Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nasubiri sana hili jambo, manina zao wazungu.. Jino kwa jino
 
Nasubiri sana hili jambo, manina zao wazungu.. Jino kwa jino
😄😄 Naona Norway wao wameshaweka boats Kama 90 za kulinda kwny sehemu zao, helcopters kibao na wamefunga sensors kibao za ku-detect Kitu chochote kwny maji around hayo maeneo Yao.Nadhani wameshajua yajayo yatawafurahisha.
 
Itachukua week au zaidi bado unaungana na mimi MKUU
Kuhusiana na vikwazo EU hawapo tayar kuumia linapokuja suala lamaslahi yao mzeee
Yaani waendelee kueka vikwazo wakati wanaumia
Kama wataona kuna haja yakuondoa vikwazo kwamaslahi yao si fasta tu hata dakika haiishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una ujuaji mwingi sana kumbe una uelewa mdogo kuhusu haya mambo.

Cha kwanza baadhi ya viongozi wa ulaya na hata Ukraine yenyewe Wana shuku Urusi ndio imehusika kuyalipua mabomba kwa makusudi ili bei ya gesi iendelee kuwa bei juu zaidi ila Urusi inakanusha .

Pili unacho takiwa kujua ni kuwa Urusi ilikuwa imesha zuia zaidi ya asilimia 90 ya gesi iliyo kuwa ina tiririka kwenda Ulaya kupitia hayo mabomba yaliyo lipuka kwa hiyo hakuna jipya.

Kulipuka kwa mabomba hayo Urusi hana hasara yeyote, kwa sababu kuharibika kwa hayo mabomba kuta sababisha kupanda zaidi kwa bei ya gesi barani ulaya jambo ambalo ni faida kwa Urusi maana mpaka sasa bado Urusi inauza gesi nyingi tu Ulaya kupitia mabomba yanayo pita ndani ya Ukraine.
 
@Pietro jamaa zetu wanalia lia nini wakati atakaeumia zaidi ni RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…