conference in mid-February, prompted a furious response from Moscow, which perceived the remarks as a serious threat to Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…