Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fashisti Putin lazima akabiliwe kwa namna yoyote ile [emoji3525][emoji3525][emoji3525]View attachment 2369865
Air defence systems ziko wapi hawa super power. Si ndio wanasema wana the best duniani
Only in your imaginary small worldView attachment 2370108
Lugansk will soon be home [emoji635]
Hapa tutakua hatulimalizi hili jambo kwakua hutaki liishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka hata Hilo unashindwa kulielewa?!
Kwanini hizo Meli hazikuondoshwa kabla mpaka Harpoon zilipopelekwa hapo Odessa. Kwani ulikua hujui kama Russia ilikua imeweka naval blockade kwenye hilo eneo,au unajisahaulisha?!
Hawa watu ni WEHU...ndio maana nawajibugi Kwa uwezo wa ujinga wao... Finland ilichukuliwa 10% ya nchi ...wanajinasibu WALISHINDA ... Ukraine inachukuliwa 15% ya nchi bado wanakaza fuvu wanashinda... Aseeee.... Bora uongo wa ntarudi na pipi Kwa mtoto ila sio upumbavu wa Hawa jamaaa ProNato... Ni mandezi mandina....
Embu tujikumbushe kidogo
President Biden: February 7th this year: “If Russia invades...then there will be no longer a Nord Stream 2. We will bring an end to it.”
Reporter: “But how will you do that, exactly, since...the project is in Germany’s control?”
Biden: “I promise you, we will be able to do that.”
Zimbabwe yasema yasimama na Urusi ktk kuiadabisha Ukraine
Yasisitiza kuwa operation ya kijeshi ya Urusi nchini Ukraine ni ''Preemptive step" iliyolenga kuilinda Urusi dhidi ya wakora wa NATO.
======
View attachment 2369954
Only in your imaginary small world
Chechnya ilikuwa sehemu ya shirikisho la Urusi.
Wale walikuwa magaidi waliotaka kujitenga na Putin akafanya kazi yake.
Bwana Utam sasa mbona unajikoroga mwenyewe, umesema nakunukuu "Russia anaenda kwa utaratibu maalum na hashindwi wala hajashindwa kuchukua eneo lolote lile". Hapohapo unasema kwamba nakunuu "mlitaka Russia aiteke Kiev angetumia rasilimali nyingi OP ingemshinda".Sasa vile vifaru vilivyokua vinaenda Kiev au ule msafara wa 65km ulokua unaenda Kiev ulikua unaenda kufanya nini kama alikua hataki kuichukua Kiev?!!! Kwahiyo mpk hapo unakubali kama Russia alishindwa kuiteka Kiev,baada ya kushindwa Kwa kubalaswa ndo akaamua kujiegemeza Donbass?!
Hivi unajua mpaka sasa Russia hajateka eneo lote la Donbass?! Nusu bado linashilikiwa na Ukraine,sasa kituko cha hiyo Kura inayopigwa ni kwamba matokeo yataruhusu Donbass yote ijiunge na RF halafu Donbas yenyewe wameiteka Nusu,nusu ipo chini ya Ukraine. Kwahiyo mpaka hapo tunaona jinsi hiyo wanayoita operation imeshindwa maana mpaka sasa wameshindwa kuteka eneo lote la Donbass na Luhansk.
Kingine hakuna Mtu aliyesema wanataka hiyo referendum ishindwe,kinachosemwa ni kwamba wao wapige hizo kura zao lakini hakuna atakaezitambua si Ukraine wala NATO na kwamba hayo maeneo yote ni legitimate targets kulingana na msimamo wa Marekani,NATO na Ukraine yenyewe.