Ambaye hatojipa mda kuielewa dunia ikoje katika kipindi hiki hatokuja kuijua daima.
Let's have a look ya kile kilichotokea kwenye bomba la NS-1. Nitakayo yaeleza ni personal analysis based na mfuatano wa matukio.
👣 Germany kulikuwa na mandamano, Raia waliingia bara barani wakishinikiza serikali yao kurejesha NS-1 na NS-2 ku'ease mambo ambayo yanakwenda mlama kutokana na nishati bei kua juu nchini hapo. Ila ni Issue ambayo all western media zika'mute with zero coverages.
👣 Haijakaa sawa ikatolewa taarifa kwenye mabomba ya NS-2, Pressure imeshuka na sababu haziku ainishwa. Hii maana ake nn? Ni kwamba NS-2 ikumbukwe ilisimamishwa ila uhai wa mabomba unategemea pressure supplied within kuendelea kusurvive otherwise yanaharibika.
So ile drop ya pressure its like mtu aliye heat "pipa" la chuma kisha akalipoza ghafla, kinachotokea ni lile pipa kujiminya (shrinking) kutokana na pressure ya nje kua kubwa kuliko ya ndani. So mradi wa NS-2 ndio unazikwa namna hiyo.
👣 Hatua nyingine ikawa ni mlipuko huo wa NS-1
Maajabu ya stage hii sasa, baada ya mlipuko huo, a former Polish defence minister anaishukuru USA kwenye ukurasa wake wa twitter.
Sasa em tuangalie kwa kushirikisha akili zetu.
1. Back in Feb 7, Biden huyu huyu kiongozi wa taifa la far west akitoa msimamo wake wa nini watafanya juu ya NS's za Germany (tafa lingine la mbaaaali kabisa) endapo Russia ataingia Ukraine. Watch him out:-
Hapo kwe video mtamsikia vizuri mwandishi wa habari akimuuliza Biden, "How would you do that, ilhali project ipo under control of Germany" reply ya kibabu Joe ikawa "I promise we will be able to do that" 🤣 how? wanajua wenyewe. Na wala usijiulize sana hiyo ndio kazi ya democracy na sovereignty wanayo ihubiri.
2. Tukirejea nyuma out of 27 nations of EU, kila ilipokua inakuja swala la Gas ya Urusi. Hungary and Germany ndio walio kua mstari wa mbele kugoma huku wakidai hiyo ni "redline" kwa security ya mataifa yao.
Back in days pia, some Ukrainian Khokhol (Huyu kama sikosei ni Kuleba ama one of Zelensky's advisor) ali'propose bombing of Russians pipeline to EU ili kuwa'force Germany and Hungary ku'abandon Gas and Oil kutoka Russia wakidai Gas hiyo kwa EU ndio Engine ya kumlisha Putin kuendelea na OP yake hapo Ukraine. Kitu ambacho kilipingwa sana na Raia pembeni and yet leo kinafanyika halafu wanaishia kurushiana mpira.
Again hapo nyuma kwa wasio wafatiliaji niwajuze, kulikuwa kuna attempts kadha wa kadha za kulipua bomba la mafuta hili la upande wa Turkey ambalo nalo linapeleka EU kutoka Russia. So nini kinatafutwa wanajua wao kwa kweli 😊.
Haijakaa sawa baada ya mlipuko huo EU council wanakuja na package tena ya sanctions ambayo inaweza tangazwa leo moja wapo ikiwa ni proposal ya ku'cap price ya Russian Oil and Gas kitu ambacho ikumbukwe nyuma walishindwa kukubaliana.
🔥🔥🔥🔥🔥
So tuendelee tena kusisimua nerves za ubongo, tuulizane maswali machache tu. Who is forcing Russia out of EU? Jibu ni jepesi kwa waelewa wa Geopolitics. Kwamba ni Washington!
Swali la pili, who's benefitting from collapse of Germany? Of course jibu ni jepesi pia. Its United Shit of America. So can we see namna Germany anavyomalizwa kwa kisingizio cha Ukraine?
The weak EU pave a way to strong US hegemony and vice versa is true. In few months toka feb hadi leo kumekua na huge shift of capital kutoka EU ajabu kubwa destination yake ikiwa US. So EU inaendelea kua dwindled huku dada yao US akiendelea kujipanua.
Kuna watu wanahisi eti ooh Russia kaamua kuharibu mabomba yake. Hey Supplier wa Gas ni yeye mwenyewe, alikuwa na uwezo wa kufunga koki tu kama hataki kuwapelekea Gas. Shareholders wa NS mkubwa ni Gazprom akiwa na hisa zaidi ya nusu (51%) so doesn't make sense at all ajitie hasara kiasi hicho ilihali business are there to make money.
Hatuwezi kua na wide View kwa kukaa bondeni, njooni huku "kilimani" tuchungulie eneo kubwa tuone mengi 🤣🤣🤣.
Always remember, sometimes they spell it out for us, what is there for everyone to see. We are just not allowed to talk about it.