Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pro Russia wanarukia kila hoja kuhalalisha udikteta na vurugu za Putin, wanampenda sana na wanaamini maneno yake ndio kila kitu, Inasikitisha sana kuwa na mashabiki wengi kiasi hichi kwa dikteta katili.
 
Tuone sasa mtamuuzia nani gesi, maana ndo iliwapa kiburi, CIA imeamua kuwaumiza wote na Germany

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Pole ya kuchanganikiwa. Anayejaribu kuwaumiza watu wa Ujerumani ni yule mzee mfupi huko Moscow.
CIA wako busy kusoma data za satelaiti na kuzitafsiri kwa Kiukraine na kutuma majiranukta sahihi.
Wajerumani wako busy kubembeleza Wasaudia, Wanorwei, Wakanada na mtu yeyote anayeweza kuuza gesi katika miezi ijayo (halafu nasikia wanapata maendeleo fulani...)
 
Nani aliwatetea Wa-Ukraine million 4 waliouwa katika mauaji ya kimbari ya Holodomor ya mwaka 1932-1933 ya dikteta Joseph Stalin wa USSR??!

Holodomor Massacre ni mojawapo ya mauaji makubwa ya kimbari kuwahi kushuhudiwa duniani.
 
Putin ana tabia zote za madikteta wa Africa. Bila shaka yeye ndiye mwalimu wa Tume nyingi za uchaguzi za Africa

Inaondekana pia Putin ni mwanafunzi mzuri wa Stalin aliyesema na kuamini,
"It is enough that the people know there was an election. The people who cast the votes decide nothing. The people who count the votes decide everything"
-Dictator Joseph Stalin
 
Duh!...mie sio mbishani kwenye huu uzi wenu ila nimekuw nikisom post za watu mara nyingi tu kwenye hii thread, kiukweli nimeon post zako nyingi hazina content FurtherMore zinaonyesha huna reasoning kabisa kama sio Empty headed.

Yani unadiriki kusema INDIA ni failed state wakati ndo nchi ya 5 kwa uchumi dunuani mbele ya UK ambaye kashuka nafasi ya sita 2022.


Unachosikitisha zaidi ni kutojua kuwa Duniani kote Russia ndo mwenye Nucleur Warheads nyingi kuliko nchi yoyote na ndo mwenye more advanced technology ya nucleur weapons kuliko wengine na test yake ya mwisho aliifanya mwaka.1961...alijaribu bomb aina ya TSAR BOMBAR model RDS-220...na hiyo test yao ilifanikiwa na ndo lilikuwa bomu lenye uzito mkubwa mara.3800 ya lile alilorusha huyo US wenu kule hiroshima...

Unaweza kuona akiamua kutumia aina hiyo kwenye stock yake US atasalimika?...haipingiki kuwa marekani kwasasa ndio nchi iliyotake OVER kwenye millitary aspects duniani maana inakadiriwa bajeti yake ya wizara ya ulinzi tu ni takribani $672billion kwa mwaka lakini yeye mwenyew anajua wazi kwenye nyanja ya nyuklia hamkuti URUSI anzia enzi za Soviet Union.


ebu waangalie hao western wenu...ukimtoa USA...members wengine wote wa Nato ni wepesi san kwa urusi...sasa nchi kama ujeruman pamoja na kuwa na uchumi mkubwa kule ulaya haina nyuklia warhead ata.1 yazidiwa ata na iyo Pakistan uliyoiita wewe ni Failed state.



Na usichokijua silaha za nyuklia zipo za aina mbili yaani 1.TACTICAL/NON STRATEGICAL NUKES na 2.STRATEGICAL NUKES...hizo za kwanza ndizo ambazo anaweza kuzitumia apo ukraine maana hayana effect kubwa sana kama hayo ya pili maana hubeba warheads chache hivyo hayana uzito mkubwa(huwa yana Tons to KiloTons) na ili kusababisha massive destruction yatatakiwa kutumika mengi kulinganisha na iyo aina ya pili ambayo hubeba warheads nyingi sana na huwa yanakuwa na uzito mkubwa(MegaTons up to 100)

Nakingine nikuwa izo warheads kuna ambazo zipo active/Ready to be used/deployed, na ambazo zimehifadhiwa Non-deployed/reserve/stocked...na vengine haviwez kutumika tena/vimechoka.
 
Matokeo dhaifu sana!
(hasa ukizingatia sehemu kubwa za Donetsk "republic" hapaluwa na nafasi ya kupiga kura)
Maana ukigushi, usiridhike chochote chini ya asilima 150!
 
A DPR official confirmed to me that Russia is likely to elevate its special military operation to an anti-terrorist operation following the results of the referendums for Russian realignment and warned the Kiev regime may be labeled a terrorist state if it launches attacks on the regions.
 
Washington has no objections to Kiev using Western-supplied weapons to target territories that may decide to join Russia, as the US considers the vote to do so illegitimate, Secretary of State Antony Blinken said on Tuesday.

t.me/asbmil
 
Bwana hujaelewa chochote?? Hata mabomu "machache" ya Uingereza na Ufaransa yanatosha kabisa kuangamiza Urusi na miji yake yote.

Unavutwa na Tsar Bomb?? Ujinga gani?? Alifaulu nini ila kuchafusha maeneo makubwa katika Urusi kaskazini???
 
πŸ—“ Top News Today

πŸ‡·πŸ‡Ί Russian Defence Minister General of the Army Sergei Shoigu has inspected the progress in preparing mobilised citizens at Western MD training grounds.

πŸ’₯ Attack launched by Russian Aerospace Forces has resulted in the elimination of up to 100 militants from 9th Special Regiment 'Gepard' of Ukrainian National Guard, as well as of over 50 foreign mercenaries in Zaporozhye.

πŸ’₯ Massive attack launched at a provisional base of 81st Airmobile Brigade of the AFU near Konstantinovka (Donetsk People's Republic) has resulted in the elimination of over 150 Ukrainian servicemen.

πŸ‡·πŸ‡Ί Mobilised citizens and volunteers continue arriving in military commissariats to be conscripted, receiving small arms, departing to their units and have commenced individual trainings within the partial mobilisation.

πŸ“„ Residents of LPR and DPR temporarily accomodated in Belgorod region vote in Novy Oskol within current referenda.

πŸ“Ή Russian Defence Ministry has published footage of Western MD army aviation rotorcraft crews, mortar crews and artillery units from the Eastern Group of Forces in combat action within the special military operation.

#MoD #TopNews #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
Je nani atatambua sehemu hizo kuwa ardhi yake???
Hadi leo hata China haikubali Krimea kuwa Urusi. Uturuki ilisema jana lazima kurudisha Krimea ... Sivyo???
YAANI Mimi nizae na mkeo alafu wewe unakazana kusema oo!Mimi sitambui huyo mtoto kuwa wako![emoji16][emoji16][emoji16].Bro!Mbona yatosha kabisa mimi na mkeo kutambua kuwa mtoto ni wangu.Wewe usipotambua ni kwa sababu ya aibu tu,lakini ndani yako utakuwa unatambua mtoto si wako.[emoji23][emoji23][emoji23].
Urusi na waliopiga kura ya kujiunga Urusi,tayari watatambua majimbo hayo ni sehemu ya Urusi.Wao ndiyo wazazi bhana.[emoji16][emoji16][emoji16].

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…