Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mtaomba poo

Russia loses 400 military personnel, 1 plane and 12 UAVs in past 24 hours General Staff​

Ukrainska Pravda
Wed, September 28, 2022, 9:29 AM·1 min read
OLENA ROSHCHINA – WEDNESDAY, 28 SEPTEMBER 2022, 09:29
Russian occupying forces lost around 400 military personnel, one fixed-wing aircraft and 12 UAVs over the course of Tuesday, 27 September. The General Staff reports that one Russian missile has also been shot down.
Source: General Staff of the Armed Forces of Ukraine on Facebook
Details: Russian forces suffered their greatest losses on the Kramatorsk and Donetsk
 
Pia super power,awe na uwezo wa kulinda nchi yake isipate shambulizi la Karne na la aibu la September 11,kule New York
 
Nchi ipoteze askari 400 afu bado wachukue kipande cha Ardhi Yenu??
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bro hiyo Gas wamesema itaendelea kuvuja hvyohvyo Kwa week au zaidi sababu mlipuko wake ulikua ni mkubwa sana sawa na tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 2.3 magnitude.

Na matengenezo yake si ya muda mfupi kama unavyoeleza hapo wamesema itachukua muda lakini hawajaspecify ni muda gani,na shida inakuja kwamba vifaa vingi vilivyotumika kwenye hilo bomba vinatoka Ulaya na vingi kwa wakati huu vipo chini ya vikwazo ndio maana experts wanasema kurudisha hilo bomba kwenye hali yake ya kawaida kama mwanzo inaweza kuchukua hata miezi.
 
Your browser is not able to display this video.


✊🇨🇿 The anti-sanctions protest movement in the Czech Republic have started

The organisation behind the protest calls for the exit of the Czech Republic from the EU and NATO,and an end to hostility towards Russia

Last time they were 70 000

People started gathering...
 
Mkuu nipe samare kidogo kilichotokea mimi ndio natoka leo kigoma kakonko huku.
Mrusi kwa sababu zenye maslahi kwake kavamia ukraine na jeshi kubwa akielekea mji mkuu, Ukraine wakawalilia USA na nchi rafiki wawasaidie silaha wapiganie nchi yao, USA na washirika wakamsaidia Ukraine kwa kumpa silaha na kumuwekea vikwazo Urusi vikwazo ambavyo na wao vinawaumiza kwani palitokea mfumuko wa bei na food crisis etc, baada ya hapo mrusi hakufika mji mkuu tena kwa sababu anazojua yeye ila akateka baadhi ya miji, Ukraine akaanza mashambulizi ya kuikomboa miji iliyotekwa huku mrusi akiwapigisha kura raia wa hiyo miji kuwa wawe sehemu ya urusi na si ukraine.

Hapa ndipo ugomvi ulipofikia. Usione mahabari ya kingereza na maanalysis kwa lugha ya kirusi ukadhani kuna jambo la akili kubwa sana, ni ile hali yetu tu ya sikuzote ya kujimwambafy na kujivika akili kubwa zisizokuwepo tukichanganya na tumatusi na tudharau twa hapa na pale.
 
Your browser is not able to display this video.


Mobilised servicemen commence combat manoeuvres at Baltic Fleet's training ground in Kaliningrad region

◽️ Trainees practice shooting, tactics, military medicine, communications and topography.

🎯 All the mobilised servicemen practice shooting with small arms. Moreover, the conscripted citizens restore their skills in using and maintaining armament, military and special equipment.

📚 Theoretical classes were dedicated to the methodology of army tactical shooting to improve firing skills and preparing servicemen for a confident action.

#StrongerTogether
@mod_russia_en
 


The first meeting of the Organizing Committee for the II Russia-Africa Summit took place

Russia-Africa Summit and Economic Forum for Peace, Security and Development
will be held in St. Petersburg in the summer of 2023. The decision to hold Russian-African meetings in this format on a regular basis was made during the first Russia–Africa summit in Sochi in 2019.

The upcoming summit should give a new constructive impetus to the development of Russia's multifaceted relations with the countries of the African continent, strengthen its course towards a comprehensive and equal partnership.

Detailed information is available on the official website: summitafrica.ru.
@RoscongressDirect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…