Shida sio gas,kama gas hata sisi tutawauzia ya kutokea madimba gas ya bei nafuu ndio kipaumbele cha mjerumani.Pole ya kuchanganikiwa. Anayejaribu kuwaumiza watu wa Ujerumani ni yule mzee mfupi huko Moscow.
CIA wako busy kusoma data za satelaiti na kuzitafsiri kwa Kiukraine na kutuma majiranukta sahihi.
Wajerumani wako busy kubembeleza Wasaudia, Wanorwei, Wakanada na mtu yeyote anayeweza kuuza gesi katika miezi ijayo (halafu nasikia wanapata maendeleo fulani...)
HahahahahahaView attachment 2370377
It doesn't matter if Nord Stream 1-2 is running, Germany has to pay for the gas it didn't take.
Germany is contractually obligated to purchase at least 40 billion cubic meters of Russian gas per year until 2030. In case of refusal, Gazprom has the right to receive money, even if the gas was not delivered.
haya mwambie akimaliza ujinga wake huo atangaze kwamba hiyo ni mikoa ndani ya Urusi kama kweli kidume.Kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji...
Hili ni jibu tosha kwa Putin kwamba Warusi hawataki vita, kuna siku huyu mwamba atajikuta peke yake.HAKUNA KUKIMBIA [emoji23]
Wale wote wanaokimbilia nchi jirani kukwepa kupelekwa vitani watarudishwa wakati wowote RF ikiwahitaji. Utake usitake.
Russian state TV says that various traps are being planned for those Russians who traveled to the neighboring countries to evade mobilization, or are in the process of doing so.
Wakati Russia ikisema wale wote waliokimbilia nchi jirani kama Kazakhstan, Georgia,nk kukwepa mobilization watarudishwa kwa lazima RF ikiwahitaji, Kazakhstan imesema itawahakikishia usalama wale wote wanaokimbia mobilization.HAKUNA KUKIMBIA [emoji23]
Wale wote wanaokimbilia nchi jirani kukwepa kupelekwa vitani watarudishwa wakati wowote RF ikiwahitaji. Utake usitake.
Russian state TV says that various traps are being planned for those Russians who traveled to the neighboring countries to evade mobilization, or are in the process of doing so.
This should be a wake up call for those who believe America is against terrorism.America is "the terrorist."
Duh, hatari sana, warusi wanapata wakati ngumu sana kwa kweliHAKUNA KUKIMBIA [emoji23]
Wale wote wanaokimbilia nchi jirani kukwepa kupelekwa vitani watarudishwa wakati wowote RF ikiwahitaji. Utake usitake.
Russian state TV says that various traps are being planned for those Russians who traveled to the neighboring countries to evade mobilization, or are in the process of doing so.
Putin kabakiza muda mchache sana kuitawala Urusi..Duh, hatari sana, warusi wanapata wakati ngumu sana kwa kweli
Naona warusi wakiuchoka huu utawala wa kidkteta na kuamua liwalo na liwe,
The EU is going to ease sanctions against the Russian Federation by lifting the ban on the export of fertilizers, cement and other products from the Russian Federation.
Kukimbia kuko pale pale. bottom line is russian citizen walikuwa na hopes kubwa kwa majeshi yao mwanzon mwa vita. Lakin sasa kuambiwa wajitolee wanaona ishuHAKUNA KUKIMBIA [emoji23]
Wale wote wanaokimbilia nchi jirani kukwepa kupelekwa vitani watarudishwa wakati wowote RF ikiwahitaji. Utake usitake.
Russian state TV says that various traps are being planned for those Russians who traveled to the neighboring countries to evade mobilization, or are in the process of doing so.
Jamaa anapitia wakati ngumu kwa kweli,Putin kabakiza muda mchache sana kuitawala Urusi..
Lini mtaacha ku edit? No official news zinazo confirm hilo. Even uchunguz haujafanyika.
Karibu Mathanzua, nilijua tu ungejitokeza ukisoma habari za kipuuzi kama hizi. Eti USAQ is the terrorist, oh my! You wouldn't recognise a terrorist if he knocked at your front door and you met him face to face...come on, grow up dude! Kwa upuuzi huu you take the prize na hata Madelu, PhD angekuonea haya!This should be a wake up call for those who believe America is against terrorism.America is "the terrorist."