Wewe unaamini kabisa kuwa Urusi ana vya maana?Air defence systems ziko wapi hawa super power. Si ndio wanasema wana the best duniani
Mzee vipi tena. Umekuwa mganga wa kienyeji!? Leta hoja tuhadili, kama huna hoja kaa kimya.Jesus Mlokozi
Rudi shuleni upate japo elimu itakayokuwezesha kujua hata hiyo Reuters Pichbot (Satire) ni nini? Kama hujui jaribu hata kuulizia kwa waumini wa Putin wenzako, unatia aibu.
Samahani nilikuwa najaribu tu kukusaidia usije ukaumbuka!Mzee vipi tena. Umekuwa mganga wa kienyeji!? Leta hoja tuhadili, kama huna hoja kaa kimya.
Unajaribu kunisaidia!!! Unavyojiona wewe unauwezo wa kujenga hoja. Nikupe ushauri wa bure tu. Jenga hoja utatuona sisi GT tunakuja kuchangia.Samahani nilikuwa najaribu tu kukusaidia usije ukaumbuka!
Message sent. HAWA EU wawe na akili wasiwe watumwa wa US Better wakajitoa NATO
Bahati mbaya, mimi simo kwenye hilo kundi la Ma GT ndiyo maana nimeomba sana samahani. Mtu ukivuliwa nguo unachutama siyo unakomaa tu kama wafuasi na waumini wa madikteta na mafashisti kama Putin (hata TZ tunao ma Putin wetu!)Unajaribu kunisaidia!!! Unavyojiona wewe unauwezo wa kujenga hoja. Nikupe ushauri wa bure tu. Jenga hoja utatuona sisi GT tunakuja kuchangia.
Panya wameanza kutoka mashimoni,akili zimeanza kurudi.Top Russian propagandist Vladimir Solovyov is quite upset with how Putin's "partial mobilization" is going and everything the supposed "superpower" is lacking. So much in this video, just watch. It fits right in with what I described in my latest article[emoji3593]
twitter.com/JuliaDavisNews…
Hakuna kitu kama hicho,Mark mynwordsHata Israel alianza kutambua Russia kisha wengine wakafuata. North Korea vilevile alianza Russia wengine wakafuata.
Na wewe utaitambua tu utake usitake.
Mimi mwenyewe nimejiuliza hilo swali sana.Russia naona ndio mwisho wao.Zelensky yeye aliomba vifaa hakuomba jeshi .Hutu sasa kaishiwa kila kitu na ndio maana alienda iran na nchi za kiarabu kulia liaPanya wameanza kutoka mashimoni,akili zimeanza kurudi.
Points za muhimu:
*Jamaa anasema inakuaje Taifa kubwa kama Russia halina drones za kutosha mpaka wanaomba Iran
*Inakuaje Taifa kubwa kama Russia halina satellite za kutosha?!,hii inafanya kushindwa kujua kwa asilimia kubwa nini kinachoendelea ndani ya Ukraine.
*Anasema inakuaje wanaita watu 300k wakati jeshi Lao wanasema Lina wanajeshi milioni moja na Nusu,je wako wapi?!
*Anasema kwanini walamizimishe watu kwenda na wasiende Kwa hiyari yao?!
*Anauliza je hao watu laki 3 wanaopelekwa vitani wana vifaa vyote vya muhimu,kama body armors?! Au wanapelekwa tu Bora liende!!!!!
Hii riwaya yote, umeandika ni mavi ya kuku. Acha kuchamba sana maana kuchamba kwingi ......Bahati mbaya, mimi simo kwenye hilo kundi la Ma GT ndiyo maana nimeomba sana samahani. Mtu ukivuliwa nguo unachutama siyo unakomaa tu kama wafuasi na waumini wa madikteta na mafashisti kama Putin (hata TZ tunao ma Putin wetu!)
Nilishtuka tu pale niliposoma eti USA kashambulia Nordstream Pipeline. Pamoja na upopoma wangu najua USA hawezi kufanya hivyo...kumbe ni habari iliyotoka Twitter kwa Reuters Pitchbot! Hapo ndipo nikakushtua na matokeo ya wema wangu ndiyo hayo?
Naomba tufunge huu ukurasa bwana GT JESUS Mulokozi. Thank you so much for putting me in my rightful place, nilisahau mimi ni jirani ya Buza madongo kuinama! Si unajua tena tulivyo vichwa ngumu! Please have a bright and wonderful day, bye!
Huijui dunia mwananguHakuna kitu kama hicho,Mark mynwords
Kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji...Ni ujinga MKUBWA wa Putin kupiga kura katikati ya vita !! hiyo ni RUSHWA kutumia circumstances kupitisha jambo lako.
View attachment 2370357
Asante sana GT Jesus Mlokozi, you are really a Great Thinker. With support from people like you, wannabe dictators like Putin have nothing to lose...you are such an asset dude. I can bet wewe uko bega kwa bega na wale jamaa wa kwetu.Hii riwaya yote, umeandika ni mavi ya kuku. Acha kuchamba sana maana kuchamba kwingi ......